Kazungukwa na Navy Seal huo uwezekano wa kuveshwa pamba puani utatoka wapi? Mnataka mpukutike kwa kila atakayejaribu kusogelea🤣🤣🤣🤣mda huu Zelensky atakuwa anaoshwa ,inasikitisha sana sasa Nyamizi kama amiri jeshi anapambwa kwa pamba puani mda huu na kuveshwa suti nyeusi na kiatu damu ya mzee sasa si bora mda huu utumie kuomboleza?
Kumu assassinate Putin sio sawa na wale warabu mliozoea kuwafurusha kama wezi! Ukumbuke Urusi inajitegemea kiusalama haitegemei support ya vibaraka kwenye vita.Kwani kuwa na support ya hao tumbili ndio kunazuia kuwa assassinated?
Mi nimemaliza alienza ni yeyemmeanza matusi 😂😂😂
Navy wao wameenda kuhakikisha kama ni kweli amelambwa? Taarifa ya USA inasema wanaenda kumuokoa ila hawajasema kumuokoa toka wapi? Wao wanajua baada ya kumkamata Poland,sisi tutamshikiria mateka kumbe tumemua na watakuta damu damu tu kule pangoniKazungukwa na Navy Seal huo uwezekano wa kuveshwa pamba puani utatoka wapi? Mnataka mpukutike kwa kila atakayejaribu kusogelea
SLAVA UKARINE👏
Ushachanganyikiwa wewe sasa,mtu mzima kuishiwa hoja na kugeukia viroja. Unavyowatukana watu humu unawajua? Inaelekea ulilelewa kwa mazingira ya kutukanwa tangu asubuhi hadi jioni kiasi kwamba lugha ya matusi kwako ishakuwa kawaida.Mtu anayejiheshimu haijalishi yuko nyuma ya keyboard au la hawezi toa lugha ya matusi haijalishi anawajua watu ama la.Embu kojoa ulale dada. Heshima jf? Sikujui hunijui nakupaje heshima?. NATO wanawaharibu vijana yani mnaona bila wao hakuna dunia hii noma sana
Ushachanganyikiwa wewe sasa,mtu mzima kuishiwa hoja na kugeukia viroja. Unavyowatukana watu humu unawajua? Inaelekea ulilelewa kwa mazingira ya kutukanwa tangu asubuhi hadi jioni kiasi kwamba lugha ya matusi kwako ishakuwa kawaida.Mtu anayejiheshimu haijalishi yuko nyuma ya keyboard au la hawezi toa lugha ya matusi haijalishi anawajua watu ama la.
Ndiyo maana tunampongeza sana Ukraine kwa kuhold kwa siku zote hizi,unapompeleka Matumla akapigane na Tyson wa enzi hizo na Matumla akifka hadi raundi ya tisa hata akishindwa bado atashangiliwa yeye na siyo Tyson. Nakubaliana na wewe vita na iishe ili maisha ya Innocent yasalimike.Ila dada yangu tuache utani Ukraine ana hali mbaya sana leo nilikuwa nafuatiria zoezi la uhamishaji wa watu kwenye mji uliko karibu na mji mkuu nimejikuta nikiwaonea huruma sana.
Inaonesha jinsi gani walivyo fadhaika na kinacho endelea na hawa amini kama wana pitia haya wanayo yapitia.
Tuombe tu vita ihishe jamani watu wana teseka mno.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mbona mwenzako kakushauri kwa wema na heshima Ila unamjibu hivyo!!! Au hukuelewaEmbu kojoa ulale dada. Heshima jf? Sikujui hunijui nakupaje heshima?. NATO wanawaharibu vijana yani mnaona bila wao hakuna dunia hii noma sana
Limefanya ivi leoMmerudi sasa warusi wa kuchongwa maneno meeengi vitendo ziro kujifanya mna silaha na wakati silaha zenyewe ni uchwara tu
Kama kuna mtu ana hoja anionyeshe leo hii jeshi la anga la Urusi liko wapi na limefanya nini cha maana mpaka sasa ivi katika hii vita!!
Subiri muda si mrefu NYUNDO YA MOTO ataleta hapa Breaking News akimuona mwamba akiongea na vyombo vya habari.Ebu tuambie yuko wapi kwa sasa Zelenskyy?
Wacha wee!! Aisee JF ina bahati kuwa na mtu kama weweKumu assassinate Putin sio sawa na wale warabu mliozoea kuwafurusha kama wezi! Ukumbuke Urusi inajitegemea kiusalama haitegemei support ya vibaraka kwenye vita.
Ana Nyuklia ambazo marekani hawezi kuzizuia! On a press of a button tu Marekani inakuwa kama Jangwani😅 ndio maana akina Bidden wamesalenda hawamfanyi kitu sembuse kumu assasinate!
Nimejaribu kumgoogle kama siku zote ila majibu niSubiri muda si mrefu NYUNDO YA MOTO ataleta hapa Breaking News akimuona mwamba akiongea na vyombo vya habari.
Siasa kitu kibaya sana.Ndiyo maana tunampongeza sana Ukraine kwa kuhold kwa siku zote hizi,unapompeleka Matumla akapigane na Tyson wa enzi hizo na Matumla akifka hadi raundi ya tisa hata akishindwa bado atashangiliwa yeye na siyo Tyson. Nakubaliana na wewe vita na iishe ili maisha ya Innocent yasalimike.
SLAVA UKRAINE
Hayo mapipa ya sijui S-300/S-400 hayana lolote ni utapeli tu wa warusi, yalishampiga nani acheni bwana.S-400 hazipo kwa ajili ya jeshi kama Ukraine, lile hata S-300 inalizidi uwezo. Ukraine inafanya ambush ya silaha za Urusi hakuna kamanda atafanya mchezo kusogeza S-400 zikamatwe Wamarekani waje mbiombio kuzisoma.
Zile Buk pekee zinatosha kuiweka Ukrainian airforce nje ya anga
Intelejensia ya Urusi ipo vizuri sana na walio threats kutoka NATO na USA kupitia Ukraine. Putin never sleeps when comes to territory protections.The Ministry of Defense of the Russian Federation published an instruction of the Ministry of Health of Ukraine on the destruction of pathogens and acts of destruction in the Poltava and Kharkiv biological laboratories.
The department emphasized that the documents confirm that biological weapons components were being developed in Ukrainian biolaboratories located near Russian territory.
View attachment 2141348
View attachment 2141349
View attachment 2141350
View attachment 2141351
View attachment 2141352