LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Jamani hizi taarifa kuwa Leo huko Moscow na St Petersburg kunafanyika maandamano ya kufa mtu ni kweli au. Maana nimeona huko Twitter clip za maandamano makubwa leo hii wakipinga hii vita. Pia kuna clip inaonyesha wafanyakazi wa kiwanda kimoja kikubwa wakiandamana baada ya biashara kubuma.

Kama hii ni kweli basi warusi wameona hii vita ni ujinga tu. Japo juzi Putin alipiga mkwala kuwa mwananchi atakayetoa maneno ya uchochezi atakula miaka 15 jela.
kama ulitegemea kama watu wote watasapot hio VITA pole
shilingi hua napande mbili kijana
 
Inaumiza sana ila hakuna haja ya kuangalia kwa muda mrefu ikiwa una machozi ya karibu au hisia za aina yoyote.

Soma makala maelezo haya na hapo chini ili kujua kilichotokea na jinsi kinavyothibitisha ubaya wa vita, si katika usalama bali kwenye eneo husika, vitani hakuna jirani.

Wanajeshi wa Urusi wamewaua kwa makusudi raia wa Ukraine waliokuwa wakijaribu kukimbia, kuvuka mpaka kati ya waliouawa ni Mama na watoto 2 pamoja na baba yao ambaye amejeruhiwa kwa risasi ikiwa ni sehemu ya mamia ya raia wanaotafuta usalama nje ya nchi yao.

View attachment 2141599

👆🏾PICHA: Tukio la kusikitisha kutoka nchini Ukraine kwenye uwanja wa vita.

Mpiga picha wa new york times Lynsey Addario alishuhudia mwanzo mwisho wa tukio hilo.

Moderator
Naomba mada hii ibaki ilivyo kuna kitu cha kujifunza hapo.
Duh!
Hatari sana!!!
 
Mtoa post unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekuwa unasoma namna ya kutafuta pesa kwa kutumia fursa zilizopo mtaani kwako badilika acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero brain
Na ww unaoneji muda wote uliotumia kusoma huo ujinga ungekuwa umemalizia kuvuta kipisi chako cha bangi
 
ni kweli ndani kwake hali tete
Jamani hizi taarifa kuwa Leo huko Moscow na St Petersburg kunafanyika maandamano ya kufa mtu ni kweli au. Maana nimeona huko Twitter clip za maandamano makubwa leo hii wakipinga hii vita. Pia kuna clip inaonyesha wafanyakazi wa kiwanda kimoja kikubwa wakiandamana baada ya biashara kubuma.

Kama hii ni kweli basi warusi wameona hii vita ni ujinga tu. Japo juzi Putin alipiga mkwala kuwa mwananchi atakayetoa maneno ya uchochezi atakula miaka 15 jela.
 
Ahsante kwa shule hii
Mkuu,Marekani ana Military base Rwanda.Hapo Chagos jirani yetu ipo kubwa sana.
Mauritania ipo.na Kigamboni.
Ya Djibout ni kwaajili ya Waarabu huko Iraq.
Kwahiyo wanachagua tu kikosi kikapige wapi kutokana na umbali.
Huko saa hii vyombo ndio vinapelekwa.
Mrusi anaona kama amemaliza vita.
Jamaa NATO ndio kwanza wanajiandaa.
Wako hapo Poland wanafunga mitambo.

Baada ya hapo utaskia mziki wake huyo Putin aandae makao mapya.
 
Yaani wewe ufahamu kuwa marekani anafunga kitambo poland ila urusi yenye majasusi dunia nzima hii taarifa wawe hawana kweli
 
marekani anayewaburuza hata hiyo haimuhusu. pia, ukweli tuuseme, urusi imepigwa sana na hawa vijana, wanajeshi wengi na ndege/vifaru vinigi mno vimeteketezwa, hata urusi ikishinda tuwape pongezi vijana wa ukraine kwa walichokifanya.
Urusi imepigwa sana hahahahaha umerogwa wewe
 
Yaani wewe ufahamu kuwa marekani anafunga kitambo poland ila urusi yenye majasusi dunia nzima hii taarifa wawe hawana kweli
Mzee Marine ziko hapo zinashusha mzigo.Achana na mzigo ulikuwepo.
Na Mwingereza na nchi zote za NATO.
Hivi mrusi kashachakaza hapo Ukraine ila kaona watu wanakuja ndo anaanza kuomba makubaliano.
Na hamna kinachorudi zaidi ya kichapo.
Wakimaliza kufunga mambo yao sasa ni vita kamili.
Kilichotokea ilikua propaganda tu.
Wenye nguvu wanaenda kufukia kila kitu.
Subiri 1 week
 
Tena alitumia miezi mingi kuipiga nchi inayoingia Mara 10 ya ukraine. Iraq haikuwa na jeshi kubwa, Iraq alitengwa na dunia nzima, Iraq hakuwa na silaha zaidi ya mabomu ya kurusha kwa mkono na bunduki za kukoki. Russia anapambana na nchi yenye jeshi la tatu kwa ubora ulaya nzima, jeshi lenye dhana na vifaa vya kisasa
Iraq ya sadam Ni borA kabisa kuliko Ukraine ya leo coz kwa kipindi kile air Force yao ilikua y nne kwa ukubwa duniani
 
Back
Top Bottom