kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ukraine Wana raisi mpumbavu kuliko[emoji120]
Kama hii ndo plan ya mbwana mkubwa PUTIN basi hii ni hatari.maana bila gesi na umeme ni ngumu kutoboa kwenye winter.
Putin inabidi wamuombe kwa hili maana anaweza kusababisha wananchi wa Ukraine kuganda.hili ni kosa kubwa sana kwa Ukraine kukubali vita ya NATO na URUSI kupiganiwa kwenye ardhi yake
Hujitambui mtu anayejitambua hawezi kusema hivyoMasikini Putin, namuonea huruma Kwa jinsi atakavyoburuzawa kizimbani soon..,haya mashambulizi anayofanya ni the last kick of dying horse [emoji237][emoji237]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Fact.. na tuliaminishwa kwamba Israel na Marekani huwa wanashare utaalamu... sasa mbona huu unaoenda Ukraine kutoka Marekani haufanyi kaziisrael anaogopa sana kuvuliwa nguo kwa siraha zake. tumeaminishwa ziko bora sana kwenye propaganda iran na washirika wanazingoja sana.kama kuna kitu inangojewa ni hio. zitadhalalishwa watu watabaki midomo wazi
Pro NATO bhana,Masikini Putin, namuonea huruma Kwa jinsi atakavyoburuzawa kizimbani soon..,haya mashambulizi anayofanya ni the last kick of dying horse [emoji237][emoji237]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We mbona hujitambui hakuna MTU yoyote anayeweza kuwagusa viongozi wa Russia,china,NK au India dunia hii.Hiki ndicho kinachoenda kumtokea Putin soon..,Cha msingi tumuombe mungu afikishwe Salama mbele ya mikono ya Sheria,bila umwagikaji zaidi wa damu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2391117
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wala sijalaan, sio utani mkuu,punde atajikuta kizimbani huyo Putin mnayemuona kama mungu mtu,Pro NATO bhana,
Mmekua wapole sahivi mnalaani tu[emoji38]
Endeleeni kujifariji vivyo hivyo wakati china yenyewe inazidi kujiweka kando na vitendo vya dikiteta [emoji848][emoji848]We mbona hujitambui hakuna MTU yoyote anayeweza kuwagusa viongozi wa Russia,china,NK au India dunia hii.
Mkuu sina kazi na falsafa yako ya usalama. Point yangu ilikuwa: Finalnd na Sweden walitishiwa miaka yote kuzojiunga na NATO hivyo hawakujaribu. Baada ya kuona matendo ya Urusi pamoja na nguvu halisi ya jeshi lake, hawakuogopa tena kufanya hatua ya kuomba wapokelewe.1.Hayo mataifa ulioyataja hapo hayajawahi kujiunga na NATO
2.Wengi mnapoungana dhidi ya mmoja hio maana yake hamumuwezi nandio maana mnataka kushirikiana ili walau mumuweze
3.RUSSIA sio kichaa kwamba avamie tu bila sababu hata US mwaka 1950s huko alitaka kumvamia CUBA
4.US hakua jiran na AFGHANISTAN ila baada ya 9/11/ akatumia gharama kubwa kuivamia AFGHANISTAN sababu ya usalama
Mwisho:-kulinda usalama wataifa nigharama kubw sana kama ikibidi UKRAINE wote wafe ili RUSSIA iwe salama lazima wafe tu hatakama itaumiza ila lazima wafe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshaona kabisa kwamba huyu jamaa (Putin) si mtu mzuri na alipofikia hawezi fanyiwa utani hivyo ni kujiweka mbali na kujiepusha na matatizo ya kujitakia kama Ukraine... Putin hatabirikiHaaretz: Israel has reportedly rejected a request for a call between Israel's and Ukraine's Defense Minister
kuna watu wengine hampaswi kujibiwa,Hivi kwanini Wamagharibi wanahusishwa na ushoga?
Urusi au Mashariki hakuna ushoga?
Au ndio propaganda?