Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Ladies and gentlemen...
mbele yenu ni Kherson front line
Kuna pro RUssia atasema ni mtego
Ladies and gentlemen...
mbele yenu ni Kherson front line
🍻🍻🍻Kuna pro RUssia atasema ni mtego
We ndiye mwenye akili siyo ,Ha ha haa,
Marekani hajawahi kua na akili hata siku moja,
Utajiri wake ni WA ujanjaujanja,utapeli,dhuluma,wizi na uonevu.
Marekani kihistoria ni ma pirates,
Walivamia nchi ya Red Indians wakaidhulumu,
Kisha wakaanza kudhulumiana Mali wenywe kwa wenyewe hapa ndio wale ma "cow boy" walipokua wakiwaibia Mali kibabe watu wengine.
Sasa hapa Leo hii Marekani wamewashawishi West waiwekee vikwazo Urusi matokeo yake Urusi ndio inaonekana kuwaweka wao,wanaoteseka ni west.
Ukija kwa maelezo Yako Marekani kamshawishi Taiwani asimuuzie china bidhaa hizo,ili kumkomoa china,
Kumbe bidhaa hiyo inategemea malighafi kutoka china,kwa hiyo china nae kabana kumuuzia Taiwani hiyo malighafi.
Sasa hapa anaeumia ni Taiwani kwa sababu hatazalisha bidhaa hiyo na hataweza kuyauzia mataifa mengine.
Hao ndio Marekani.
Yaan ht siku Putin akifa watasema ni mbinu tu hio atafufuka,Kuna pro RUssia atasema ni mtego
Cheap propaganda..Newly mobilised Russian soldiers already returning in coffins
James Kilner
Fri, October 14, 2022, 7:20 PM·2 min read
In this article:
![]()
Vladimir Putin
President of Russia
![]()
A Russian conscript hugs family members - MAXIM SHIPENKOV/EPA-EFE/Shutterstock
Coffins containing the bodies of men conscripted by the Kremlin just last month are already being flown back to Russia from Ukraine.
Pro-war Russian bloggers said that the death of conscripts barely three weeks after Vladimir Putin ordered a mobilisation showed just how shambolic the process had been.
"
Walienda kwasababu ya oil, na USSR alimshindwa
Ha ha ha haa alijitahidi kujificha lkn mwisho wa siku kanyoosha kidole juu kuhesabiwa.Yule mbona anajulikana mda tu mkuu
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2387653
Walienda kwasababu ya oil, na USSR alimshindwa
Baba jeshi la Urusi ni moja ya majeshi makali sana hata bila nyukilia.Mkuu je inawezakana hakuna anayehofia jeshi la Urusi (baada ya kuona jinsi lilivyo) lakini wanaogopa mabomu ya nyuklia na hali ya akili ya Putin?
Elon Musk ameshaona hatari ya satellites zake kuharibiwa.UJUE RUSSIA ANAWAFINYA KIMYA KIMYA. View attachment 2387706
[emoji845]Elon Musk said that Russia is trying to "kill" the Starlink satellite Internet system in Ukraine, it may stop working, despite the resources invested in its protection.
Za mbao hizo...za kubumba...View attachment 2387780
🇷🇺🇺🇦⚡ Russian kamikaze UAV "Lancet" destroyed 2 S-300 air defense systems of the Armed Forces of Ukraine in the Zaporozhye region
Nimekupa za USO mpaka kimbelembele kimeisha naona umeanza kuleta kiherehere tena sio ?
Unataka ubatizo WA Moto tena a
Wewe ni mgonjwa afya ya akili nikidili na wewe ntakua nakunyanyasa kama mlemavu na kawaida ya walemavu hua hamtaki kushindwaNimekupa za USO mpaka kimbelembele kimeisha naona umeanza kuleta kiherehere tena sio ?
Unataka ubatizo WA Moto tena au ,?
Kauli ya kibabe ambayo nato ametamkiwa na itafunga mwaka kwanguPutin: "I want the Kiev regime and their sponsors in the West to hear me ... People of the DPR, LPR, Zaporozhye and Kherson regions become Russian citizens forever!"