kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
We jamaa unaonekana mpumbavu kweli.., mashambulizi ya siku mbili ndo unaaamini urusi kashinda tayari..,sio?Vp lkn umeanza kuwaelewa URUSI?? Bado una amini hawana uwezo wa kumaliza hiyo VITA pale wakiamua kweli waingie mzigoni??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app