LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Umeishia la ngap ? Mzungu Hana akili ndogo kama zako Mzee , au za babu yako Putin , huyo Russia akianza kufyatua silaha ovyo ovyo madhara yake ni makubwa , hata Korea kaskazini akiamua afyatue silaha zake ovyo ovyo madhara ni makubwa , na sio kwamba wengine hawana silaha wanazo , Ila makelele kama ya Putin ndo hawana , watu wanajua madhara ya vita , hakuna haja ya kutanua globe scale of war Kwa sababu ya mjinga mmoja , walishajionea Kwa Hitler with a terrible resolve , ....!! Ni kweli Ukraine ni mbuzi wa kafara , hata hvyo kupitia maumivu ya Ukraine ndo yatammaliza huyo Babu bila kuleta madhara kwingine, atachapika economically, politically, millitary and socially....!!

Ukrainian air defence imekuwa mwiba mkali Kwa russian airforce , multiple russian skilled fighter pilot wamekamatika , kwenye modern warfare ukishindwa kutawala anga , hamna kitu utafanya, hayo ma vifaru ya Russia hamna kitu , labda kuharibu maghorofa ya watu tu mjini
Marekani na washirika wake zaidi ya 10 tena wenye nguvu waliivamia Iraq, kuiteka Iraq iliwa chukua miezi miwili pamoja na kutumia nguvu kubwa.

Kwa kigezo hicho ulitakiwa kutambua ya kwamba vita sio lele mama kama unavyo fikiri wewe.

Ukitaka kujua ya kwamba Urusi hatumii nguvu kubwa angalia idadi ya vifo ni ndogo.
Marekani siku kumi za kwanza za uvamizi nchini Iraq zaidi ya watu 30,000 walikuwa tiyari wameuawa na maelfu ya wengine kujeruhiwa ,hali yakuwa sasa hivi Ukraine walio uliwa hawa zidi 3,000.

Jana Chanel ya Al jazira ilikuwa ina fanya mahojiano na kamanda mstaafu wa Marekani akawa ana sema ya kwamba kwa anavyo ijua Urusi bado haojatumia hata asilimia 20 ya nguvu zake na akasema kikosi kilocho tumika kuivamia Ukraine kiliundwa mwaka 2016 na ndio maana asilimia kubwa ni vijana wadogo wengi hawana uzoefu wa vita.
Screenshot_20220305-161104.jpg

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Kanuni ya vita ni Man 2 Man!

Wanachokifanya Ukraine baada ya kukimbia kambi wameamua kujimix na raia so wanapiga kwa kuvizia. Ni sawa na ulingo wa boxing unapigana na mpinzani wako kwa kujificha mgongoni kwa refa. Unashambulia akirudisha unajificha nyuma ya refa.

Wa Ukraine wanatumia raia kama Kinga kujificha kwenye mgongo wa raia. Putin kashawaambia waache utoto huo wa kujificha kwenye migongo ya raia waone show.
Na kuhusu death tolls wanazozitoa Ukraine kwamba wameua wanajeshi 10,000+ na kuangusha ndege 44 na helicopter 44 ni uongo wa wazi kabisa..

Nilikuwa napita mitandaoni asubuhi hii nikakutana na mwanajeshi mmoja veteran wa US mwenyewe anasema kapigana mara mbili Afghanistan na mara moja Iraq hakuna ukweli wowote unaweza kumuaminisha Russia amepoteza all that within 9 days. Anasema kuna uongo mwingi sana tunadanganywa kwenye vita kupitia tunazoziita NEWS. Na huyu amekuwa jeshini miaka 22, propaganda at its best as he said..
 
urusi yataka hakikisho kuwa marekani vikwazo kuhusu ukraine havitazuia biashara kati ya urusi na iran bila hakikisho hilo haitasapoti new iran nuclear deal, iran haion sababu ya urusi kuhusisha mamb hayo mawili
 
Nakumbuka siku ya kwanza tulitangaziwa majeshi ya urusi yameteka uwanja wa ndege mji mkuu kiyv,lakini baadae tukaambiwa huo uwanja umerejeshwa uthibi wa majeshi ya ukrain,naomba kujua hatima ya wanajeshi wa urusi waliondoka huko au ilikuwaje
Waliuwawa wote.

Sio Kiev tu kuna mji unaitwa Karkiv pia walirudishwa nyuma.

