NATO =UPINDEView attachment 2393655
Finnish Prime Minister Marin, overjoyed by the invitation to NATO, decided to take a walk with the pride in Helsinki
badala ya kuwa kwenye battlefield Putin yeye kakopa drons toka Iran ili kuua watu mijini - aisee.Hiyo lisichansik inapatikana katika Jimbo la luhansik..,Jimbo la luhansik hapo awali urusi alikuwa ameshaliweka kikamilifu chini ya imaya yake..,kwa vyovyote vile mapambano katika Jimbo la kheson inaonyesha kwa kwamba jeshi la Ukraine linazidi kusonga mbele katika kuyakomboa maeneo yaliyotekwa hapo awali
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
haaaa ya huyo ilikuwa level inginepropaganda kama yule msemaji wa serikali iliyopigwa ya iraq alivyokuwa anatulisha matango pori.
Huko kote ni Jimboni luhansik.., Jimbo hambalo hapo awali urusi alikuwa analimiki kikamilifu [emoji123][emoji1255][emoji120]The current situation in the Seversk regionView attachment 2393664
Nashangaa sana kwanini hizo drone hazikutumika kuongeza nguvu huko front line hambapo wanachakazwa balaa,badala ya kuwa kwenye battlefield Putin yeye kakopa drons toka Iran ili kuua watu mijini - aisee.
Hiki ndicho ninachofahamu .Russia inasonga mbele. Vita haina chama
Bado tunawakumbusha tu urusi alikuwa ameshalimiki kikamilifu Hilo Jimbo...,imetokeaje tunasikia Tena habari za mapigano Jimboni luhansik??Hiki ndicho ninachofahamu .Russia inasonga mbele. Vita haina chama
Kaka zele yupo buzy anatembeza mkong'oto kwa super pawer wa mchongo huko front line [emoji2957]Kaka zele kapotelea wapi jamani
aiseee..... Putin atamaliza vita hii akiwa amechoka mno.View attachment 2393672
Western arms and military equipment supplies to Ukraine according to @rybar
The following types of equipment and weapons will be transferred to Ukraine as part of the new military aid package:
U.S.
four counterbattery radars
two NASAMS SAM launcher
150,000 155mm rounds
HIMARS rounds
Canada
39 LAV ACSV Super Bison BMPs
Latvia
20 Stinger MANPADS
Turkey
three Bayraktar TB2 UAVs
France
six 155 mm CAESARs
Czech Republic
three Bivoj UAVs