LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Jacob Zuma kaiasa Ukraine iache kujipendekeza kwa NATO, badala yake iweke maslahi ya raia wake mbele zaidi

=====

“”We call on President Zelensky to put the interests of the Ukrainians first, instead of pandering to his western allies at the expense of innocent lives.”

SmartSelect_20220306-225929_Chrome.jpg

GOOD NEWS FOR PRO RUSSIA Frustration
Champagnee

The EU will not be able to find a complete replacement for gas from Russia, says the head of the French energy company Engie.

“The resources we currently have are limited. They are not enough to replace all the gas that we now receive from Russia,” Catherine MacGregor said in an interview with Les Echos.

About 40% of the gas used in the EU is Russian, she noted. And in some countries the dependence is 100%.

“Cutting off supplies would have severe and very quick consequences,” McGregor said.

View attachment 2141443

Bado ngano na wanavopenda kula ma burgers na pizza wataisoma namba
 
Mtoa post unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekuwa unasoma namna ya kutafuta pesa kwa kutumia fursa zilizopo mtaani kwako badilika acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero brain
 
mkuu hicho ndicho nlichokisema kwe comment yangu soma tena, na ht hio miaka hamsini walioko kwe hizo industry nao kila kukicha wanawekeza mabilioni kwe researches development so kadri unavyowasogelea nao wanasogea mbele, kwa bahati mbaya kuna watu wao wanashangilia tu kauli za kisiasa za putin, halafu utegemezi wa urusi kwa west kwe civillian tech haujaanza leo kwan tangu enzi za USSR stalin alitegemea sn wamarekan kutengeneza refineries na sekta zingine za oil
kutegemeana hakutaka kuishe katika haya maisha nandio maana US anaweza akawa anazalisha kila kitu lakini bado anaagiz toka njea
 
Jacob Zuma kaiasa Ukraine iache kujipendekeza kwa NATO, badala yake iweke maslahi ya raia wake mbele zaidi

=====

“”We call on President Zelensky to put the interests of the Ukrainians first, instead of pandering to his western allies at the expense of innocent lives.”

View attachment 2141588
zuma anajitambua sana
 
Inaumiza sana ila hakuna haja ya kuangalia kwa muda mrefu ikiwa una machozi ya karibu au hisia za aina yoyote.

Soma makala maelezo haya na hapo chini ili kujua kilichotokea na jinsi kinavyothibitisha ubaya wa vita, si katika usalama bali kwenye eneo husika, vitani hakuna jirani.

Wanajeshi wa Urusi wamewaua kwa makusudi raia wa Ukraine waliokuwa wakijaribu kukimbia, kuvuka mpaka kati ya waliouawa ni Mama na watoto 2 pamoja na baba yao ambaye amejeruhiwa kwa risasi ikiwa ni sehemu ya mamia ya raia wanaotafuta usalama nje ya nchi yao.

20220306_223537.jpg

👆🏾PICHA: Tukio la kusikitisha kutoka nchini Ukraine kwenye uwanja wa vita.

Mpiga picha wa new york times Lynsey Addario alishuhudia mwanzo mwisho wa tukio hilo.

Moderator
Naomba mada hii ibaki ilivyo kuna kitu cha kujifunza hapo.
 
Mh!vita haina macho
Kuna mwanajukwaa, nadhani ni abdul nondo aliandika mada (inside of article) anataka wanafunzi wa kitanzania walioko eneo la mapambano wasindikizwe kufika mpakani.
 
Jacob Zuma kaiasa Ukraine iache kujipendekeza kwa NATO, badala yake iweke maslahi ya raia wake mbele zaidi

=====

“”We call on President Zelensky to put the interests of the Ukrainians first, instead of pandering to his western allies at the expense of innocent lives.”

View attachment 2141588
ivi kati ya kujiunga na nato au kubaki na russia , yapi
Jacob Zuma kaiasa Ukraine iache kujipendekeza kwa NATO, badala yake iweke maslahi ya raia wake mbele zaidi

=====

“”We call on President Zelensky to put the interests of the Ukrainians first, instead of pandering to his western allies at the expense of innocent lives.”

View attachment 2141588
maslahi ya wana ukraine ni yepi?
 
Back
Top Bottom