Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Jistukie chiefKwahiyo wale maiti tunaoona ni wanaigiza au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jistukie chiefKwahiyo wale maiti tunaoona ni wanaigiza au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua mzee unajidhalilishaHizo submarine anazo mrusi peke yake sio? Hivi Kuna nchi Ina idadi kubwa ya submarine zaidi ya marekani?[emoji848]
Tatizo mnapenda kujifariji hata kusipo na uhalisia,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ok...pole...huijui multipolar...ulichogusia hapo ni bipolar....I am talking of a multipolar world and not a unipolar world as it is now nor a bipolar world...Siku kutakuwepo na multipolar world duniani upande wa pili utaongizwa na China sio Russia.
'Nusu ya Silaha za nyukria alizonazo marekani zinaweza kubebwa na submarines zake zilizotapakaa kote dunian 'Unajua mzee unajidhalilisha
Mzee unanikonga numbura kwa coments na ufahamu wako. Si huku tunakula mabumunda maisha yanaendaUnadhani mimi ni useless kama wewe ? Tuna ardhi na sehemu mbalimbali nchi hii ngano inalimwa, go and find acha kuwa ng'ombe. Hiyo ngano inakuja TZ sababu ni cheap plus uzembe wa hali ya juu. Haina maana hatuna ngano.
Ni ujinga sana kwa Tanzania kuingiza ngano badala ya kuuza kwa sababu ina ardhi nzuri ya kilimo cha ngano.
Kama zinawakera piteni kimya tu..,si mnasema video game [emoji2957]Jistukie chief
Hazikeri zinachekesha sanaKama zinawakera piteni kimya tu..,si mnasema video game [emoji2957]
Waache wanaopenda kuzifuatilia wafuatilie,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Biden made it clear there will be dire consequences for the Saudis, and the OPEC+ decision was a mistake - White House
Hivi ni mie tu au vipi? Naona kama hii itazidi kuisukuma Saudia kwenye bloc ya Iran-China-Russia hasa tukizingatia siku za karibuni kumeanza kua na maelewano baina ya Iran na Saudia.
Na endapo UAE na Saudis wakienda mazima Upande wa Eastern Bloc kisha akawa afanya biashara nao kwa their national currencies itachochea zaidi kuporomoka ama kupoteza zaidi kufa kwa petro-dollar. Na atakaye benefit zaidi ni China kwa Yuan yake.
Dementia Joe anahisi bado tupo karne ya 20 kila kitu anakipeleka kwa ubabe na vitisho [emoji23]...
It's 21st century bwana, zile za chagua upande imepitwa na wakati. Sasa ni kumwaga mboga wamwage ugali hadi akili ziwakae sawa!
Wanunue na wenyewe si Wana za mturuki mbona Russia na Edorgan washkaji tuDrones za Iran zinazidi kuleta shida...
Baada ya drones za Iran kuua magaidi ya Ukraine, EU Foreign Ministers wanapanga kukutana wiki ijayo jumatatu kujadiliana namna ya kuiwekea vikwazo Iran.
Je, wakishaweka hivyo vikwazo ndio drones zitaacha kuwaua...?
View attachment 2388153
Mimi mpemba fyoko niliyeishia darasa la 7 nafahamu fika huyu mama ni kilaza wa siasa, geographia na utawala. Cha ajabu viumbe tunaoambiwa ni smart wamechelewa kulifahamu hilo.IMEFIKIA KIWANGO UK HAITAWALIKI
View attachment 2388160
Amid rumors of the possible resignation of UK Prime Minister Liz Truss, new finance minister Jeremy Hunt warned that the authorities "will have to make tough decisions on both expenses and taxes".
fixed....Deputy Prime Minister of Ukraine Stefanishyna acknowledged NATO's involvement in the Ukrainian conflict: according to her, the special operation gives Russia "experience in actually fighting the NATO army, which has already been trained in accordance with NATO standards ... equipped with the latest NATO equipment"
Kule linaenda kutokea balaa.majaribio ya drone version ya kwanza imekamilika successfully . sasa tuko majaribio ya drone version 2 ...
ukraine uwanja wa kutestia siraha
View attachment 2388171
Iranian sources report that Russia has ordered new Arash-2 UAVs from Iran. The warhead of the new drone is much larger than that of the Geran.