Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Nchi za Africa ziko uhuru kuchagua upande zinaotaka na US yuko huru pia kutumia uwezo wake wa uchumi kufanikisha sera yake ya mambo ya nje, ili mradi hamjavamiwa kama Urusi alivyovyamia Ukraine acheni kujilalamisha, mtakula mnapopeleka mboga.
Hapo wewe demokrasia imeishia hapo!Vp na huyo US anayetisha nchi kuchagua upande na kulazimisha sanctions anazoweka basi nchi ambayo haitacomply itawajibishwa na US!
Au umesahau waziri wa mambo ya nje ya South Africa,yule mwanamama alivyomchana live Blinken kuwa US iachie kuzitisha nchi za Africa kuchagua upande kwani ziko huru kuamua zitakavyo!