Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yanini kuendelea kupigana iwapo silaha hana.Na anachopewa anakitangaza hadharani.Hizo ni fitna za kuyagombanisha mataifa ya dunia nzima.Mataifa ya Ulaya yamuangalie sana huyu muigizaji shoga.
Hivi kwa nini nyie watu mnapenda sana ushoga, kila saa mnawaza ushoga tu, hamuwezi kabisa kujadili mambo mengine bila kutuletea habari za ushoga. Ndio mbinu zenu za kueneza hizi mambo zenu? Mshindwe, shoga wakubwa nyie.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
The collective West failed to cope with the function of a guarantor of stability in the world after the collapse of the Soviet Union.

The main of Lukashenko's statements at the CICA:

Belarus has contributed to ensuring global security.

In modern realities, the time has come for Asia, and it is very important not to miss this time.

Asia can be a good example for Europe, where the system of checks and balances created in the 1990s is bursting at the seams.

Subscribe to @Sputnik
 
[emoji1255]And again to the news of bourgeois and firewood from the mayor of Lviv.

Sadovoy recommended that residents of the city arrange "heating points" in their homes.

Such "objects" should work on bourgeoisie with firewood, said the mayor of Lviv.

Back in August, Sadovoy promised that the mayor's office would buy bourgeoisie.

As you can see, not everyone had enough.

Subscribe to @Sputnik
 
Hiyo nyukria hata sisi tunatamani sana aidondoshe Ili wajanja wapate nafasi ya kumchakaza mazima..,na mpaka kufikia hapo nafikiri hii vita itaisha faster tu..,hizi danadana zinazoendelea zinatuumiza hata huku namtumbo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivi wewe unaakili kweli?nchi gani inayoweza kuigusa Russia ambayo ndo nchi yenye mabovu makubwa na mabaya zaidi ya nuclear kuliko nchi yoyote?wenyewe wanasema wanaweza kutumia nuclear iwapo uwepo wa nchi Yao duniani utahatarishwa hakuna nchi yenye mabomu makubwa na ya kutisha ya nuclear kama Russia duniani ndo maana wenyewe (NATO)kila siku wanasema hawapo tayari kuingia moja Kwa moja kwenye mgogoro na Russia wakati Rusia kila siku anawaambia yeye yupo tayari kutumia nuclear.
 
Akiamua kutumia nuclear Vita vinaisha mapema kwa hiyo uwezo wa kumaliza Vita mapema anao sema madhara ya nuclear ni makubwa Sana kwa hiyo hawawezi kutumia.akiamua kutumia nuclear Ukraine hakuna anayeweza kumgusa Kwa sababu Wana mabomu hatari ya nuclear kuliko nchi yoyote.wakiamua kutumia Yale madogo Ukraine hakuna wa kumgusa.sema madhara yake ni makubwa Sana.uwezo wanao
NATO wameshampa led line kuhusu hiyo nyukria..,ndio maana hata sisi tunatamani aitumie hiyo nyukria..,Ili tuweze kuona kama kweli urusi anaweza kuvumilia mziki wa NATO hata kwa wiki Moja,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanamgambo 10000 wa Ukraine waliokua UK kwenye mafunzo Russia anawasubiri front wapigwe za mbavu zitoke na maini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

10,000 Ukrainian soldiers have completed their training in the UK and are already being sent to the front.

This is the second group of servicemen trained by London, writes the publication Visegrad 24.

In the future, the EU intends to organize the training of another 15,000 Ukrainian military. Over time, their number may increase.

Is NATO still not a party to the conflict?

Subscribe to @Sputnik
 
UN wanawasumbua nchi maskini tu lakini siyo nchi kama RUSSIA mikoa ndio ivyo imeshaenda na aitorudi kamwe mmeshasahau gueterez alivyokuja apo KIEV na watu wakapiga bomu karibu na Hotel aliyofikia
Hii coment Kila pro Russia anaikwot.., kweli Leo nimeamini mti mwema ndo upigwa mawe siku zote [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
NATO wameshampa led line kuhusu hiyo nyukria..,ndio maana hata sisi tunatamani aitumie hiyo nyukria..,Ili tuweze kuona kama kweli urusi anaweza kuvumilia mziki wa NATO hata kwa wiki Moja,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
NATO hawana uwezo wa kumpangia Russia hata kabla ya kuingia Ukraine walimpa redline ilisaidia nini Sasa?
 
