Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
HII VITA ITAKUWA SEHEMU YA MAISHA KAMA CORONAmajaribio ya drone version ya kwanza imekamilika successfully . sasa tuko majaribio ya drone version 2 ...
ukraine uwanja wa kutestia siraha
View attachment 2388171
Iranian sources report that Russia has ordered new Arash-2 UAVs from Iran. The warhead of the new drone is much larger than that of the Geran.
Alifanya hivyo kuzuga tu Ili aonekane na yeye ana washirika.., kutengwa na dunia nzima unadhani mchezo [emoji2957]NATO walitarajia Russia wangetumia Drones ambazo zimekuwa manufactured Russia ili wakizikamata wazi study na kuona loopholes zake.
Sasa Russia alichofanya ni kwenda kuchukua drones za Iran [emoji3]
Hivi ana drones ? Niliwahi sikia mwanzo Russia km alipuuza drones na ndio kajifunza umuhimu wake SASA .NATO walitarajia Russia wangetumia Drones ambazo zimekuwa manufactured Russia ili wakizikamata wazi study na kuona loopholes zake.
Sasa Russia alichofanya ni kwenda kuchukua drones za Iran [emoji3]
ata iran hajaleta drone zake kina mohajer,,what they did is just simple cheap suicide loitering munitions. key word: suicideNATO walitarajia Russia wangetumia Drones ambazo zimekuwa manufactured Russia ili wakizikamata wazi study na kuona loopholes zake.
Sasa Russia alichofanya ni kwenda kuchukua drones za Iran [emoji3]
Nani kasema?!ata iran hajaleta drone zake kina mohajer,,what they did is just simple cheap suicide loitering munitions. key word: suicide
Russia ana aiba kibao ya drones.Hivi ana drones ? Niliwahi sikia mwanzo Russia km alipuuza drones na ndio kajifunza umuhimu wake SASA .
Kiherehere chake kinamponza watu wana m keep busyBado china anampelekea moto kwenye uchumi.
Alifanya hivyo kuzuga tu Ili aonekane na yeye ana washirika.., kutengwa na dunia nzima unadhani mchezo [emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dunia nzima ipi iliyomtenga Russia?!?! Hakuna kitu kama hicho Cha kuitenga Russia....Afrika yenyewe pamoja na mikwara ya West bado haijamtenga Russia....Yaani Kuna nchi karibu 50 hazijaitenga Russia..Alifanya hivyo kuzuga tu Ili aonekane na yeye ana washirika.., kutengwa na dunia nzima unadhani mchezo [emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Umempiga na kitu kizitoNani kasema?!
Ukrainian Soldiers seize Iranian-made Mohajer-6 drone
Ukrainian Soldiers seize Iranian-made Mohajer-6 drone
yes bro nimeona hio pro ukraine blog.. but closely looking kwa hio picha hapo juu inaonyesha kuna vitu ziko croped siwajua hawa watu na propaganda.Nani kasema?!
Ukrainian Soldiers seize Iranian-made Mohajer-6 drone
Ukrainian Soldiers seize Iranian-made Mohajer-6 drone
Wanatafuta kwa torch reaction ya super pawer wa mchongo Ili ajichanganye,Belgorod kunawaka
Biden made it clear there will be dire consequences for the Saudis, and the OPEC+ decision was a mistake - White House
Hivi ni mie tu au vipi? Naona kama hii itazidi kuisukuma Saudia kwenye bloc ya Iran-China-Russia hasa tukizingatia siku za karibuni kumeanza kua na maelewano baina ya Iran na Saudia.
Na endapo UAE na Saudis wakienda mazima Upande wa Eastern Bloc kisha akawa afanya biashara nao kwa their national currencies itachochea zaidi kuporomoka ama kupoteza zaidi kufa kwa petro-dollar. Na atakaye benefit zaidi ni China kwa Yuan yake.
Dementia Joe anahisi bado tupo karne ya 20 kila kitu anakipeleka kwa ubabe na vitisho [emoji23]...
It's 21st century bwana, zile za chagua upande imepitwa na wakati. Sasa ni kumwaga mboga wamwage ugali hadi akili ziwakae sawa!
Urusi anachakazwa mpaka Homeland.., laiti angejua kabla kwamba atakutana na huu mkong'oto anaotembzewa sidhani kama angetia pua yake Ukraine,Baada ya Russia kurusha tena Makombora Ukraine, Ukraine nayo imejibu kwa kupiga Makombora ndani ya Urusi (Belgorod),wamelipua oil depot.
[emoji298]️Governor: Fire breaks out at oil depot due to shelling in Belgorod, Russia.
Vyacheslav Gladkov, governor of Russia's Belgorod Oblast, said that emergency workers had extinguished the fire.