Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inasikitisha Tanzania tumeshindwa kukemea na kulaani huu uvamizi wakati hata hatupati chochote cha maana kutoka huko kwa Putin.
Umoja wa mataifa kwa kauli moja wasema " Kura za Urusi ni fekiii "

Kura alizopiga Mrusi hivi majuzi kuyanyakua majimbo ya Ukraine sasa ni rasmi kwamba hayatambuliki kisheria... hayo si yangu bali ni maamuzi ya Umoja wa Mataifa.


View attachment 2385512

The United Nations General Assembly has voted to condemn Russia’s “attempted illegal annexation” of four partially occupied regions in Ukraine and urged countries not to recognise the move.

In Wednesday’s vote, three-quarters of the 193-member General Assembly — 143 countries — backed a resolution that also reaffirmed the sovereignty, independence, unity and territorial integrity of Ukraine within its internationally recognised borders.
 
"Col. Mstaafu" anasema kwa nini US na washirika wake walitaka kuivamia Urusi tangu mwaka 2014? Kwa sababu zipi hasa??


Sikiliza huyo Col. Mstaafu wa jeshi la Marekani anasema toka mwaka 2014 USA na washirika wake walijiandaa kuivamia Russia, USA alipeleka silaha nyingi na mafunzo lukuki kwa wanajeshi wa Ukraine, Russia alikuwa anawachora tu. Sasa hivi Russia kabadili gear angani kwa kumweka kamanda katiri sana ambaye hana chembe ya huruma, anataka kumaliza mchezo. Hao wanajeshi wa kigeni toka Poland, ufaransa, UK na USA wanauwawa kila siku. Sasa hivi njia zote na kambi zote za jeshi la Ukraine ni mwendo wa kapeti bombing tu hakuna Cha msalia mtume. Njia zote za usafiri, majengo ya serikali vituo vya Police ni kulipuliwa tu. Wakimaliza hapo jeshi la ardhini linaenda kumaliza kazi na kisafisha, Col. Mstaafu anasema wanajeshi wa Ukraine watauwawa Sana kama hawatakimbia, wakati huo makombora ya masafa marefu yanakuwa yanazidi kuzoofisha silaha toka nje kuja mstari wa mbele upande wa Ukraine. Ndani ya mwezi huu vita itaisha na zelesiki atakimbia nchi au kuuwawa. Maana Makamu wa raisi wa Russia anasema wanataka kubadili raisi mwingine wa Ukraine.
1. According to Col. Mubobezi na deputy secretary of defense of USA, 80% of Ukraine air defense system is down
2. USA HIMASA equipment is not working enough due to it's complexity, Russia is destroying more.
3. 90% of Best Ukraine soldiers are already dead or eliminated
4. 100,000+ Ukraine soldiers arleady dead
5. 400,000+ wounded
6. Only poorly training and foreign fighter from Poland, USA, UK, France are in front line.


Sasa kilichobaki hapo ni nini kama siyo zelesiki kukimbia nchi.
 
Sasa kama unakataa ukweli dhahili kama huu mwamba anaokuletea, unataka nini zaidi ya kuthibitisha madai yake kwamba umefutika kichwa ardhini kama Ostrich.

Tena siku hizi eti wanasema mtoto ana haki ya kuchagua jinsia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Na alelewe kwenye jenda neutral kisa toxic masculinity inaharibu jamii[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] no say no more
 
Zelensky has asked international partners for $2 billion to restore energy infrastructure after rocket attacks. He is also asking for funds to purchase gas and coal before the coming winter. The total amount of funding requested is at least $5 billion.


Huyu khanithi wa severodonetsk asipotajirika mwaka huu na kumzidi jack maa hatotajirika tena
 
Population ya Malaysia na Singapore combined na ya Tanzania ipi kubwa ?
Basi si Tz ilipaswa kuwa na development more than double times ya hizo nchi ?
We ni mjinga na hujielewi
Acha kudili na petty things kijana
Unazidi kudhalilika.

Ukishajua sababu ya hizo nchi kuendelea hutopata shida.

China na ASEAN big five zimeendelea kwa sababu zifuatazo:

1) Uwekezaji wa viwanda na wafanyabiashara na Mataifa ya Ulaya Magharibi.

2) Kuhamisha Teknolojia kwenda Taifa husika

3)Cheap skilled labour

Usidhani tu waliibuka kama uyoga akili kisoda
Kumbuka Kualar Lumpar Palikuwa Kijiji Cha wavuvi.

Hii ni tactical marginalization inayofanywa kwenye uchumi wakiruhusu baadhi ya nchi kuamka na baadhi kubaki dormant hasa Afrika.
 
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa India amesema kwamba kwa Sasa UN imekuwa ya kipuuzi na inahitaji kufanyiwa marekebisho

Waziri huyo ameonekana kuidharau UN kutokana na kuwa na double standards kwenye kushughulikia Mambo ya kidunia.
Screenshot_20221013-183407.jpg
 
Acha ujinga wako ! wewe umesema kwamba watoto wetu wanafundishwa ushoga na nyie wanalazimishwa kufanya ushoga ,nikakuuliza akina Nani hao ambao wanawandisha watoto wako ushoga huko mashuleni na wewe ulishawahi kulazimishwa kufanya matendo ya kishoga ?

