LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
2BC4B198-C037-4C77-9305-976F6ADF576D.jpeg
02A54A8F-488B-498D-8B54-48EE994E7DD3.jpeg
 
Shida wati mnapenda ubishi tu na wakati kwenye uhalisia mambo ni tofauti unajua taarifa zinatoka kila siku na zinaonyesha casualities anazopata Russia mnasema nk.propaganda basi tupeni nyie za kwenu ambazo ni sahihi hamna pia je mnataka sisi tuwakubalie kwa hoja ipi na wakati stuation halisi inaonyesha kabisa kuwa nyie wavamizi mambo yanawaendea vibaya uko front line

Ivi Russia ni jeshi la kuishiwa mafuta kweli, Russia ni jeshi la kukosa madawa uko front line kweli Russia ni jesho ambalo askari wake wakishambuliwa wanakimbia na kutelekeza silaha zao tena zile nzito na sophscated kabisa

Ivi Russia ni jeshi la kisupply RME ambayo tayari iko expered tena zaidi ya miaka saba nyuma yaani logistically Russia no ziro kabisa hamna laa maana lolote ambalo logistic yenu imeweza kuliachieve zaidi ya kwatelekeza front line wenu na kuwaacha wafe na njaa kali na mwisho wa siku kuishia kutekwa Ma kuuawa na majeshi ya ukrain

Nakuuloza swali kama unayo hoja niambie leo hii baada ya siku 11 za vita yenu mlioianzisha emu miambie jeshi lenu la anga limefanya nini cha maana ama kulosaidia jeshi la Russia zaidi ya helcopter zake na jet fighter zake kuishia kuangushwa , kjlipuliwa na mwisho kabisa marubani wenu kitekwa ama kuuwa niambie kwa hoja na nionyeahe ushahidi kitu chochote cha maana kilichofanywa na jeshi lenu la anga.

Sijataka kabisa kulizungumzia kabisa jeshi lenu la ardhini kwa maana ilo ni mzigo na ziro kabisa kabisa katika jeshi la Russia jeshi lenu la ardhini halina weledi wa utaalamu wowote wa kimapigano

Aya nasubiri majibu toka kwako yenye hoja na ushahidi halisi

Tupe source ya hizi habari zako na sisi tukasome sio umesoma twitter umecopy umepaste huku
 
Kumu assassinate Putin sio sawa na wale warabu mliozoea kuwafurusha kama wezi! Ukumbuke Urusi inajitegemea kiusalama haitegemei support ya vibaraka kwenye vita.

Ana Nyuklia ambazo marekani hawezi kuzizuia! On a press of a button tu Marekani inakuwa kama Jangwani[emoji28] ndio maana akina Bidden wamesalenda hawamfanyi kitu sembuse kumu assasinate!
Sasa nyuklia zinasaidia nini kwenye assassination mzee wangu wewe nawe bwana uwe unasoma mada na unaielewa kabla ya kujibu bwana unajiaibisha mzee!!
 
Toa data uzipendazo wewe kuzisikia ama laa nenda kazibandike chumbani kwako ziwe zinakufariji pale ukutani maana nyie pro putin mnatabia ya kuukimbia ukweli hamtaki kabisa kuukubali ukweli
Umechukia mimi kutoa opinions zangu?? Mbona kama una utoto mwingi
 
Hizi sababu mbona mwanzoni hazikuwepo,mambo yamekuwa si mambo mnaanza kumsemea Urusi kuwa hatumii modern weapons🤣🤣
Modern weapons gani wakati ndizo silaha alizonazo. Wanajeshi wa Russia hawataki hii vita wanalazimishwa tu na dikteta Putin na wamepanga kuisaliti nchi yao kwenye hivi vita.
 
Kama nini mlichoharibu cha maana pale Ukrain yaani ni aibu mno kwa jinsi mlivyokuwa mkijisifu na jeshi lenu uchwara kupiganavita na nchi underdog zaidi ya siku 11 na kushindwa kuteka ata asset moja ya maana katika nchi mliyo ivamia Russia was very ovarated yaani jeshi la Russia ni jeshi dhaifu zaidi kuliko majeshi kalibia yote ya balaa la Ulaya

Ausioo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wewe hujasikia Roman tajiri wa Chelsea anakwambia baada ya kuiza timu fedha zote zitakazopatikana zitakwenda kusaidia Ukraine [emoji1255]?
 
Shida wati mnapenda ubishi tu na wakati kwenye uhalisia mambo ni tofauti unajua taarifa zinatoka kila siku na zinaonyesha casualities anazopata Russia mnasema nk.propaganda basi tupeni nyie za kwenu ambazo ni sahihi hamna pia je mnataka sisi tuwakubalie kwa hoja ipi na wakati stuation halisi inaonyesha kabisa kuwa nyie wavamizi mambo yanawaendea vibaya uko front line

Ivi Russia ni jeshi la kuishiwa mafuta kweli, Russia ni jeshi la kukosa madawa uko front line kweli Russia ni jesho ambalo askari wake wakishambuliwa wanakimbia na kutelekeza silaha zao tena zile nzito na sophscated kabisa

