Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
GOOD NEWS FOR PRO RUSSIA Frustration
Champagnee
The EU will not be able to find a complete replacement for gas from Russia, says the head of the French energy company Engie.
“The resources we currently have are limited. They are not enough to replace all the gas that we now receive from Russia,” Catherine MacGregor said in an interview with Les Echos.
About 40% of the gas used in the EU is Russian, she noted. And in some countries the dependence is 100%.
“Cutting off supplies would have severe and very quick consequences,” McGregor said.
View attachment 2141443
Putin sidhani alifikiria dunia ingemtenga kiuchumi namna Hii View attachment 2141398View attachment 2141399View attachment 2141400View attachment 2141401
View attachment 2141403
kutegemeana hakutaka kuishe katika haya maisha nandio maana US anaweza akawa anazalisha kila kitu lakini bado anaagiz toka njeamkuu hicho ndicho nlichokisema kwe comment yangu soma tena, na ht hio miaka hamsini walioko kwe hizo industry nao kila kukicha wanawekeza mabilioni kwe researches development so kadri unavyowasogelea nao wanasogea mbele, kwa bahati mbaya kuna watu wao wanashangilia tu kauli za kisiasa za putin, halafu utegemezi wa urusi kwa west kwe civillian tech haujaanza leo kwan tangu enzi za USSR stalin alitegemea sn wamarekan kutengeneza refineries na sekta zingine za oil
zuma anajitambua sanaJacob Zuma kaiasa Ukraine iache kujipendekeza kwa NATO, badala yake iweke maslahi ya raia wake mbele zaidi
=====
“”We call on President Zelensky to put the interests of the Ukrainians first, instead of pandering to his western allies at the expense of innocent lives.”
View attachment 2141588
Zuma: Ukraine must stop pandering to West, put own people first
Former president Jacob Zuma has called on Ukraine to stop 'pandering' to the West and put its own people first.www.thesouthafrican.com
kamuonea nani?Russia muonevu sana
maslahi ya wana ukraine ni yapi?zuma anajitambua sana
Kuna mwanajukwaa, nadhani ni abdul nondo aliandika mada (inside of article) anataka wanafunzi wa kitanzania walioko eneo la mapambano wasindikizwe kufika mpakani.Mh!vita haina macho
Kati ya mjinga na mpumbavu wewe tutakuitaje!?maslahi ya wana ukraine ni yapi?
ivi kati ya kujiunga na nato au kubaki na russia , yapiJacob Zuma kaiasa Ukraine iache kujipendekeza kwa NATO, badala yake iweke maslahi ya raia wake mbele zaidi
=====
“”We call on President Zelensky to put the interests of the Ukrainians first, instead of pandering to his western allies at the expense of innocent lives.”
View attachment 2141588
Zuma: Ukraine must stop pandering to West, put own people first
Former president Jacob Zuma has called on Ukraine to stop 'pandering' to the West and put its own people first.www.thesouthafrican.com
maslahi ya wana ukraine ni yepi?Jacob Zuma kaiasa Ukraine iache kujipendekeza kwa NATO, badala yake iweke maslahi ya raia wake mbele zaidi