Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

SmartSelect_20221011_104917_Telegram.jpg

Points of strikes of the RF Armed Forces in Ukraine. The commander of the SMO Surovikin is not only a talented strategist, but also an artist 😜
 
Ushaidi upo unaonekana kwa jinsi anavyochezea kichapo huko front line..,

Ya front line kaona yanamshinda..,kageukia kurusha viloket uchwara hambavyo havina impact kwenye uwanja wa vita..,

Wakati ukraine wakiendelea kusonga mbele kwa Kasi ya mwanga [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Front line Gani Acha uongo
 
YAJAYO YANAFURAHISHA

✅⚡️⚡️⚡️The Embassy of Uzbekistan in Kiev asks the citizens of the republic to leave Ukraine and refrain from traveling to this country after Russian missile attacks on its infrastructure⚡️⚡️⚡️
 
Front line Gani Acha uongo
Mahaba Niue yanekutawala hivyo unashindwa kuona uhalisia..hii ni bahadhi ya miji hambayo Ukraine wamekomboa kwa kipindi kisichozidi mwezi mmoja

Kupiansk

Blyanklia

Lyman

Izium

Hapo sijaweka maeneo ya kheson na huko luhansik..,nyie mnaoshangilia mashambulizi ya loket yaliyofanyika ndani ya siku Moja tu...kana kwamba mmesonga mbele hata sentimeter Moja.., ndio maana wenye akili tunawapuuza tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu shusha zile nondo zako za ubovu wa silaha za Russia na ubovu wa mbinu zao kivita. Ujue mkuu wewe una utaalamu na uzoefu wa juu kwenye mambo ya kivita na mbinu za kivita.

Pia tunaomba maoni yako, ni nini Nato watafanya mara baada ya Ukraine kupigwa na mabomu usiku kucha, tena hadi ubalozi wa Mnato mwenzao Germany kuguswa.

Maoni yako yatasomwa na sie pro Nato, tunaweza kupeleka maelekezo yako mstari wa mbele kwa wanajeshi wetu pale Ukraine... karibu mkuu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu wako Kyiv ishatekwa na wanajeshi wamejisalimisha. Unataka nondo gani tena
 
Jana mrusi akihangaika kurusha makombora ambayo mengi yamezuiwa na mengine kutua barabarani Ukraine imakaanga hii column ya missile launchers kipigo cha Himars tazama zilivyo accurate zinachapa target palepale ni hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Ficha upumbavu wako basi,,nani asiyejua urusi Ina upungufu wa precision missiles [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We panya unachekesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajifanya unaijua stock ya milipuko ya Wasoviet hebu shusha sketi update chanjo
 
Mass Protests against NATO and EU Hit Paris Streets

The streets of the French capital were thronged with thousands of protesters on Saturday, as crowds demanded France change its stance on both the EU and NATO. Dubbed the ‘national meeting of resistance,’ the rally saw protesters waving French flags, along with banners reading ‘resistance’ and ‘Frexit.’

Crowds could be heard chanting ‘Let’s get out of NATO!’ as well as calling for the resignation of French President Emmanuel Macron.

Subscribe to RT
 
[emoji298]️Energy Substation Ablaze North of Kiev - multiple strikes reported in Ukraine

Reports suggest a power surge may have caused a fire at the station in Vyshgorod, while unverified details suggest a key transport rail link for Kiev's forces has been hit near Dnepr.

BREAKING @RT_India_official
 
Back
Top Bottom