Ivi Russia ni jeshi la kisupply RME ambayo tayari iko expered tena zaidi ya miaka saba nyuma yaani logistically Russia no ziro kabisa hamna laa maana lolote ambalo logistic yenu imeweza kuliachieve zaidi ya kwatelekeza front line wenu na kuwaacha wafe na njaa kali na mwisho wa siku kuishia kutekwa Ma kuuawa na majeshi ya ukrain

Nakuuloza swali kama unayo hoja niambie leo hii baada ya siku 11 za vita yenu mlioianzisha emu miambie jeshi lenu la anga limefanya nini cha maana ama kulosaidia jeshi la Russia zaidi ya helcopter zake na jet fighter zake kuishia kuangushwa , kjlipuliwa na mwisho kabisa marubani wenu kitekwa ama kuuwa niambie kwa hoja na nionyeahe ushahidi kitu chochote cha maana kilichofanywa na jeshi lenu la anga.

Sijataka kabisa kulizungumzia kabisa jeshi lenu la ardhini kwa maana ilo ni mzigo na ziro kabisa kabisa katika jeshi la Russia jeshi lenu la ardhini halina weledi wa utaalamu wowote wa kimapigano

Aya nasubiri majibu toka kwako yenye hoja na ushahidi halisi
Kwanza Urusi yeye amrpeleka vijana wa JKT huko Ukraine na wamepewa silaha ambazo za kawaida sana na hayo mengine ya kuishiwa mafuta ni propaganda tu. Kurudi nyuma mnapozidiwa ni kawaida vitani kwani hukumuona Rambo au Kachupi anakimbizwa mpera mpera polini ila baadae wanajipanga na kushinda vita
 
Nimejaribu kumgoogle kama siku zote ila majibu ni

Oops! We ran into some problems.
This this one limits who may view their full profile and his stories .
Kwa majibu haya nadhani tayari amekufa na ndio maana sisi tunadai yuko wapi rais wetu Zelenskyy? Hatumwoni akijirekodi wala akiwasema NATO au akiomba kuongea na Putin.
Mmmh mkuu uko beyond humanity aises japo jamaa wala hajafa na bado yuko pale kiev kama kawaida anendelea kutoa order kwa makamanda wake lakini si vyema kufurahia kifo cha binadamu mwenzako mimi ni mpinzani wa Putin lakino siwezi kufurahia kifO chake kwa namna unayofanya wewe kumbuka ni kiumbe mwenys utashi tofauti na wanyama!!
 
Hayo mapipa ya sijui S-300/S-400 hayana lolote ni utapeli tu wa warusi, yalishampiga nani acheni bwana.
Mkuu acha kuyadharau maana Wachina, Wahindi na Waturuki waliyanunua pamoja na hatari ya vikwazo na kununa kwa Marekani, kabla ya kununua walifanya testing. Iran alitaka kuuziwa ila Urusi hakukubali, ukiona silaha ikitaka kuuzwa Marekani anatishia kuweka vikwazo na ananuna usidhani anapoteza muda, ndege latest za Urusi mbona hata Algeria na Egypt wananunua bila shida.

S-400 inaizidi mbali MIM Patriot ya Mmarekani. Marekani iligoma kuiuzia Uturuki F-35 ili S-400 za Uturuki zisisome characristics na kwa kuwa Russian maintenance engineers wanakuwepo wasije jua siri. Nakumbusha mwaka jana UK ilipodondosha F-35 bahari ya Mediterranean walileta submarines na robots kuitoa kilomita kadhaa baharini chini ili Urusi au China zisiibe. S-400 sio ya kuipeleka Ukraine ambako kuna Su-25 na Mig-29
 
Putin and Israeli Prime Minister Bennett exchanged views on the situation in connection with Russia's special operation to protect Donbass, the Kremlin reported.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Kuna vilaza humu walikuwa wanasema SANCTIONS haziwezi ihathili Urus kwasababu Putin alishajipanga muda mrefu kabla.
Wengine wakasema hela za serikali ya urusi zipo kwenye cryptocurrency hivyo hakuna namna mebeberu wataiyumbisha Urusi.
Yaan pesa ya serikali itunzwe kwenye shiling ya kubet!!

Pro Russia wengi ukiwafuatilia wanamatatizo ya akili.
 
If You support Ukraine ,but Not Palestine, Iraq, Syria, Afghanistan,Smoalia,Libya etc If you condemn Russia but not Isreal and USA.
Then Congratulations Mate , Your on the Highest Tier of Hypocrisy.[emoji174]
Don't force everyone to support your opinions. Eg, some of us are War Mongers, so we just enjoy the tactics, use of war machines,battles, the war grounds etc.

By the way, do u know how it feels to hear the outgoing bullets from AK 47? So awesome...
 
Danone announced the suspension of investment projects in Russia.

It is noted that the production of dairy products and baby food will continue.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Kwanza Urusi yeye amrpeleka vijana wa JKT huko Ukraine na wamepewa silaha ambazo za kawaida sana na hayo mengine ya kuishiwa mafuta ni propaganda tu. Kurudi nyuma mnapozidiwa ni kawaida vitani kwani hukumuona Rambo au Kachupi anakimbizwa mpera mpera polini ila baadae wanajipanga na kushinda vita
Mwanangu umenifanya nicheke mnoo daaaah!!
 
Back
Top Bottom