LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hahahaha hawa wahuni wakipewa order wakamalize show ni kitendo cha masaa 24 tu watakuwa washakamata kichwa cha Zelensky 😅
 
kharkiv upo chini upande keiv warusi wapo sumy gomel na irpin sumy na jana waliiichukua meliupol kieu watu wengi sana wanasubiri waondolewe
Si kweli ni mji mmoja tu hadi sasa ndio Russia wamechukua ambao ni Kherson.

Mingine yote hadi sasa hawaweza kuchukua na waendelea kushuhudia causalities nyingi tu, ikiwemo supplies chain zao.

Russia alishindwa kabisa kuteka Kiev ndio maana ameamua kupeleka nguvu nyingi kusini ile aje aungane na Vikosi vya Waasi na Askari kutoka Beralus

Putin: Ukraine’s resistance threatens its statehood​

Russian President Vladimir Putin has warned Ukraine that its statehood is in jeopardy.

“If they continue to do what they are doing… they are calling into question the future of Ukrainian statehood,” he said on Saturday.
 
Ukraine ni taifa la kale zaidi kabla ya Russia.
Kyiv ilikuwa jiji kubwa muda mrefu sana wakati Moscow ikiwa kijiji tu.
hawa watu hawabackup hoja zao na facts ht kidogo, ukraine ni nchi yny historia yake ht crimea pia ina historia yake si mali ya ukraine wala urusi, watu wanasikiliza uongo wa putin wanabeba km ulivyo, kitu ambacho ni kweli ni kuwa hii ukraine ya sasa iliundwa kwa kuongezewa baadhi ya maeneo kutoka urusi,poland na romania, lkn ukraine ni nchi iliokuwepo tangu enzi na enzi,
 
KumSupport Putin anayeua raia wasio na hatia,wanawake na watoto,ni lazima uwe mvutaji wa bangi mzuri,tena ile ya makete au arachuga🤔
Putin haui raia ila wanajeshi wa Ukraine waliojichanganya na raia ndio wanachapika! Ameomba wananchi watoke uwanja wa Operation ya jeshi ili awakung’ute wa Ukraine vizuri
 
Putin haui raia ila wanajeshi wa Ukraine waliojichanganya na raia ndio wanachapika! Ameomba wananchi watoke uwanja wa Operation ya jeshi ili awakung’ute wa Ukraine vizuri
Wito watolewa Putin kuwa assassinated kwa usalama wa Dunia
 

Attachments

  • Screenshot_20220304-203727.png
    118.7 KB · Views: 15
K
Kama tunadanganywa , basi nyie ndo mtuambie ukweli, kama Russia amepiga ban maraia wake waitoe ukweli kuhusu what is going on behind the enemy line , nini anataka kukificha ....!! YouTube imejamaa ndege zinazotunguliwa na vifaru vilivyoharibiwa , captured russian pilot and so on ...!! Huyo veteran ni Nani ? Ukraine ni nchi dhaifu Sana ukilinganisha na Urusi , hata hvyo wanadefend fiercely na kila mmoja anashangaa , dhidi ya taifa linalotuaminisha kuwa lipo vizuri upande wa millitary..!!
Kila mara mambo yanapokuwa magumu Kwa urusi tunaambiwa mara ooh urusi katuma mgambo tu na sio experienced fighter , mara ooh anafanya operations ndogo , mara ooh anatumia silaha za kizaman , mara hataki kutumia silaha nzito na blah blah kibao ...

Vyovyote itakavyokuwa ni mpuuzi tuu anayeweza kuamini jeshi la Urusi linaweza kustand against US in a full firefight ..!!

Urusi hawez kushawishi hata nchi moja ikatoa vikwazo Kwa US , Ila US ana uwezo huo , ndo utajua Nani mkubwa na nani ni Bwana mdogo .... Kifo cha Putin kinakuja taratibu
 
Ukraine hakuna usalama kuna vita. Wanajeshi na raia walio tayari kupigana wanajitahidi kuhakikisha kuwa nchi yao haiangukii mikononi mwa Urusi na mpaka sasa wamejitahidi sana na watakaposhindwa kuna uwezekano mkubwa masalia ya waasi yakabaki kupigana na serikali ya Puttin. Baadhi ya watu kuwapa hongera kwa kuwazuia warusi mpaka sasa ndiko kunakokufanya uone watu wana ushabiki wa kindezi.
 
Eti raia atayetoa taarifa zauongo kuhusu Jeshi atafungwa Miaka 15 😬😬.

Sheria ya Takwimu ya Jiwe 😄😄
 
“I was in another room, lying. I just lay there."

A resident of the city of Kirovskoye miraculously survived as a result of the morning shelling of the Armed Forces of Ukraine. She was saved by the fact that the shell flew into the next room.

Due to the attack of the Ukrainian military, a gas pipeline was also damaged in the city, Luganskinformtsentr reports.
Your browser is not able to display this video.
 
Wito watolewa Putin kuwa assassinated kwa usalama wa Dunia
Sawa yeye kabla hajawa assassinated lazma marekani iwe kama majaruba ya mpunga lakini😅!
Halafu kumu assasinate sio rahisi maana ana support ya China na kwa Kiduku yani show itakuwa kali sana
 
The Ukrainian authorities of Mariupol announced the evacuation from the city along the humanitarian corridor a day after the deadline agreed with Russia, the evacuation will take place from three places by buses, you can also leave the city by private transport, RIA Novosti reports.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…