Hivi wewe unaakili kweli?nchi gani inayoweza kuigusa Russia ambayo ndo nchi yenye mabovu makubwa na mabaya zaidi ya nuclear kuliko nchi yoyote?wenyewe wanasema wanaweza kutumia nuclear iwapo uwepo wa nchi Yao duniani utahatarishwa hakuna nchi yenye mabomu makubwa na ya kutisha ya nuclear kama Russia duniani ndo maana wenyewe (NATO)kila siku wanasema hawapo tayari kuingia moja Kwa moja kwenye mgogoro na Russia wakati Rusia kila siku anawaambia yeye yupo tayari kutumia nuclear.
Wewe hapo unayekaa namtumbo ndo unasema kwamba hakuna nchi ya kuigusa urusi iwapo iitatumia silaha za nyukria..,, lakini NATO wenyewe wameliweka hili wazi kwamba iwapo urusi atadhubutu kutumia siraha za nyukria hata za kimkamkati tu,basi jeshi lake littaangamizwa huko ukraine..,na hayo so maneno yangu,ni maneno ya viongozi wa NATO

Sasa sijui tumuamini nani hapa.., NATO wenyewe,au wewe hapo mkazi wa namtumbo [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii coment Kila pro Russia anaikwot.., kweli Leo nimeamini mti mwema ndo upigwa mawe siku zote [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
NATO,..,Red line waliyompa urusi endapo ataivamia Ukraine ilikuwa ni vikwazo tu .,hakuna popote waliposema kwamba iwapo urusi ataivamia Ukraine basi atakabiliwa kijeshi

Au kama una ushaidi kwamba NATO walisema kwamba wataiadhibu urusi kijeshi iwapo ingevamia Ukraine basi uweke hapa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa ashaanza kuwa kichefuchefu.

Kaiingiza nchi yake kwenye matatizo makubwa.

Alipaswa awe amepinduliwa na hao wenyewe wa Ukraine
 
Leo ndege Vita ya Ukraine imeingia kwenye 18 za RF Armed Forces na ikakutana na kitu chenye ncha kali..

The bomber took a hit by a missile. The crew decided to return to the airfield, but failed to do so and crashed on the territory of Poltava Oblast.

View attachment 2386113

Kuna wavaa diaper wanakwambia Ukraine anamiliki anga
 
Ndio Maana ninasema wewe hujielewi ,kujadiliana na wewe ni kupoteza muda ,hiyo miundombinu mnajenga Kwa pesa zenu ? , Miundombinu nyingi ni grants na mikopo mnayopewa toka Kwa hao hao mnaoandika trash humu kuhusu wao ? ,Ni wapi miradi ya barabara na maji ilizuiwa Afrika ?
Hivi unajielewa kweli wewe , serikali zenu zimeshindwa kujenga visima vya maji Tu ? Can you imagine ,nenda Singida na Dodoma pale uone watu wanavyoishi kama punda , na hivyo visima vichache vimejengwa na USAID na civil NGOs. Nyingine za western countries kama DaNiDA nk , we jamaa sijui unaandika upupu gani hapa .

Unaongelea wao kupinga bwawa la umeme ,umeshajiuliza ni sababu gani ilikuwa inawasababisha wapingane na ujenzi WA Hilo bwawa ?
Suala la EACOP muwekezaji mkubwa kwenye huo mradi ni Total sijui hata unaongea ujinga gani aisee , Total ni Kampuni ya kifaransa na wameexist Kwa miaka mingi kwenye hiyo sekta , kwao wanapata backlash toka Kwa green energy movements , NGOs na activists wanaopambana na suala la dunia kuachana na fossil fuels na kutumia nishati mbadala ,wanaweka presha Kwa serikali ya ufaransa kuwapa presha EACOP waachane na mradi Kwani global direction ni towards sustainable energy sources , na hii wanafanya hata huko kwao mfano coal fired thermal power plants na miradi ya ujenzi WA mabomba ya mafuta almost zote zimefungwa na hazifanyi kazi tena pale Europe , pia suala la oil wanaweka presha kufikia 2030 Europe itumie magari yanayotegemea nishati ya umeme , na kupiga total ban ya magari yanayotumia mafuta hii ni kupambana na green houses emmisions toka kwenye fossil fuels .

Sijui kama unajua lolote kuhusiana na Paris Agreement kuhusu new green deal na hii nchi kibao dunia nzima ziliridhia makubaliano ya kuondokana na Matumizi ya fossil fuels kama makaa ya mawe na mafuta , itaonekana ni unafiki na mfano mbaya Kwa France kuwa pale kama host na mwenyekiti WA Yale makubaliano ya Paris ya kutunza mazingira na kuachana na fossil fuels halafu wanaacha kampuni Lao liendelee na kufungua miradi ya uzalishaji WA fossil fuels wakati makubaliano na targets zilizowekwa pale Paris ni tofauti .

