TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 1,079
- 1,376
Kwa muda mfupi wa maamuzi ya kupeleka huu mfumo wa kujilinda.... nani anauendesha? UKRAINE? 🤔 sidhani kama ameshapata mafunzo.... Probably ni NATO 😅 Acha Putin awanyooshe tu mpaka wakafungue Groningen,NL. 🍻🍻🍻🍻The IRIS-T air defense system which Ukraine received from Germany is already in use and protecting the south of Ukraine.
State-of-the-art defense system:
View attachment 2387489
NATO wanazidi kujivua nguo kila kukicha, Wame train jeshi la Ukraine toka mwaka 2014 (8years) lakini limekuja kutembezewa kichapo na jeshi la Makruti wa kirusi laki moja+ tu, leo hii hao mashoga waliotepeta kwa mafunzo ya wiki kadhaa ndo waje kufua dafu kwa Russia tena chini ya moto wa Gen.Surovikin.Wanamgambo 10000 wa Ukraine waliokua UK kwenye mafunzo Russia anawasubiri front wapigwe za mbavu zitoke na maini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
10,000 Ukrainian soldiers have completed their training in the UK and are already being sent to the front.
This is the second group of servicemen trained by London, writes the publication Visegrad 24.
In the future, the EU intends to organize the training of another 15,000 Ukrainian military. Over time, their number may increase.
Is NATO still not a party to the conflict?
Subscribe to @Sputnik
Mbona hawa NATO wanajitetea sana kwa Russia,[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
NATO does not pose a threat to Russia and is not looking for confrontation, says the Pentagon chief.
The Alliance will simply hold strategic nuclear exercises Steadfast Noon next week at a distance of 600 miles from the Russian Federation.
14 NATO countries will take part in them. There are no plans to use real ammunition, the White House assures.
And yes, they, of course, have nothing to do with Ukraine.
Subscribe to @Sputnik
Ndio maana nakwambia wewe ni kichekesho [emoji2][emoji2][emoji2]Huna hoja na hujui kura za UN zina impact gani, wewe na Putin ni kama ngumi za Mandoga zinazokata kona Huna maana yoyote.
Na mjinga wako anakwenda kubokolewa kama mbwa mwizi
Hiyo ni uongo buana "Russia nchi masikini katoa wapi strategic bombers kali hivo wakati aliishiwa silaha na chakula mwezi March"Russia ni wahuni sana
[emoji635][emoji3518][emoji3575] NATO signal: Russia has deployed 11 strategic bombers capable of carrying nuclear weapons in the Murmansk region
Western military experts say that this is a signal to the West.View attachment 2386344
Huyo atakuwa "mule" kastukiwa!!!The Insider: Kremlin-linked officers seek asylum in France. A member of Russia’s Security Service (FSB) and a member of the Russian mercenary organization Wagner have requested asylum in France. Testimonies provided will shed light on Russia’s war crimes in Ukraine.
Mbona hayo kiduku anayo na nchi yake haina uchumi,kuwa na makombora siyo kuwa na uchumi mzuri ,hayo ni mambo ya sera za nchi yenyeweHiyo ni uongo buana "Russia nchi masikini katoa wapi strategic bombers kali hivo wakati aliishiwa silaha na chakula mwezi March"
Alisikika Pro-NATO mmoja kutoka Namtumbo ndani ndani huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi umevamiwa na wabishani wa vijiweni, matusi na utoto mwingi. Mi nafikiri hawa wanaotukana msiwajibu mkuuUmetokea wapi wewe??Mbona unaongea kwa hasira utafikiri una ugomvi na mtu humu??Kanywe maji kwanza..utulie
Russian President Vladimir Putin announced that his “partial” mobilization will end in “about two weeks”—likely to free up bureaucratic bandwidth for the normal autumn conscription cycle that will begin on November 1.Tazama Azov wanavyotoa ambushi kwa vijana wa Putin ni hatari na hawa ndio waliwamaliza wale Chechenya na madevu yao walijua ni Iraq pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona hawa wanakuambia minor ama limited ujue ni major and extended . Sasa ndugu zetu wa vopichapicha tuvideo .Russian President Vladimir Putin announced that his “partial” mobilization will end in “about two weeks”—likely to free up bureaucratic bandwidth for the normal autumn conscription cycle that will begin on November 1.
Click here to read the latest from ISW and CTP:
Institute for the Study of War
Eastern Ukraine Update:
- Russian sources continued to claim that Ukrainian forces are conducting counteroffensive operations in northeast Kharkiv Oblast east of Kupyansk.
- Russian troops conducted limited ground attacks west of Kreminna in order to regain lost positions.
- Russian troops continued ground attacks around Bakhmut and Donetsk City.
Southern Axis Update:
Russian forces conducted limited ground attacks in northwestern Kherson Oblast in order to regain lost positions.
Russian Mobilization & Force Generation Update:
The presence of large numbers of Russian citizens fleeing mobilization continues to drive tensions in Central Asian states.
Russian-Occupied Areas Update:
Russian officials continued to brand their movement of populations out of Kherson Oblast as recreational “humanitarian trips” rather than evacuations.