RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Marekani na washirika wake zaidi ya 10 tena wenye nguvu waliivamia Iraq, kuiteka Iraq iliwa chukua miezi miwili pamoja na kutumia nguvu kubwa.Umeishia la ngap ? Mzungu Hana akili ndogo kama zako Mzee , au za babu yako Putin , huyo Russia akianza kufyatua silaha ovyo ovyo madhara yake ni makubwa , hata Korea kaskazini akiamua afyatue silaha zake ovyo ovyo madhara ni makubwa , na sio kwamba wengine hawana silaha wanazo , Ila makelele kama ya Putin ndo hawana , watu wanajua madhara ya vita , hakuna haja ya kutanua globe scale of war Kwa sababu ya mjinga mmoja , walishajionea Kwa Hitler with a terrible resolve , ....!! Ni kweli Ukraine ni mbuzi wa kafara , hata hvyo kupitia maumivu ya Ukraine ndo yatammaliza huyo Babu bila kuleta madhara kwingine, atachapika economically, politically, millitary and socially....!!
Ukrainian air defence imekuwa mwiba mkali Kwa russian airforce , multiple russian skilled fighter pilot wamekamatika , kwenye modern warfare ukishindwa kutawala anga , hamna kitu utafanya, hayo ma vifaru ya Russia hamna kitu , labda kuharibu maghorofa ya watu tu mjini
Kwa kigezo hicho ulitakiwa kutambua ya kwamba vita sio lele mama kama unavyo fikiri wewe.
Ukitaka kujua ya kwamba Urusi hatumii nguvu kubwa angalia idadi ya vifo ni ndogo.
Marekani siku kumi za kwanza za uvamizi nchini Iraq zaidi ya watu 30,000 walikuwa tiyari wameuawa na maelfu ya wengine kujeruhiwa ,hali yakuwa sasa hivi Ukraine walio uliwa hawa zidi 3,000.
Jana Chanel ya Al jazira ilikuwa ina fanya mahojiano na kamanda mstaafu wa Marekani akawa ana sema ya kwamba kwa anavyo ijua Urusi bado haojatumia hata asilimia 20 ya nguvu zake na akasema kikosi kilocho tumika kuivamia Ukraine kiliundwa mwaka 2016 na ndio maana asilimia kubwa ni vijana wadogo wengi hawana uzoefu wa vita.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app