Ukraine hatumii hizo pickup frontline Russia ndio anatumia gari za kawaida hadi Corolla na bodaboda anazo frontline
Katika Psychology... Kuna kitu kinaitwa Conscious.... U just have a dead one ... Unilipe ada nikufundishe aina zaidi... Soma hiyo Kwa faida yako... U have dead brain , ceased ..... Equal to the dead.Sitamshangaa kuja tena na comments uchwara zake Maana hilo fuvu lake limejaa tope zito la udongo mfinyanzi
Belgorod Russia imepigwa kitu kizito usiku huu ammunition depot inakaangwa
Tunapiga maeneo sensitive sio kupiga magari ya raia na barabara then mnaona ndio mnashambulia piga hesabu hiyo ammunition depot ilikuwa na mzigo kiasi gani maana huo mji uko mpakani ndio panatumika ku supply silaha frontline pigo kubwa kwa mzee wa cancerNi kweli pamelipuliwa. Naona Ukraine wanataka damu itoke masikini mwao ndipo wataelewa.
Yule General mliyemsifia Monday yuko wapi mbona harushi tena rocket kama mvua au na yeye ameamua kutumia nguvu 5% ya jeshi lake kama boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kweli pamelipuliwa. Naona Ukraine wanataka damu itoke masikini mwao ndipo wataelewa.
Hii Post yako naitunza kwa matumizi ya baadaye. Kikubwa, weka akiba ya maneno!!Yule General mliyemsifia Monday yuko wapi mbona harushi tena rocket kama mvua au na yeye ameamua kutumia nguvu 5% ya jeshi lake kama boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliwaambia zile mbwembwe zinaisha Tuesday hutasikia tena wakirushwa maana targets zitakaangwa vibaya
Jumatatu mlimwagika sana humu hata waliopotea miezi walirudi na mshaanza kupoteana tu General mlimwona mwokozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii Post yako naitunza kwa matumizi ya baadaye. Kikubwa, weka akiba ya maneno!!
Naona kabisa... umeamua kabisa kutumia visigino kufanya kazi ya ubongo.....Jumatatu mlimwagika sana humu hata waliopotea miezi walirudi na mshaanza kupoteana tu General mlimwona mwokozi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijaona mahali walipo andika magobore?Hawa kenge wa NATO wanachangishana magobole
Britain to Donate Air Defense Systems to Ukraine
UK Defense Secretary Ben Wallace announced Thursday that Britain would donate air defense systems to Ukraine in the coming weeks ahead of Thursday’s NATO meeting in Brussels.
Hundreds of air defense missiles that can be used with the National Advanced Surface-to-Air Missile System provided by the US and 18 howitzer artillery guns will also be supplied to Kiev.
The first of four German IRIS-T air defense systems arrived yesterday in Ukraine, while French President Emmanuel Macron promised Wednesday that Paris would send radar and air defense systems in the coming weeks.
Subscribe to RT
Mgambo kwa kingereza anaitwaje?Wanamgambo 10000 wa Ukraine waliokua UK kwenye mafunzo Russia anawasubiri front wapigwe za mbavu zitoke na maini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
10,000 Ukrainian soldiers have completed their training in the UK and are already being sent to the front.
This is the second group of servicemen trained by London, writes the publication Visegrad 24.
In the future, the EU intends to organize the training of another 15,000 Ukrainian military. Over time, their number may increase.
Is NATO still not a party to the conflict?
Subscribe to @Sputnik
Nini msingi wa swali lako achana na maana ya mgambo!!?? Kila nchi Ina MFUMO wake wa kijeshi ....Mgambo kwa kingereza anaitwaje?
MilitiaMgambo kwa kingereza anaitwaje?
Huyu Kimbukiko ni kati ya watu ambao IQ Test inawa grade below average. Ndio maana anatukana na kuandika nonsense muda wote. Ni ndugu moja na Kp Kipanya 44. Yaani hawa fit kwenye jamii iliyostaarabikaWe farasi acha matusi kama huwezi hoja bila matusi nenda jukwaa la mapenzi huku kuna watu wanaojielewa, watu wa heshima mpumbavu kama wewe usituharibie uzi.
Ungekuwa na Iq ungekuwa unaandika utopolo hapa ? , mbw@ weweHuyu Kimbukiko ni kati ya watu ambao IQ Test inawa grade below average. Ndio maana anatukana na kuandika nonsense muda wote. Ni ndugu moja na Kp Kipanya 44. Yaani hawa fit kwenye jamii iliyostaarabika