LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tuliwahi kutaka kumpasua Burundi miaka ya nyuma
Siyo tulitaka mkuu. 1998, Burundi alipasuka vibaya mno.Ni issue ilichukua less than 1h, lakini alichakazwa vibaya mno hatakuja asahau!
 
Mwenzako anaomba msaada wewe una comment ujinga
 
Walivyoifanya Iraq haikuwa sawa hata kidogo , wameharibu miundombinu kwa kiasi kikubwa USA walipiga mpk sehemu za kihistoria raia wakawa wana haha mpk leo uchumi wa Iraq hauko stable

Wakati Israel anapiga makombora Palestine na kuua raia wengine wasio na hatia Biden asema "Israel has a right to defend itself "

NB:Sishabikii mauaji ila hawa wanaojiita watetezi wa haki hakuna haki wanayotetea bali wamejaa unafiki na kufuata ushabiki na matamanio.
 
Bwana wenu uko washa anza kuishiwa pesa. kageuka fisiemu gafra ana kamata Warusi wenzie wanao protest war
 
USA wamenyakua rasilimali mafuta kote huko.
 
💯%.
 
Nakusalimu mchumbuzi wa Urusi,vp kuhusu jana?Urusi ilivyo fanya kwa Ukraine?
 
Unahisi Ukraine hawajui kama wamezidiwa? Wameambia wajisalimishe wamegoma, then unadhani wamegoma ili wawapigie makofi Warusi wakivamia
 
Nani huwa anapanga viwango vya FIFA, huwa ni timu husika inajipanga? Nani huwa anapanga matajiri duniani, ni mtu husika badala ya taasisi kama Forbes, nani anapanga nchi zenye uchumi, umaskini, maradhi, njaa, GDP. Nani anayethibitisha mgonjwa anaumwa kansa ya damu, mifupa au mapafu, kwamba ni mgonjwa mwenyewe?

Unaandika as if Russia wako Mars au uwezo wa kijeshi ni viazi vinachimbwa chini havionekani
 
We jamaa, uko sawa kichwani?? Mbona hukushangaa USA kushindwa AFIGHANSTAN??
Afghanistan US alikuwa anapigana na raia wenye kujificha. Leo tunangumza jeshi la nchi dhidi ya jeshi la nchi, kila kitu unajua kilipo kambi zote na military installations
 
Hujui historia ya Marekani. Yale majimbo 52 yote hayakujiunga kwa hiari. Mengi yalitekwa na kuunganishwa kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…