Hujajibu hoja umekurupuka kuandika bullshit pumba mara western countries elementary school kids wanafundishwa ushoga , wtf ,we ni mzima kiakili kweli wewe ?
Wewe ulishafika kwenye moja ya elementary schools za western countries na kuthibitisha hayo madai yako unayotype humu ?
Yaap nimefika labda nikuulize wewe
 
One thing is an attack on NATO allies, then we will of course trigger Article 5 But when it comes to Ukraine, NATO is not part of the conflict, but we support Ukraine in defending themselves Ukraine is a close partner. NATO allies have trained and equipped Ukrainian forces since 2014 And over the last months and weeks, we have develived further and more advanced systems to help Ukraine to protect themselves against the Brutality of Russian Military Forces"
 
Acha kudili na petty things kijana
Unazidi kudhalilika.

Ukishajua sababu ya hizo nchi kuendelea hutopata shida.

China na ASEAN big five zimeendelea kwa sababu zifuatazo:

1) Uwekezaji wa viwanda na wafanyabiashara na Mataifa ya Ulaya Magharibi.

2) Kuhamisha Teknolojia kwenda Taifa husika

3)Cheap skilled labour

Usidhani tu waliibuka kama uyoga akili kisoda
Kumbuka Kualar Lumpar Palikuwa Kijiji Cha wavuvi.

Hii ni tactical marginalization inayofanywa kwenye uchumi wakiruhusu baadhi ya nchi kuamka na baadhi kubaki dormant hasa Afrika.
Wewe ni mwehu ,unafikiri hao matajiri waliowekeza mitaji hapo Asia ni wapumbav sio ? ,hizo nchi ziliandaa policies na mazingira ya kuvutia hao wawekezaji , nchi za KiAfrica hazina viongozi wala wananchi wenye akili kutengeneza hayo mazingira , we Kwa akili yako unafikiri kuallocate big investment muwekezaji anaangalia huruma ? , biashara ni kutengeneza faida na kureduce cost ,sasa huo ujinga wako WA kwamba ni strategy ya kuisolate nchi za kiAfrica unautolea wapi ?


Hao waliopeleka pale mitaji Asia si serikali ni watu na makampuni binafsi na si nchi , nchi zenu zimejaa vilaza promax viongozi kila siku wanawaza upigani na kukandamiza wananchi ili wao na familia zao waishi kama wafalme ,uwajibikaji zero .
Mazingira mabovu ya uwekezaji na sekta binafsi , poor policies ,miundo mbinu zero ,+ insecurity na civil wars allover the continent zinazosababisha na tribalism ,udikteta na uchu WA madaraka . Huyo muwekezaji mnamtoa wapi ?
So umejijibu mwenyewe kwamba tatizo la underdevelopment Afrika ni tatizo la wananchi na watu wenyewe na si vinginevyo na sitarajii uendelee na kuandika ujinga wako WA kuandika vitu vya kufikiria tena .
 
Zelensky has asked international partners for $2 billion to restore energy infrastructure after rocket attacks. He is also asking for funds to purchase gas and coal before the coming winter. The total amount of funding requested is at least $5 billion.


Huyu khanithi wa severodonetsk asipotajirika mwaka huu na kumzidi jack maa hatotajirika tena
Yaani anataka apewe Kama $7bil ($2bil to restore infrastructures + $5bil to purchase Gas and coals). World Bank wame approve kumpatia mkopo wa $530 mil, which is 7.6% ya alichoomba.

Mahitaji yake na hela anazopatika haviendani kabisa.

Na baada ya kupewa huo mkopo, EU Leaders wanasimama Mbele ya vyombo vya habari wakijitapa kwamba wako nae bega kwa bega kwenye kumsaidia.
 
Sasa kama unakataa ukweli dhahili kama huu mwamba anaokuletea, unataka nini zaidi ya kuthibitisha madai yake kwamba umefutika kichwa ardhini kama Ostrich.

Tena siku hizi eti wanasema mtoto ana haki ya kuchagua jinsia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Na alelewe kwenye jenda neutral kisa toxic masculinity inaharibu jamii[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Kuna button ya kuignore nadhani itumie
 
Mtu mwenye mawazo ya kupewa misaada kama wewe haufai kushika hata Uongozi wa kaya yako, achilia mbali ujumbe wa Nyumba kumi.

Nilikuelezea kwa nini maeneo tajwa yameendelea.
Uingereza ipo pale kwa sababu ya wizi walizozifanyia nchi za kiafrika na Dunia kwa ujumla ila Nusu mboga kama wewe unadhani ninni sijui?
Si na nyie mkawaibie muiendeleze Afrika!
 
Afisa wa ngazi ya juu wa NATO amesema Jumatano kwamba endapo rais wa Russia itatumia silaha za nuclear, basi “atajibiwa kwa nguvu zinazostahili” kutoka kwa washirika wa Ukraine na ikiwezekana, muungano wa NATO.
We unaamini? Nchi ya Ukraine imeharibiwa vibaya sana, wamenyang'anywa mpaka ardhi yao, wamekaa kimya na kumzuga na silaha uchwara. Nani ataingiza nchi yake kwenye vita ya nyukilia eti sababu ya Ukraine.?

Hii vita haina hata nyukilia wamekaa kimya, wanasema hawataki direct vita na urusi.
 
Back
Top Bottom