Tutaendelea kumchukulia poa kama nyinyi mnaomjua vizuri huyo Russia hoja zenu ndizo hizi mnazozitoa,hatuoni mkija na nondo zilizoshiba za kutueleza Ukubwa wa Russia kijeshi,kwa nini tusicheke iwapo tu underdog Ukraine anamuhenyesha mpaka anaamua kuja na msururu wa magari yenye urefu wa 40kms?Hhahahahah nimecheka sana. Mnamchukulia sana poa russia, endeleeni kudanganyana wengi humu hamumjui russia vizuri na wengi wameanza mjulia kwenye vita na ukraine hamjui historia yake vzr huyu jamaa.
Tutaendelea kumchukulia poa kama nyinyi mnaomjua vizuri huyo Russia hoja zenu ndizo hizi mnazozitoa,hatuoni mkija na nondo zilizoshiba za kutueleza Ukubwa wa Russia kijeshi,kwa nini tusicheke iwapo tu underdog Ukraine anamuhenyesha mpaka anaamua kuja na msururu wa magari yenye urefu wa 40kms?
Ile ni nchi huru. Ina haki ya kufanya maamuzi yake kama ilivyo Tanzania ama nchi nyingine yoyoteInaoneokana ubongo wako haufanyi kazi vizuri mkuu
Maana yeye ange angeachana na kutumika na NATO haya yasingetokea? Hakuwa amevamiwa mkuu
Haya magari mawili tu,ukute hao ni nephews wa Putin ndiyo wako kwa hizo gari wakimsupport Uncle wao.
Una uwakika na unachokiongea?Si kweli ni mji mmoja tu hadi sasa ndio Russia wamechukua ambao ni Kherson.
Mingine yote hadi sasa hawaweza kuchukua na waendelea kushuhudia causalities nyingi tu, ikiwemo supplies chain zao.
Russia alishindwa kabisa kuteka Kiev ndio maana ameamua kupeleka nguvu nyingi kusini ile aje aungane na Vikosi vya Waasi na Askari kutoka Beralus
Putin: Ukraine’s resistance threatens its statehood
Russian President Vladimir Putin has warned Ukraine that its statehood is in jeopardy.
“If they continue to do what they are doing… they are calling into question the future of Ukrainian statehood,” he said on Saturday.
Yani uzi mmoja unaozungumzia Russia ushajiita pro, kabla hajajiunga JF watu washajadili mada kibao kama hizi. Alafu mwanaume halisi haandiki neno "kubwabwajaaa" its either uwe mdada au kijana lainilaini ndio useme hivyo
Yamekuwa haya tena leo? Kwamba Ukubwa na uwezo wa jeshi la Ukrain ni sawa na wa Russia? Basi kama ndiyo hivyo,huyo Russia aache kujiona superpower kijeshi kama unamlinganisha na Ukraine.Otherwise endelea kupuyanga wakati mimi nabwabwaja.Ukraine ni underdog? Embu acha kubwajaja hapa
Wabongo ukipelekwa sehemu hata ukikaa wiki utajifanya kila kitu unajakijua
kuliko wazawa wa hiyo sehemu acha ujuaji na kulisha watu matango pori unajichoresha tu
ingia rt ya facebook kuna news urusi kuiteka kambi nzimaAFU fired at a kindergarten in Donetsk.
The photo is published by the People's Militia of the DPR.View attachment 2141125View attachment 2141126View attachment 2141127View attachment 2141128View attachment 2141129View attachment 2141130
Kachanginyikiwa huyo baada ya marekani kushindwa kumpa ushirikiano wa kupigana na Urusi. Ukweli utabaki uleule 'NATO ni dhaifu na waoga sana' sio maneno yangu ni ya Rais wa Ukraine na ukweli mwingine mchungu zaidi Russia ametumia asilimia 10 ya uwezo wake wa kijeshi na kafanikiwa kuikalisha nchi ya 3 kwa ubora wa jeshi ulaya
No research no right to bwabwajaZelensky’s T-shirt has a symbol that looks like an iron cross, an award given for military distinction in Nazi Germany.
This drew the attention of users of social networks. The only difference is that the German order had a swastika in the center, while the Ukrainian president had a trident on the cross.
View attachment 2141132
View attachment 2141133
sizitaki mbichi hizi baada ya sungura kuzikosa ndizi mbivuHayo masoda yenyewe hata Asia hawayataki yanababisha matatizo ya kiafya hapo Coca imeisaidia Wizara ya Afya ya Russia
Ukilinganisha Zongtong dhidi ya daladala utaona daladala hamna kitu na utaona Zongtong ndio lenyewe. Mlinganyo uwe Zongtong vs Marcopolo
Ukraine sio jeshi la kulinganisha na Urusi, hii Urusi ina performance mbaya mno ukiileta NATO on battleground hapo Warusi wanapukutika