Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Rudia comment zako uangalie kama hujavurugwa.

Naona una hasira za Kibera na njaa zenu.

Hapa jf tunahitaji ustaarabu. Tunajadiliana tu si kutukanana.
We ni mwendawazimu ,narudia kama Huna akili ya kuelewa comments ni Bora ukae kimya kuliko kudandia na kutype pumba hapa ,
JF sio Facebook kama unajua una Iq ya nyumbu kaa pembeni .
 
Dogo sikiliza ngoja tutoe hizo settlers countries za Canada na Australia ambazo unadai ziko bado Chini ya control ya British monarchy ,haya hizo zingine mbona zimeendelea ndani ya muda mfupi na kuna nyingine tumepata nazo Uhuru at the same time kwenye miaka ya 60 huko ?
Nchi za south East Asia kama Indonesia ,Malaysia ,Singapore ,South Korea ,Thailand , why zimedevelop na kuachieve vitu vingi ndani ya muda mfupi tena Kwa pace kubwa ?
Kama Una akili utajibu hoja
Nani aliyekwambia Thailand imeendelea?
Nikikuita akili kisoda litakuwa ni tusi? Au wastahili[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
We ni mwendawazimu ,narudia kama Huna akili ya kuelewa comments ni Bora ukae kimya kuliko kudandia na kutype pumba hapa ,
JF sio Facebook kama unajua una Iq ya nyumbu kaa pembeni .
Umewaweza kweli Hawa vilaza [emoji16][emoji16]..,huu ndo mwendo wa kwenda na pro Russia Sasa..,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hali mbaya Sana , we unafikiri kurusha Yale marocket kwenye makazi ya watu na miundombinu ilikuwa ni nini ? ,ni Kuondoa aibu na kupoteza attention ya watu juu ya massive failure na kipondo wanachopata battle front
Jamaa alifanya Yale mashambulizi Ili kuficha aibu ya kipigo anachopokea huko field [emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ulikuwa na wewe unataka nchi zenu ambazo zimeshapewa Uhuru ziendelee kupewa misaada si ndio at the same time mapunguani kama wewe bado mnapinga hiyo misaada si ndio ?
Mtu mwenye mawazo ya kupewa misaada kama wewe haufai kushika hata Uongozi wa kaya yako, achilia mbali ujumbe wa Nyumba kumi.

Nilikuelezea kwa nini maeneo tajwa yameendelea.
Uingereza ipo pale kwa sababu ya wizi walizozifanyia nchi za kiafrika na Dunia kwa ujumla ila Nusu mboga kama wewe unadhani ninni sijui?
 
Mwanaume(RUSSIA) anachukua ZAWADI zake alizohonga kwa Manzi ake(UKRAINE) baada ya huyo demu kuanza kuleta pozi baada ya Kupata bwana mwingine(NATO/US/).
Screenshot_20221013-175335.jpg
 
"Jomba" naona ww ndio unajiabisha bila shaka umeamia kufukia kichwa chako kwenye mchanga na sijui upo nchi gani kwa kukusaidia tu haya mambo kwa sada yanapamba moto kwenye nchi za west. Well nenda kafatailia issue za gender identity at young age mpaka elementary schools watoto wanfundishwa kuwa familia sio tu baba na mama inaweza kuwa pia baba na baba na mtoto au mama na mama na mtoto
Acha ujinga wako ! wewe umesema kwamba watoto wetu wanafundishwa ushoga na nyie wanalazimishwa kufanya ushoga ,nikakuuliza akina Nani hao ambao wanawandisha watoto wako ushoga huko mashuleni na wewe ulishawahi kulazimishwa kufanya matendo ya kishoga ?

Hujajibu hoja umekurupuka kuandika bullshit pumba mara western countries elementary school kids wanafundishwa ushoga , wtf ,we ni mzima kiakili kweli wewe ?
Wewe ulishafika kwenye moja ya elementary schools za western countries na kuthibitisha hayo madai yako unayotype humu ?
 
Mtu mwenye mawazo ya kupewa misaada kama wewe haufai kushuka hata Uongozi wa kayak yako, achilia mbali ujumbe wa Nyumba kumi.

