NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Sasa ishakuwa Commedy,labda rekodi ya kuishiwa mafuta na chakula wakiwa kwa battle field ndiyo Dunia itabidi ijifunze kwao.“This is how the Americans went in Iraq: yes, they demolished block after block - that’s all. We don't do that. We're trying to save the population."
Military journalist Alexei Borzenko in our stream about the uniqueness of Russia's special operation in Ukraine:
“It has already entered the historical annals, and it will be studied in all the military academies of the world. Imagine that buildings are not destroyed, some points that could be destroyed.
Subscribe to our channel.
View attachment 2141102
Yamekuwa haya tena leo? Kwamba Ukubwa na uwezo wa jeshi la Ukrain ni sawa na wa Russia? Basi kama ndiyo hivyo,huyo Russia aache kujiona superpower kijeshi kama unamlinganisha na Ukraine.Otherwise endelea kupuyanga wakati mimi nabwabwaja.
“This is how the Americans went in Iraq: yes, they demolished block after block - that’s all. We don't do that. We're trying to save the population."
Military journalist Alexei Borzenko in our stream about the uniqueness of Russia's special operation in Ukraine:
“It has already entered the historical annals, and it will be studied in all the military academies of the world. Imagine that buildings are not destroyed, some points that could be destroyed.
Subscribe to our channel.
View attachment 2141102
Wakishakaa kwenye kahawa ndio wanakuja kurusha matango pori humu wakati mwenzao Zelensk anazidi kuongeza urefu wa handaki lake maana anajua mwisho siku atadakwa tu akapakwe mafuta ya NaziHahahaha...unakuta MTU hamjui hata chief of staff wa jeshi la nchi yake lakini anakakamuka kuelezea jeshi la Urusi utadhani jeshi la Urusi ni kama jeshi la akiba la ngorongoro kweli bongo sihami
Tanzania inaongoza kuwa na watu wenye mawazo ya ushabiki, watu wako emotional Sana Kuna tatizo kwenye educational programs zetu zinazalisha viumbe ambao uwezo kuchambua vitu ni mdogo. Unaongea as if uko ukraine unakusanya taarifa hata ku analyse information zinazochapishwa na international medias umeshindwa. No fry zone imekuchanganya na kuzani tayari urusi kashaingusha kivukrine kwa sasa ipo chini ya mrusi hakiingii kitu bila ruska ya urusi .zelensky kakikili nato waoga kilibaki ni vita za video za propaganda zidi ya warusi. wanaume wa ukraine wanavaa nguo za kike kisha kukimbia vita si mchezo kuhusu vita ya uchumi nakukumbusha urusi sio tandaimba au kwa mtogole rejea iran
Russia ameikisi Airport hiyo port [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kumbe ndio maana nahisi harufu ya mavi ya nyumbuWanachadema ndio mashabiki wakubwa wa NATO. Ukiona anashangilia NATO ujue ni Chadema.
Umeandika mashudu lakini unajiona bonge la genius, unafikili hizi ni time of savagery watu sasa wamestaarabika wewe mjinga, kwa akili yako ya matope unafikili mabeberu wanaweza kujiingiza kwenye vita za kijinga ambazo zinachochewa na emotions, mataifa mengi yalipata somo kwenye vita ya pili ya dunia iligharimu maisha ya mamilion ya watu. Mabeberu yanamcheki tu huku yanamfrustrate putini na media bias kupitia propaganda pia kwenye vita kama hizo mercenaries huwa wanatumika kutoa back up ili kutochochea vita zaidi. Siku nyingine usilete hoja za kishabiki kama unaishi urus au ni military analyst wakati hujui hajui lolote kuhusu jeshi na uwezo wa medaniWe boya unaongea nn?? Hao NATO wanaungana daily kwa ajili ya russia tu na bado hawamwezi. Usirudie kuandika pumba kama hii humu tena. Russia ukraine hajapeleka jeshi kabisa.
France na UK hata waungane hawamwezi Russia hata EUROPE yote iungane bado hawana nguvu ya jeshi ya Russia. Russia wamelijenga jeshi lao kwa shida sana na kwa muda mrefu na limejengeka circle zote. Hao NATO wanaungana kisa Russia unafikir huyu jamaa ana nguvu gani?? Hao NATO kama wanajiamin si waingie field?
Mpango wao umetibuliwa na wanakula kipondoEven before the start of the Russian special operation, Ukraine planned on March 8, 2022 to launch an invasion of Crimea and Donbass.
The attack was planned from land and sea, according to DPR intelligence data and the testimony of the Ukrainian military, Denis Pushilin said:
“Many other items were found that characterize the intention and support of the Kiev regime.”
Pushilin added that flags of nationalists and countries that supported Kyiv continue to be found in the liberated territories:
“For example, Ukrainian units collected the flags of those countries whose representatives came to them. There are flags of Germany, Spain.View attachment 2141145
Endelea kuelimisha wamba wenye mawazo ya kishabiki mpaka wanakera, urusi inataka kufanya ukoloni ndio maana wananchi wa ukraine wame rise kupigania ardhi yao. Urusi inataka kufanya subordination ili kusecure its empire ambayo inahatarisha na kujipinyeza kwa hasimu wake beberu mkuu marekani. Mabeberu walijua hilo kwa kuwa putini amefanya escalation wao wanamuwinda kwa njia nyingine badala ya kuingia kivita ambayo itagharimu mataifa yoteWewe mduanzi kuungana kwa NATO ni kuzuia athari za vita zisiwe kubwa Kwa nchi washirika.
Unapoingia vitani mwenyewe hata kama ukishinda Lakini lazima uathirike sana.
KUzuia Hilo ndio maana NATO wapo Hapo!
Mark hebu piga ban na huko FB, tuone hizo propaganda mtakakozitolea.ingia rt ya facebook kuna news urusi kuiteka kambi nzima