LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yaani we upo Kingolwira unachambua nidhamu ya Jeshi Russia ambalo ni Jeshi kubwa duniani lenye historia kubwa.. hauwezi kufananisha na Jeshi lenu la Wakurya wanaofuga mabata
Hahahaha...unakuta MTU hamjui hata chief of staff wa jeshi la nchi yake lakini anakakamuka kuelezea jeshi la Urusi utadhani jeshi la Urusi ni kama jeshi la akiba la ngorongoro kweli bongo sihami
 
Utulie ukiwa unasoma comment. Hapo nimelinganisha Russia vs NATO kwenye training, TPDF imejiunga NATO lini?

Hizo gas mask za marubani unadhani kila rubani huwa anavaa, hata pale US kuna marubani kama wa A-10 Warthog hawalazimiki kuvaa hizo maana ndege zao ni ground attack. Nimesema marubani wa Russia hawatumii gas masks wakiwa na ndege ambazo sio hasa dedicated kwa low flying, mtu ana Sukhoi Flanker family anafly low bypass kisa angani juu ambako alitakiwa apite amevaa oxygen mask kuna coverage ya S-300 na systems nyingine za Ukraine. Ambacho hujaelewa ni nini hapo
 
Naomba kuuliza hapa coca wanakataa Fanya biashara urusi je ikitokea urusi akaanzisha kampuni ya soda yenye radha sawa na coca na akaiita jina la coca atakuwa kafanya kosa
Atafunguliwa mashtaka na atalipishwa fine kubwa sana mzee coca cola wanaTrade mark right ya bidhaa zao mzee
 
Sasa mbona Ukraine hawashindi vita? Mbona rais wao analialia kila muda? Kwanini wasirudishe majeshi ya urusi nchini kwao? Huu uongo mnamdanganya nani? Wananchi wanateseka na kua wakimbizi nyinyi mnaongopa mitandaoni
 
Unakaza shingo kama Zelensk itavunjwa kibabe
 
Wabongo ukipelekwa sehemu hata ukikaa wiki utajifanya kila kitu unajakijua
kuliko wazawa wa hiyo sehemu acha ujuaji na kulisha watu matango pori unajichoresha tu
Kachanginyikiwa huyo baada ya marekani kushindwa kumpa ushirikiano wa kupigana na Urusi. Ukweli utabaki uleule 'NATO ni dhaifu na waoga sana' sio maneno yangu ni ya Rais wa Ukraine na ukweli mwingine mchungu zaidi Russia ametumia asilimia 10 ya uwezo wake wa kijeshi na kafanikiwa kuikalisha nchi ya 3 kwa ubora wa jeshi ulaya
 
Kibaya zaidi wengi wanapewa silaha
 
Sasa mbona Ukraine hawashindi vita? Mbona rais wao analialia kila muda? Kwanini wasirudishe majeshi ya urusi nchini kwao? Huu uongo mnamdanganya nani? Wananchi wanateseka na kua wakimbizi nyinyi mnaongopa mitandaoni
Ukilinganisha Zongtong dhidi ya daladala utaona daladala hamna kitu na utaona Zongtong ndio lenyewe. Mlinganyo uwe Zongtong vs Marcopolo

Ukraine sio jeshi la kulinganisha na Urusi, hii Urusi ina performance mbaya mno ukiileta NATO on battleground hapo Warusi wanapukutika
 
Ndio maana nilikueleza mwanzo kuwa nilidhani unafatilia habari hizi kwa kina.unapotumia neno "kama ni kweli" maana yake ni kuwa hufatilii hii habari ya Russia na Ukraine-na huna uhakika kama Kiongozi yoyote wa Urusi ametamka maneno hayo.

By the way,maneno kuwa kama Russia haipo World cup kwamba hakutakuwa na mashindano hayo-ni propaganda zilizoenezwa na pro-western.
 
Wewe ndio utulie ukiwa unasoma reply. Wapi nimesema tpdf amejiunga na NATO!?

Kama marubani wa Urusi hawavai hizo gas masks kwa sababu kama ulizozitaja hapo je!? Na kwanza una ushahidi gani kuhusi hizo tuhuma zako!? Picha/video moja au mbili kutoka mtandaoni ambzo huna uhakika hata kama ni za uhakika ndio unazozitumia kutoa conclusion ulizotoa hapo kwenye hiyo comment yako hapo!?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ivi unaandikia haya kwa kiungo gani kutafakari we unaona kabisa mwanaume Russia anazidi kuchukua miji afu unasema anae umia ni Russia jaribu kutumia ubongo kutafakari hivyo viungo vingine viache vitulie
Mji upi aliochukua weka apa jina na source yake alafu isiwe ile ya Rt
 
Umemaliza kila kitu mkuuuu yani hauja bakisha kituu
 
NATO hawahawa waliojificha nyuma ya kichaka cha propaganda tu? NATO wamepewa room ya kupimishana uwezo na Urusi hata kwa masaa 24 waone shughuli ilivyo tamu.

Hapo ndio silaha za kisasa za kibailojia, kikemikali na nuclear zitaonekana na ukitaka kujua Russia ana hamu nayo hivyo NATO iingize pua na ku-declare vita . kuna article nimesoma inasema Bomu la nuclear la Urusi limewekwa silaha za kikemikali na kibailojia hatari sana pamoja hivyo kufanya silaha kutisha sana
 
Sina muda wa kubishana na mtu anayesema "NATO wamepewa room ya kupimishana uwezo..." vita unadhani ni ugali kwamba mnachemsha maji na kutia unga. Unatakiwa ujue NATO ni nini, wanachama ni wapi na ina kazi gani, sio hata wewe hapa leo uvamiwe na Msumbiji uwaite NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…