Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Masikini Putin, namuonea huruma Kwa jinsi atakavyoburuzawa kizimbani soon..,haya mashambulizi anayofanya ni the last kick of dying horse [emoji237][emoji237]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
1666097953990.png

1666098146224.png

1666098168456.png

Consequences of arrivals at CHPP-6 today in Kiev.
 
[emoji120]

Kama hii ndo plan ya mbwana mkubwa PUTIN basi hii ni hatari.maana bila gesi na umeme ni ngumu kutoboa kwenye winter.

Putin inabidi wamuombe kwa hili maana anaweza kusababisha wananchi wa Ukraine kuganda.hili ni kosa kubwa sana kwa Ukraine kukubali vita ya NATO na URUSI kupiganiwa kwenye ardhi yake
Ukraine Wana raisi mpumbavu kuliko
 
ESTONIA ,ESTONIA, ESTONIA! ...Nimekuita mara ngapi?
The Estonian parliament has just unanimously passed a resolution declaring the Russian regime a terrorist regime and Russia a state that supports terrorism. The votes were divided as 88:0.
 
israel anaogopa sana kuvuliwa nguo kwa siraha zake. tumeaminishwa ziko bora sana kwenye propaganda iran na washirika wanazingoja sana.kama kuna kitu inangojewa ni hio. zitadhalalishwa watu watabaki midomo wazi
Fact.. na tuliaminishwa kwamba Israel na Marekani huwa wanashare utaalamu... sasa mbona huu unaoenda Ukraine kutoka Marekani haufanyi kazi
 
Masikini Putin, namuonea huruma Kwa jinsi atakavyoburuzawa kizimbani soon..,haya mashambulizi anayofanya ni the last kick of dying horse [emoji237][emoji237]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pro NATO bhana,
Mmekua wapole sahivi mnalaani tu[emoji38]
 
Hiki ndicho kinachoenda kumtokea Putin soon..,Cha msingi tumuombe mungu afikishwe Salama mbele ya mikono ya Sheria,bila umwagikaji zaidi wa damu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1665425991187.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiki ndicho kinachoenda kumtokea Putin soon..,Cha msingi tumuombe mungu afikishwe Salama mbele ya mikono ya Sheria,bila umwagikaji zaidi wa damu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2391117

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We mbona hujitambui hakuna MTU yoyote anayeweza kuwagusa viongozi wa Russia,china,NK au India dunia hii.
 
1.Hayo mataifa ulioyataja hapo hayajawahi kujiunga na NATO

2.Wengi mnapoungana dhidi ya mmoja hio maana yake hamumuwezi nandio maana mnataka kushirikiana ili walau mumuweze

3.RUSSIA sio kichaa kwamba avamie tu bila sababu hata US mwaka 1950s huko alitaka kumvamia CUBA

4.US hakua jiran na AFGHANISTAN ila baada ya 9/11/ akatumia gharama kubwa kuivamia AFGHANISTAN sababu ya usalama


Mwisho:-kulinda usalama wataifa nigharama kubw sana kama ikibidi UKRAINE wote wafe ili RUSSIA iwe salama lazima wafe tu hatakama itaumiza ila lazima wafe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sina kazi na falsafa yako ya usalama. Point yangu ilikuwa: Finalnd na Sweden walitishiwa miaka yote kuzojiunga na NATO hivyo hawakujaribu. Baada ya kuona matendo ya Urusi pamoja na nguvu halisi ya jeshi lake, hawakuogopa tena kufanya hatua ya kuomba wapokelewe.

Hii ndoto mbaya Urusi kuua Waukraine wote ni ndoto mbaya tu; Hii Putin hana uwezo sijui kwa nini unaleta lugha ya aina hii?? (maana, jinsi ulivyosema, huyu si kichaa hivyo hatatumia silaha hizo za nyuklia...)
 
Bayraktar has more PR and corruption than combat use."

The head of the Association of Defense Enterprises of Ukraine, Serhiy Pashinsky
, said that in the first week of the special operation, the Russian military shot down “all Bayraktar” of the Armed Forces of Ukraine.

He told the pranksters Lexus and Vovan about this, who called on behalf of the former US Ambassador to Russia Michael McFaul.

“They are vulnerable against air defenses strongly. You must understand that we had a lot of Bayraktar, they beat them all in a week.
 
Back
Top Bottom