green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Ondoa huu uchafu hizi ni propaganda za kitoto kabisa kuweza kufanywa na urusi yaani Urusi imefikia hatua hii ya kufanya propaganda za kitoto namna hiiUS navy SEALS 150 na UK SAS 70 wanajiandaa na zoezi la kwenda kumtorosha Zelensk toka mafichoniView attachment 2141208
Umeandika mashudu lakini unajiona bonge la genius, unafikili hizi ni time of savagery watu sasa wamestaarabika wewe mjinga, kwa akili yako ya matope unafikili mabeberu wanaweza kujiingiza kwenye vita za kijinga ambazo zinachochewa na emotions, mataifa mengi yalipata somo kwenye vita ya pili ya dunia iligharimu maisha ya mamilion ya watu. Mabeberu yanamcheki tu huku yanamfrustrate putini na media bias kupitia propaganda pia kwenye vita kama hizo mercenaries huwa wanatumika kutoa back up ili kutochochea vita zaidi. Siku nyingine usilete hoja za kishabiki kama unaishi urus au ni military analyst wakati hujui hajui lolote kuhusu jeshi na uwezo wa medani
Sipendi kushambuliana cc kw cc. Mtu mwenye hasira au mwenye element za bangi nampitia mbali sana kama NATO na RussiaWengi wao hapa wanatumia maguvu kutetea hoja zao kuliko kuweka facts,wakielemewa wanakimbilia silaha ya mwisho ya kutumia lugha chafu.Ni watu wachache sana Pro Russia ambao huwezi wakuta wakijihami kwa lugha chafu kina NYUNDO YA MOTO Frustration Sikirimimimasikini na wengine wachache,waliobaki ni matusi na kejeli kiwaelemea utadhani sisi ndiyo tulimtuma Boss wao akaivamie Russia.
SLAVA UKRAIN👍
Unajua wewe na Champagnee mkiondoa matusi mnaishiwa hoja. Huu uzi una heshima yake ila tukianza kutumia matusi naweza kuwaachia uzi wenu tukarudi hapa hiyo Russia ishafeli uchumi haipo hata top 20 world economies kwenye projection za 2023. Matusi nayajua sana ila sio kwa uzi huu, bora muanzishe nyuzi za kawaida zisizotumia akili tutukanane ukoKuna nyumbu wenzake humu wanapeana moyo lakini ukweli wanaujua kuwa kuna mtu anagongwa mabomu mazito kwenye miji yake kila siku na hawana uwezo wa kuyazuia baada mifumo yao kupigwa vitu vizito toka Black Sea
Hatari kaka yule lazima akapakwe mafutaHadi sasa Zelensky hajulikani alipo ni za chini chini ni tayari ameliwa na fisi wa Urusi. R.I.P Zelensky. Nyamizi Sikirimimimasikini DeepPond NYUNDO YA MOTO
Wewe nae,huku ndiko kuishiwa hoja sasa eti "tokeni jukwaa letu" umenifanya hadi niangalie umejiunga lini hapa JF kiasi cha kuwafukuza wengine kwa jukwaa hili,Ningekuelewa kama walau ungekuwa Lengendary wa JF tangu 2006 huko,kabla hujaijua JF watu walikuwepo na walikuwa wanachangia mada kama kawaida,sasa wewe wa 2015 tu hapa ndiyo uje usumbue watu hadi kuwafukuza kwa Jukwaa.Rudi kwa mada husika,Russia anachapaka,hutaki nenda Moscow katusemee kwa Putin sisi Wa ukraine wa JF 😡.Inasikitisha sana kuona nyumbu kama nyie msio jua kiini cha tatizo mnarukia vitu juju mmetoka jukwaa la Siasa na Mapenzi mmekimbilia kwenye jukwaa letu mnaleta ubishani wa kitoto mpaka wenye jukwaa tunashindwa kujadili mambo yetu..nyumbu hamna ustaarabu kabisa rudini kwenye Jukwaa lenu la Siasa Mapenzi huku kunataka vichwa vilivyotulia tu.pView attachment 2141192
Chukua madini acha na habari zako za kwenye kahawaOndoa huu uchafu hizi ni propaganda za kitoto kabisa kuweza kufanywa na urusi yaani Urusi imefikia hatua hii ya kufanya propaganda za kitoto namna hii
Sio kaenda kukoga mara moja?Hadi sasa Zelensky hajulikani alipo ni za chini chini ni tayari ameliwa na fisi wa Urusi. R.I.P Zelensky. Nyamizi Sikirimimimasikini DeepPond NYUNDO YA MOTO
Vita ni gharama sanaPutin aendelea kupata hasara!View attachment 2141237
Makomando wa USA na Uingereza wameanza safari yao ya kwenda kumsaka na watamtoa kwa nguvu kama watampata.Hatari kaka yule lazima akapakwe mafuta