Ha ha haa,
Marekani hajawahi kua na akili hata siku moja,
Utajiri wake ni WA ujanjaujanja,utapeli,dhuluma,wizi na uonevu.
Marekani kihistoria ni ma pirates,
Walivamia nchi ya Red Indians wakaidhulumu,
Kisha wakaanza kudhulumiana Mali wenywe kwa wenyewe hapa ndio wale ma "cow boy" walipokua wakiwaibia Mali kibabe watu wengine.
Sasa hapa Leo hii Marekani wamewashawishi West waiwekee vikwazo Urusi matokeo yake Urusi ndio inaonekana kuwaweka wao,wanaoteseka ni west.
Ukija kwa maelezo Yako Marekani kamshawishi Taiwani asimuuzie china bidhaa hizo,ili kumkomoa china,
Kumbe bidhaa hiyo inategemea malighafi kutoka china,kwa hiyo china nae kabana kumuuzia Taiwani hiyo malighafi.
Sasa hapa anaeumia ni Taiwani kwa sababu hatazalisha bidhaa hiyo na hataweza kuyauzia mataifa mengine.
Hao ndio Marekani.