Suala la bwawa la umeme kila mtu anajua ilikuwa ni concerns za kimazingira katika Ile hifadhi ya Selous na ni kweli kwani kulikuwa hakujafanyika environment impact assessment study Kwa huo mradi , miradi ya ujenzi WA mabwawa huwezi kujenga kama wewe unavyoamua kwenda kijijinini kwenu kujenga squatter houses ,ni lazima assessment ya mradi na imapct za kimazingira zifanyike Kwanza ,kitu ambacho serikali ya Tz haikufanya na ukawa inafirce Tu mambo bila kufuata standards na requirements zinazotakiwa hiki kitu hata Brasil pia na nchi kibao hata za Europe kinatokea , Brasil wamezuiwa kufanya miradi ya kujenga mabwawa ndani ya Amazon mpaka wafuate procedures Kwa sababu kuna uharibifu mkubwa WA kimazingira unaweza fanyika mule hasa deforestation kitu ambacho hata Selous hapa kwetu kwenye ule mradi WA umeme kimetokea Sana ,hapo huwezi jua biodiversity ambavyo imeathirika na huo mradi , and wanapewa presha na UN environmental agencies na government nyingine Kwa sababu unapoharibu mazingira hauharibu kwako Tu unaleta impacts Kwa wengine pia .

Environmental activism haifanyiki dhidi ya nchi za KiAfrica Tu IPO Hadi US ,kulikuwa na mega project ya ujenzi WA bomba la mafuta toka Canada kuna kwenye refineries za Ohio na Texas ambalo kama lingekamilika lingekuwa ndio bomba la mafuta refu kuliko yote dunia hii ,lakini Green movement activists walipambana na kuipa presha serikali ya USA mpaka mradi ukazuiwa na sababu ilikuwa ni environmental concerns kama za leakage ya mafuta kwenye mito na mahala Hilo bomba linapopita mpaka kufika kule Texas , deforestation na loss ya biodiversity na lingine lilikuwa ni kuharibu ancestral burial lands za red Indians WA hapo US .
Project ya Keystone pipeline USA
Ingia mtandaoni usome uone kinachoendelea dunia hii , sio kujifungia na bullshit conspiracy theories zisizo na kichwa wala miguu .

We farasi acha matusi kama huwezi hoja bila matusi nenda jukwaa la mapenzi huku kuna watu wanaojielewa, watu wa heshima mpumbavu kama wewe usituharibie uzi.
 
Marekani wametolewa mbavuni na Saudi Arabia baada ya kulob tena uzalishaji uongezwe
[emoji1210][emoji631]The US president tried to force the Saudis to postpone the decision to reduce oil production until after the US elections.

The kingdom rejected his proposal, according to an official statement from Riyadh.

OPEC+ decided to reduce oil production by 2 million barrels per day in October.

The White House said it was "disappointed" by such an act, and accused oil-producing countries of "solidarity with Russia."

The US Congress called for the withdrawal of troops from the UAE and KSA, along with missile defense systems that ensure the safety of oil fields.

And President Biden even accused the Crown Prince of Saudi Arabia of helping Putin and threatened Riyadh with "consequences."

Subscribe to @Sputnik
 
NATO,..,Red line waliyompa urusi endapo ataivamia Ukraine ilikuwa ni vikwazo tu .,hakuna popote waliposema kwamba iwapo urusi ataivamia Ukraine basi atakabiliwa kijeshi

Au kama una ushaidi kwamba NATO walisema kwamba wataiadhibu urusi kijeshi iwapo ingevamia Ukraine basi uweke hapa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umechanganyikiwa mpaka unaji qoute mwenyewe [emoji304]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji635]Russia can multiply its gas exports to the East.

In the coming years, Moscow will be able to increase the volume of blue fuel supplies to 100 billion cubic meters in the eastern direction, Russian Deputy Prime Minister Alexander Novak said during the REN-2022.

In 2023, China will receive twice as much gas through the Power of Siberia gas pipeline as a year earlier — 22 billion cubic meters. By 2027, supplies will increase to 38 billion cubic meters.

About another 50 billion cubic meters of gas can go through the planned Power of Siberia — 2 pipeline.

About 10 billion cubic meters of gas will go through the new "Far Eastern pipe" from Sakhalin to China.

Russia is also developing gas liquefaction technologies. If about 30 million tons are produced today, it is planned to double the volume in the coming year.

By 2030, LNG production may increase to 100 million tons.

In 2021, Russia exported 251 billion cubic meters of gas, 210 billion of which accounted for pipeline supplies and 41 billion for LNG.

Subscribe to @Sputnik
 
[emoji1130][emoji635]Gazprom can supply gas to Asia and Pakistan in transit through Iran.

This was announced during the Russian Energy Week by Deputy Oil Minister of the Islamic Republic Ahmed Asadzade.

Iran's neighbors represent a large market for gas consumers, so exporting through its territory is a "great opportunity" for Gazprom.

The population of Pakistan is 228 million people.
The country consumes more than 40 billion cubic meters of blue fuel per year, and this figure is constantly growing.

Subscribe to @Sputnik
 
1665684919245.png


1665684986419.png


Russia has deployed 11 Tu-160 and Tu-95MS strategic bombers in the Murmansk region, near the border with Norway.
 
Back
Top Bottom