Nilikuelezea kwa nini maeneo tajwa yameendelea.
Uingereza ipo pale kwa sababu ya wizi walizozifanyia nchi za kiafrika na Dunia kwa ujumla ila Nusu mboga kama wewe unadhani ninni sijui?
We dogo ni ms£ng£ , umejibu hoja au umeandika kujaza servers humu , umeangalia hata ulichoabdika ?
 
We dogo ni ms£ng£ , umejibu hoja au umeandika kujaza servers humu , umeangalia hata ulichoabdika ?
Cc moderator
Huyu nadhani anatakiwa afunzwe nidhamu, adabu na kulimishwa sera za jamii forum.

Huna hoja ila umejaa vitusi visivyoumiza kwa mtu kama Mimi, well trained mpaka Russia nikatikisika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Sawa Nusu mboga
 
Eti vitabu zaidi yako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] akili kisoda unishinde Mimi [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]

Unadhani Afrika kuwa underdevelopment ni kwa sababu ya ukoloni tu?

Vipi madhara ya Slave trade? Iliyopelekea workforce yetu kupungua kwa kiasi kikubwa?

Unasema India ilitawaliwa kwa miaka 600
Unafikiri Wareno waliitawala pwani ya Afrika Mashariki kwa muda gani? Kumbuka miaka hapa haipungui 400

Waarabu ya Oman na ghuba ya Uajemi waliitawala pwani ya Afrika Mashariki kwa muda gani?

Inakuja tu hapa kigasho gasho na kuilinganisha Afrika na India?

Tatu unapoizungumzia maendeleo kwa miaka ya hivi karibuni kuanzia Karne ya 19 kuja juu basi usisahau Capital allocation iliyopelekea pale na Western World.

Teknolojia Transfer ilipelekwa pale na Western World

Population density ila ninyi magasho aka nusu mboga mnahubiri family planning na ke ke ke ilihali hivyo nimoja ya chanzo Cha India kunyanyuka.

Siku nyingine jielimisha kabla haujala za kichwa
We ni fal@ capital allocation tokea wapi ,mpuuz wewe ,unajua capital inavyotengenezwa we pimbi , hiyo industrial revolution ilianzia Afrika au ? Ulivyo mpuuz unaandika eti technology transfer what a moron , ni technology ipi uliyokuwa transferred toka Afrika wewe nyani ?
 
Hata yule wa Tz walisema hivi hivi, kwamba sushi na aendelee kutawala. Mungu akasema kea shida uliyowaletea ndugu zako hustahili. Nadhani historia inaanza kujirudia huko urusi. Eti "there is no replacement for putin". Hizi sifa za hovyo kabisa. Ngoja tuone anavyoendelea kuvimbishwa kichwa with no somebody to replacement him.

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Unafahamu katiba yao ilibadilirishwa lini kumruhusu Putin kugombea mpaka 2030 achana na hiyo 2024!!!? Au aumemua tu kunya hadharani!!??
 
Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "

Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.


View attachment 2385512

The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.

In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
Sawaaaa ni feki kamtoeni..... Gaza mnakaa kimya huku mbambamba mingiiiii.... Si mshapiga kura nchi 140+ haya kamtoeni ...
 
Wewe ni delusional lunatic, pacha wa Mathanzua
Nowadays fox wamepunguza propaganda, na ni as if kama wako against Ukraine na democratic party kwa ujumla. Hii nayo shows how kile kinachokuja kwenye masikio ya wasikilizaji au wafatiliaji kua uhalisia ni mchache bali kwingi au mengi katika hayo ni ile 'image' wanayo taka kuipandikiza katika jamii.

Our thoughts are being controlled by MSM, so indirectly hata reactions zetu too zinakuwa controlled namna hiyo. Na hili si gumu kueleweka, it's a law of nature... "Brain" ndio engine ya mwanadam. Ukiweza control mind yake kupitia milango yake ya faham (Kinachopita masikioni na kwenye machi yake) basi umeweza kumcontrol remotely.

Wenzetu hicho kitu wamekipatia haswa na matokeo yake tunayaona how "unpaids bots" zinavyo shambulia kila "Raia" anayetokea kwenda kinyume na "Mass Opinions" proposed or laid down by those "Men in black Suit and red tie behind curtain"...
 
Eti vitabu zaidi yako[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] akili kisoda unishinde Mimi [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]

Unadhani Afrika kuwa underdevelopment ni kwa sababu ya ukoloni tu?

