kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Siyo tulitaka mkuu. 1998, Burundi alipasuka vibaya mno.Ni issue ilichukua less than 1h, lakini alichakazwa vibaya mno hatakuja asahau!Tuliwahi kutaka kumpasua Burundi miaka ya nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo tulitaka mkuu. 1998, Burundi alipasuka vibaya mno.Ni issue ilichukua less than 1h, lakini alichakazwa vibaya mno hatakuja asahau!Tuliwahi kutaka kumpasua Burundi miaka ya nyuma
Mwenzako anaomba msaada wewe una comment ujingaUkraine yavunja Daraja kuchelewesha Askari wa Urusi kuteka mji mkuu, wakati huo huo Marekani inajiandaa kupeleka msaada wa kijeshi wa 600 million USD.
Pia Kuna Taarifa za Urusi imepoteza Umiliki wa Uwanja wa ndege waliouteka, na vikosi vya Urusi kushindwa mpakani mwa Beralus.
Why Ukraine hata wakipigwa wanatoa taarifa ila Urusi anaficha
Hakuna nchi inayotaka vikwazo. Msikilize speech zake akiongelea hivyo vikwazo utaona kabisa si jambo analolifurahia ila hana jinsi.Angeogopa hivyo vikwazo asingefanya
Walivyoifanya Iraq haikuwa sawa hata kidogo , wameharibu miundombinu kwa kiasi kikubwa USA walipiga mpk sehemu za kihistoria raia wakawa wana haha mpk leo uchumi wa Iraq hauko stableMarekani yenyewe ikivamiaga nchi za watu kwa nini huwa hampigi kelele na kusema itasababisha vita vya dunia?
Marekani iliivamia Iraq kwa sababu za uongo, ikamtoa madarakani Rais wake, ikamuua, halafu ikaondoka imeacha mambo shaghalabaghala, lakini wao eti ni watu wema sana.
FOH with that BS
USA wamenyakua rasilimali mafuta kote huko.mdogo wangu nyani na wewe umeingia mtego wa "maamuma"? unashabikia nchi huru kuvamiwa?
MAREKANI KWA MIAKA 300 ya uhuru imewahi kuiteka nchi na kuifanya sehemu yake? Iraq , Libya, somalia zimechukuliwa na kufanywa sehemu za USA?
URUSI wanavamia na kuteka nchi na kuzifanya sehemu zake, wewe upo hapo?
tatizo la Tz utapiamlo wa akili.
💯%.Walivyoifanya Iraq haikuwa sawa hata kidogo , wameharibu miundombinu kwa kiasi kikubwa USA walipiga mpk sehemu za kihistoria raia wakawa wana haha mpk leo uchumi wa Iraq hauko stable
Wakati Israel anapiga makombora Palestine na kuua raia wengine wasio na hatia Biden asema "Israel has a right to defend itself "
NB:Sishabikii mauaji ila hawa wanaojiita watetezi wa haki hakuna haki wanayotetea bali wamejaa unafiki na kufuata ushabiki na matamanio.
Nakusalimu mchumbuzi wa Urusi,vp kuhusu jana?Urusi ilivyo fanya kwa Ukraine?Aivamie Ukraine akose mradi wa gas wa Nord Stream 2?..NATO walishamwambia Putin very clear,hawezi pata vyote,achague kimoja,aivamie Ukraine akose Nord Stream 2 au aachane na Ukraine inversion abakize Nord stream 2.
Unafikiri Putin ni mjinga hivyo akose mradi utaofaidisha genereations sababu ya vita Ukraine.
Kila kitu ni leverage boss sio ubabe wa kijinga mnaoupigania huku usio na kichwa wala miguu.
Leo Sergei Lavrov amesema baadhi ya wanajeshi waliokuwa mpakani Ukraine wameanza safari ya kurudi kambini,Hata satellites za Marekani wame confirm movements za wanajeshi ku withdraw.
Vita sio lelemama aisee
ndo hivyo sio kitu kipya kwake, ndio maana alisema iwe akivamia au asipovamia wale jamaa wakitaka kuweka vikwazo wataweka tu kwahio waendelee na 50 zao na yeye 50 zakeHakuna nchi inayotaka vikwazo. Msikilize speech zake akiongelea hivyo vikwazo utaona kabisa si jambo analolifurahia ila hana jinsi.
Okay, thanks!Angalia AL JAZEERA wao wako pande zote mbili. Hawana upendeleo
Unahisi Ukraine hawajui kama wamezidiwa? Wameambia wajisalimishe wamegoma, then unadhani wamegoma ili wawapigie makofi Warusi wakivamiaWewe unataka mpaka usikie watu wanakufa hovyohovyo ndo uamini kuwa Ukraine kazidiwa tayari.
Ukraine hana la kufanya mpaka sasa, pamoja na kwamba Russia kaingia bila kutumia nguvu kubwa kama ilivyotarajia.
Hivi kuna mtu bado anaamini kuwa Ukraine anaweza kufanya resistance??
Nani huwa anapanga viwango vya FIFA, huwa ni timu husika inajipanga? Nani huwa anapanga matajiri duniani, ni mtu husika badala ya taasisi kama Forbes, nani anapanga nchi zenye uchumi, umaskini, maradhi, njaa, GDP. Nani anayethibitisha mgonjwa anaumwa kansa ya damu, mifupa au mapafu, kwamba ni mgonjwa mwenyewe?Kwa hiyo mkuu,
Unaamini mpaka wewe mmatumbi umeweza kufanya huu uchambuzi wako unaamini kabisa Russians hawalijui hili so wameingia kichwa kichwa?
Mkuu hata kama wewe ni military man, sidhani kama uko more informed kuhusu military capabilities za hizo pande mbili. Hakuna nchi ya wenye akili ambao wanaweza kuachia taarifa zao za kiulinzi na kijeshi so open this much labda kuwe na infiltration ya kiwango cha juu mno. Otherwise hii hadithi yako haina tofauti na masimulizi ya Simba na Yanga.
Umemfahamu alivyoandika?Mwenzako anaomba msaada wewe una comment ujingaView attachment 2130526
Afghanistan US alikuwa anapigana na raia wenye kujificha. Leo tunangumza jeshi la nchi dhidi ya jeshi la nchi, kila kitu unajua kilipo kambi zote na military installationsWe jamaa, uko sawa kichwani?? Mbona hukushangaa USA kushindwa AFIGHANSTAN??
Unakubalije kuwa mnyonge kirahisirahisi TU😄Mbona anaomba kwa mkwala namna hiyo?
Hujui historia ya Marekani. Yale majimbo 52 yote hayakujiunga kwa hiari. Mengi yalitekwa na kuunganishwa kwa nguvu.mdogo wangu nyani na wewe umeingia mtego wa "maamuma"? unashabikia nchi huru kuvamiwa?
MAREKANI KWA MIAKA 300 ya uhuru imewahi kuiteka nchi na kuifanya sehemu yake? Iraq , Libya, somalia zimechukuliwa na kufanywa sehemu za USA?
URUSI wanavamia na kuteka nchi na kuzifanya sehemu zake, wewe upo hapo?
tatizo la Tz utapiamlo wa akili.