Sasa wanataka kuivamia Ukraine kutokea kaskazini kwenye ule msafara wa ambao hausogei na kutokea Kusini ambapo wameongeza nguvu
 
Na kuhusu death tolls wanazozitoa Ukraine kwamba wameua wanajeshi 10,000+ na kuangusha ndege 44 na helicopter 44 ni uongo wa wazi kabisa..

Nilikuwa napita mitandaoni asubuhi hii nikakutana na mwanajeshi mmoja veteran wa US mwenyewe anasema kapigana mara mbili Afghanistan na mara moja Iraq hakuna ukweli wowote unaweza kumuaminisha Russia amepoteza all that within 9 days. Anasema kuna uongo mwingi sana tunadanganywa kwenye vita kupitia tunazoziita NEWS. Na huyu amekuwa jeshini miaka 22, propaganda at its best as he said..
Hahahahhahah huyo Veteran si yule wa Marekani?😅 Yule mwamba amekuwa muwazi tu kuwa sio marekani wala Nato ambao wanaweza simamisha battle na mrusi maana watapotea.

Yeye ni mstaafu na amekiri hilo, sasa humu wapuuzi wanavyoona Russia sijua anapondwa mara jeshi lake limefurumushwa wakati wameshakamata vinu vya Nyuklia viwili hapo Ukraine bado kimoja sijui story za mrusi kuzidiwa wanazito wapi!
 
Hio s 300 ya ukraine imeshachezewa kitambo
Hizi S-300 hata Russia wanazo na zimekamatwa na kuharibiwa na Majeshi ya Ukraine.

Kumbuka Ukraine ilikuwa mnunuzi mkubwa wa vifaa ya Kijeshi vya Russia.

So far kwenye huu mgogoro umeonesha kuwa Ndege za na vifaa vingi vya Russia si vizuri kwenye vita kama vinavyosemwa.

hadi sasa Licha ya Ukraine kuwa na Jeshi dhaifu kulinganisha na la Urusi ila limeweza kuangusha Karibu ndege za Russia zaidi ya 10.

Imagine Ufaransa, UK, Marekani wote walete ndege zao.

So far Mtu aliyepata soko kwenye Hii vita ni Uturuki na zile Drone zake na yale makombora ya marekani ya kutungulia Vifaru
 
Hahahahhahah huyo Veteran si yule wa Marekani?😅 Yule mwamba amekuwa muwazi tu kuwa sio marekani wala Nato ambao wanaweza simamisha battle na mrusi maana watapotea.

Yeye ni mstaafu na amekiri hilo, sasa humu wapuuzi wanavyoona Russia sijua anapondwa mara jeshi lake limefurumushwa wakati wameshakamata vinu vya Nyuklia viwili hapo Ukraine bado kimoja sijui story za mrusi kuzidiwa wanazito wapi!
Uzuri Putin hachoki kutufurahisha sie warusi wa tandika kama ni kutandika tu
 
Kwa mtu mwenye kaelimu kuhusu sheria za kimataifa na UN charter hawezi kwa Sasa hivi kuzilaumu Dola za magharibi.Wao wamefanya accordingly kwa kufuata kanuni za jus in bello na nyenzake.Matumizi ya nguvu kulingana na UN charter haitakiwi kutumika mpaka kuwe na ulazima na kwa kufuata kanuni.
 
Tumegeukia kupata endless motivational speeches kutoka kwa Wakubwa wa Russia kupitia TBC yao (RT),hatuna namna acha tuendelee kusoma hizo speeches.Hakuna movie tena Mkuu hapa,watu wanatafuta exit plan ya kiutu uzima baada ya mambo kuwa si mambo.
Hahaha, kwamba mambo yamekuwa si mambo.
 
Waliuwawa wote.

Sio Kiev tu kuna mji unaitwa Karkiv pia walirudishwa nyuma.

Sasa wanataka kuivamia Ukraine kutokea kaskazini kwenye ule msafara wa ambao hausogei na kutokea Kusini ambapo wameongeza nguvu
kharkiv upo chini upande keiv warusi wapo sumy gomel na irpin sumy na jana waliiichukua meliupol kieu watu wengi sana wanasubiri waondolewe
 
Putin: Ukraine’s resistance threatens its statehood​

Russian President Vladimir Putin has warned Ukraine that its statehood is in jeopardy.

“If they continue to do what they are doing… they are calling into question the future of Ukrainian statehood,” he said on Saturday.

Bado kuna watu wanaamini hii vita ni Rahisi kwa RUssia
 
Back
Top Bottom