Vipi madhara ya Slave trade? Iliyopelekea workforce yetu kupungua kwa kiasi kikubwa?

Unasema India ilitawaliwa kwa miaka 600
Unafikiri Wareno waliitawala pwani ya Afrika Mashariki kwa muda gani? Kumbuka miaka hapa haipungui 400

Waarabu ya Oman na ghuba ya Uajemi waliitawala pwani ya Afrika Mashariki kwa muda gani?

Inakuja tu hapa kigasho gasho na kuilinganisha Afrika na India?

Tatu unapoizungumzia maendeleo kwa miaka ya hivi karibuni kuanzia Karne ya 19 kuja juu basi usisahau Capital allocation iliyopelekea pale na Western World.

Teknolojia Transfer ilipelekwa pale na Western World

Population density ila ninyi magasho aka nusu mboga mnahubiri family planning na ke ke ke ilihali hivyo nimoja ya chanzo Cha India kunyanyuka.

Siku nyingine jielimisha kabla haujala za kichwa
Population ya Malaysia na Singapore combined na ya Tanzania ipi kubwa ?
Basi si Tz ilipaswa kuwa na development more than double times ya hizo nchi ?
We ni mjinga na hujielewi
 
Wewe ni delusional lunatic, unapaswa kuwa katika taasisi ya matatizo ya akili unatabiwa kichwa chako kilichoharibwa na conspiracies.
Mm,so you really believe this.Wengi wa hao ni hypocrites ambao wanataka ku-appease NWO tyrannical leaders,who they are afraid of.That will however never come to fruition.Do not however forget that China, India and a whole lot of other nations are behind Russia.Mataifa yanataka to dis-engage from the NWO tyrrants and psycopaths of the type of the Rothschilds.
The Familys would also consist of
  1. Astor's
  2. Bundy's
  3. Collins
  4. Du points
  5. Freeman's
  6. Kennedys
  7. Rockefellers
  8. Reynolds
  9. Russell's
  10. Onassis
  11. Li / Lee
  12. Van dyurn
 
We ni fal@ capital allocation tokea wapi ,mpuuz wewe ,unajua capital inavyotengenezwa we pimbi , hiyo industrial revolution ilianzia Afrika au ? Ulivyo mpuuz unaandika eti technology transfer what a moron , ni technology ipi uliyokuwa transferred toka Afrika wewe nyani ?
Hakika Leo utadhihirisha kwamba wewe tu sio punguani pia ni punga[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


Unadhani viwanda vilianzishwa India na nani? Kumbuka hakuna sehemu niliyogusa Afrika, au western world ni Afrika? akili kisoda wewe.

Au tukufunze na hiyo lugha maana huelewi Nusu mboga
 
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema nchi yake ina sehemu kidogoi tu ya kile inachohitaji ili kujenga mfumo wa ulinzi wa anga wenye mafanikio huku akiomba kuungwa mkono zaidi na viongozi wa Ulaya.

Akizungumza katika Mkutano wa Bunge wa Baraza la Ulaya, Zelensky anasema uwezo wa ulinzi wa anga wa Ukraine "haututoshi". Maoni yake yanakuja wakati washirika wanaoongozwa na Nato wa Ukraine wakitangaza kuwasilisha silaha za hali ya juu za ulinzi wa anga huko Kyiv, baada ya mashambulizi ya makombora ya Urusi.
Silaha zilizoahidiwa na Uingereza, Canada, Ufaransa na Uholanzi ni pamoja na makombora na rada.

Hapo awali Marekani ilitoa ahadi kama hiyo. Mfumo mmoja wa teknolojia ya juu kutoka Ujerumani tayari uko Ukraine. Zelensky ameliambia Baraza: "Ujerumani imetupa uwezekano huu sasa ... mfumo wa kwanza tayari umetolewa, Marekani imethibitisha kuunga mkono NASAMs (mifumo ya makombora ya uso kwa hewa) mifumo ya ulinzi wa anga. "Tungependa sana uungwaji mkono uwe wa juu zaidi. Tunatarajia hatua zenye nguvu kutoka Ufaransa na Italia ambapo zinaweza pia kutusaidia."
 

Attachments

  • Screenshot_20221013-180419_Facebook.jpg
    Screenshot_20221013-180419_Facebook.jpg
    234.2 KB · Views: 15
Back
Top Bottom