Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hatari sana . Msidharau referendum. Kuna mambo magumu kwa zele
 

Ukraine anafinyangwa mwaka huu. Watatuelewa tu!
 
Pro Russia Tanzania tunaitwa wavaa kobazi hatakama mtu hajui dini yako 🤣
 
Kwa mambo yanavyokwenda,Kuna uwezekano Boris Johnson kiboko ya dikiteta Putin akarejea kama waziri mkuu huko uingereza.., ngoja tuupe muda nafasi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Wewe unayasema haya - sijui kama una habari kwamba waziri wa ulinzi wa Merikani alipo chekecha na wenzake pamoja na Rais Biden wakaona - eeh bwana eeh,Putin ni mti wa mpingo hatumuwezi - sasa Waziri unashauri nini kabla NATO/US haija aibika huko Ukraine maana tunaona kipigo cha Putin cha hivi karibuni si cha kawaida na bado kipigo cha KHERSON ambacho kitakuwa funga kazi ( Baba lao) tuachane na Mrusi huyu mwenye akili ndefu na busara kuliko sisi wote. Sasa ndugu waziri wa Ulinzi wa Merikani nyanyua simu zungumza na Waziri wa ulinzi wa Urusi ili vita hii ya Ukraine visitishwe kidiplomasia/mazungumzo, Putin hatumuwezi kumshinda kivita.

Bottom line is: Huyu ambaye wewe unamuona ni dikiteita son of Lucifer mbona sasa Serikali ya Merikani inakwenda kumpigia magoti yaishe - je,una jibu au utarudia ngonjera zako kwamba Urusi si lolote si chochote - how I wish you knew!!!
 
Watu wa magharibi wamefanikiwa kubrainwash sana watu, kitu gani hasa kinafanya useme wao ni balaa, wana nini cha ajabu ambacho kinawafanya wawe exceptional?

Umeshuhudia vikwazo ambavyo wamagharibi walikimbilia kuviweka ili kumrudisha Russia nyuma vimebackfire vyote vimewalemea raia wao wameingia barabarani kuandamana, hicho ni kipimo tosha kwamba hao wamagharibi unaowakuza wameshindwa vibaya, akili zao zilifikiria kwamba kuweka vikwazo kutaimaliza urusi kiuchumi na itarudisha nyuma majeshi, nini kimetokea? Russia is winning economic war.

Wakat SMO inaanza ilisemekana Russia hana uchumi wa kuhold vita kwa mda mrefu, leo ni mwezi wa ngapi?
 

Propaganda za magharibi zinajulikana kirahisi mbona, uzuri wana kawaida ya kujisahau sana wanabakiza vihashiria vya kuwabaini kirahisi nadhani wanafikiri wanao soma habari zao fake/madeup hawajaenda shule vile - mfano mtu anakujia na story ya kitoto eti,wanavaa nguo za kike walizo kwapua kwenye store/super market wanasahau hata kuondoa price tag - hii wapi na wapi, si uongo tu uliyo dhahili - kichekesho kingine asili mia karibu 95% ya raia wa Ukraine wanao ishi kusini mashariki mwa Ukraine wana asili ya Urusi na wanazungumza Kirusi fluenly na wamepiga kura za kutaka kujiunga na taifa la Urusi hawataki kubaki kwenye utawala wa Zelensky.

Leo hii majasusi wa Uingereza na Merikani wanatuletea video clip fake zilizo tengenezwa kwenye nyumba za kukodi kwa kuwatumia waiigizaji kwenye video, wakijidai kumsema vibaya Putin na utawala wake, hata watu hawajiulizi inakuwaje raia wanao support Putin kwa kuwakomboa wanakwenda tena kwenye vyombo vya habari kumshtumu/kumsema vibaya - hivi hii inaingia akilini kweli??
 

Barikiwa sana mkuu kwa ufafanuzi wako wenye mshiko sana - na bado, Uchumi wa Ulaya utayumba sana sana kutokana na uzezeta wa viongozi wa Ulaya kungizwa kwenye mkenge na utawala wa Merikani, yaani mtu unaweza kufikiri Mataifa ya Ulaya sio huru kabisa yaani ni kama EU nzima ni jimbo la 51 la Merikani - sina shaka mgogoro huu wa Ukraine uje kuisha Mtaifa yote ya Ulaya kuna kitu watakuwa wamejifunza the hard way!!
 
NATO YAJIWEKA TAYARI KWA LOLOTE ENDAPO PUTIN ATATUMIA NYUKILIA

“NATO’s meeting is all about making sure we are ready for anything,” he said. “I mean, that is the job of this alliance – to make sure that the 30 partners together are ready for what is thrown at us. And we have to continue to work at that.”
 
Afu wao ukiwaita upinde wanalialia mbna sisi tunakubali ni wavaa kobazi japo sio wote
Kuwaita UPINDE HAKUNA KOSA .Hiyo ni alama yao tunaona kwenye mijumuiko yao pia bendera.Zaidi hata hii vita wametuambia west WANAPIGANA kwa ajili ya values zao hasa kupindapinda . Kama unadapoti NATO basi kwa kujua au kwakutojua unapigania ushoga humu JF SIMPLE LOGIC
Wanakuambia Russia ikishinda basi upinde umeshindwa . Kama haufungamani na upinde ya nini kufurahia uenezwaji wake.


Ukiitwa pro upinde haina maana unapindishwa bali ina maana hata ukiona member wa jamii yako from family akijihusisha Utakua tayari kufanikisha.Ama akitokea shoga kugombe uraisi nchini mwako unaweza kumchagua kwa kura ili uonekane modern liberal youngman. Wengi wanaji associate na West waonekane wapo modern na hii hupelekea bila kujijua wakifanya mambo ya kishoga wasionekane washamba. Kuna nafasi kubwa kwa mashabiki kuingia kwenye hii laana . Kushabikia ni kuanza kukubali na kuzoea kusikia kabla ya kutenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…