LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Boris Johnson bado anaupenda ugali
Screenshot_20220306-175632.jpg
 
Umeandika mashudu lakini unajiona bonge la genius, unafikili hizi ni time of savagery watu sasa wamestaarabika wewe mjinga, kwa akili yako ya matope unafikili mabeberu wanaweza kujiingiza kwenye vita za kijinga ambazo zinachochewa na emotions, mataifa mengi yalipata somo kwenye vita ya pili ya dunia iligharimu maisha ya mamilion ya watu. Mabeberu yanamcheki tu huku yanamfrustrate putini na media bias kupitia propaganda pia kwenye vita kama hizo mercenaries huwa wanatumika kutoa back up ili kutochochea vita zaidi. Siku nyingine usilete hoja za kishabiki kama unaishi urus au ni military analyst wakati hujui hajui lolote kuhusu jeshi na uwezo wa medani

Tunataka action sio maneno
 
"I, as a dual citizen, believe that I have to make a choice."

Nikita from Brooklyn, after the start of Russia's special operation in Ukraine, decided that it was time to decide whether he was an American or a Russian. He filmed the burning of his US passport and posted it on social networks.

The young man said that his parents took him to New York from Rostov in early childhood, and since then he has been asking to come back:

“In September 2021, it was probably the happiest day of my life when I landed in Moscow knowing that this was a one way flight.”
 
“Our troops continue, according to the schedule, to advance towards Kiev. The soldiers are in excellent spirits."

Ramzan @RKadyrov_95 Kadyrov has posted a new video featuring Chechen soldiers in a Russian special operation in Ukraine.

He noted that the detachment cleared one more settlement from nationalists and would not return home until they freed all Ukrainian land from Bandera.
 
Wengi wao hapa wanatumia maguvu kutetea hoja zao kuliko kuweka facts,wakielemewa wanakimbilia silaha ya mwisho ya kutumia lugha chafu.Ni watu wachache sana Pro Russia ambao huwezi wakuta wakijihami kwa lugha chafu kina NYUNDO YA MOTO Frustration Sikirimimimasikini na wengine wachache,waliobaki ni matusi na kejeli kiwaelemea utadhani sisi ndiyo tulimtuma Boss wao akaivamie Russia.

SLAVA UKRAIN👍
Sipendi kushambuliana cc kw cc. Mtu mwenye hasira au mwenye element za bangi nampitia mbali sana kama NATO na Russia
 
Another important front of work today is the digital war.

All the forces of Ukrainian hackers and IT, all the brains of Silicon Valley and cyber experts of Western intelligence agencies are working today to “turn off” Russia in the literal sense of the word.

The websites, platforms and software of all major Russian companies, as well as state media, life support services, ministries and federal agencies are being attacked hourly.

Without sleep, our IT people beat them off. Fortunately, our IT industry is one of the strongest in the world.

Young guys do work in a day that normally takes years.

Unfortunately, many of our companies and even state corporations worked on American software or hardware. Naturally, it can be easily hacked today by those who made it.

The TG channels of journalists Kots and Poddubny were hacked today by Ukrainian hackers through a posting bot that was made in Ukraine.

In addition to repelling cyberattacks, our IT specialists are urgently transferring our entire country to Russian software.

This is truly a titanic necessary work that will completely protect Russia from hacker attacks from outside. The state understands this, and today the IT industry has been given great benefits, including tax exemptions.

But there is another problem: many young IT people are fooled by liberal trans-Ukrainian propaganda from foreign agents, the one that is pouring on them today in Western social networks. Some are thinking about fleeing the country. Fortunately, their profession is in demand everywhere.

But we cannot allow this! We must make it clear to these guys and girls that they are real heroes, that patriotism is an integral quality of any normal person, and today they are really fighting against world Evil on the side of Light, on the side of their Motherland, Russia.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Kuna nyumbu wenzake humu wanapeana moyo lakini ukweli wanaujua kuwa kuna mtu anagongwa mabomu mazito kwenye miji yake kila siku na hawana uwezo wa kuyazuia baada mifumo yao kupigwa vitu vizito toka Black Sea
Unajua wewe na Champagnee mkiondoa matusi mnaishiwa hoja. Huu uzi una heshima yake ila tukianza kutumia matusi naweza kuwaachia uzi wenu tukarudi hapa hiyo Russia ishafeli uchumi haipo hata top 20 world economies kwenye projection za 2023. Matusi nayajua sana ila sio kwa uzi huu, bora muanzishe nyuzi za kawaida zisizotumia akili tutukanane uko
 
Inasikitisha sana kuona nyumbu kama nyie msio jua kiini cha tatizo mnarukia vitu juju mmetoka jukwaa la Siasa na Mapenzi mmekimbilia kwenye jukwaa letu mnaleta ubishani wa kitoto mpaka wenye jukwaa tunashindwa kujadili mambo yetu..nyumbu hamna ustaarabu kabisa rudini kwenye Jukwaa lenu la Siasa Mapenzi huku kunataka vichwa vilivyotulia tu.pView attachment 2141192
Wewe nae,huku ndiko kuishiwa hoja sasa eti "tokeni jukwaa letu" umenifanya hadi niangalie umejiunga lini hapa JF kiasi cha kuwafukuza wengine kwa jukwaa hili,Ningekuelewa kama walau ungekuwa Lengendary wa JF tangu 2006 huko,kabla hujaijua JF watu walikuwepo na walikuwa wanachangia mada kama kawaida,sasa wewe wa 2015 tu hapa ndiyo uje usumbue watu hadi kuwafukuza kwa Jukwaa.Rudi kwa mada husika,Russia anachapaka,hutaki nenda Moscow katusemee kwa Putin sisi Wa ukraine wa JF 😡.
SLAVA UKRAINE.
 
Russian banks switch to China's UnionPay after Visa, Mastercard snub
6th March, 2022

Several Russian banks said on Sunday they would soon start issuing cards using the Chinese UnionPay card operator’s system.
The new issues will be coupled with Russia’s own Mir network.
The move comes after Visa and MasterCard said they were suspending operations in Russia.
Announcements regarding the switch to UnionPay came on Sunday from Sberbank, Russia’s biggest lender, as well as Alfa Bank and Tinkoff.

https://pmnewsnigeria.com/2022/03/0...o-chinas-unionpay-after-visa-mastercard-snub/
 
Back
Top Bottom