LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
kama ulitegemea kama watu wote watasapot hio VITA pole
shilingi hua napande mbili kijana
 
Duh!
Hatari sana!!!
 
Mtoa post unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekuwa unasoma namna ya kutafuta pesa kwa kutumia fursa zilizopo mtaani kwako badilika acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero brain
Na ww unaoneji muda wote uliotumia kusoma huo ujinga ungekuwa umemalizia kuvuta kipisi chako cha bangi
 
ni kweli ndani kwake hali tete
 
Ahsante kwa shule hii
Mkuu,Marekani ana Military base Rwanda.Hapo Chagos jirani yetu ipo kubwa sana.
Mauritania ipo.na Kigamboni.
Ya Djibout ni kwaajili ya Waarabu huko Iraq.
Kwahiyo wanachagua tu kikosi kikapige wapi kutokana na umbali.
Huko saa hii vyombo ndio vinapelekwa.
Mrusi anaona kama amemaliza vita.
Jamaa NATO ndio kwanza wanajiandaa.
Wako hapo Poland wanafunga mitambo.

Baada ya hapo utaskia mziki wake huyo Putin aandae makao mapya.
 
Yaani wewe ufahamu kuwa marekani anafunga kitambo poland ila urusi yenye majasusi dunia nzima hii taarifa wawe hawana kweli
 
marekani anayewaburuza hata hiyo haimuhusu. pia, ukweli tuuseme, urusi imepigwa sana na hawa vijana, wanajeshi wengi na ndege/vifaru vinigi mno vimeteketezwa, hata urusi ikishinda tuwape pongezi vijana wa ukraine kwa walichokifanya.
Urusi imepigwa sana hahahahaha umerogwa wewe
 
Yaani wewe ufahamu kuwa marekani anafunga kitambo poland ila urusi yenye majasusi dunia nzima hii taarifa wawe hawana kweli
Mzee Marine ziko hapo zinashusha mzigo.Achana na mzigo ulikuwepo.
Na Mwingereza na nchi zote za NATO.
Hivi mrusi kashachakaza hapo Ukraine ila kaona watu wanakuja ndo anaanza kuomba makubaliano.
Na hamna kinachorudi zaidi ya kichapo.
Wakimaliza kufunga mambo yao sasa ni vita kamili.
Kilichotokea ilikua propaganda tu.
Wenye nguvu wanaenda kufukia kila kitu.
Subiri 1 week
 
Iraq ya sadam Ni borA kabisa kuliko Ukraine ya leo coz kwa kipindi kile air Force yao ilikua y nne kwa ukubwa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…