babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hakuna nchi ya Ulaya inataka kuwa shamba la kupigania vita wewe KILAZA.Mzee Marine ziko hapo zinashusha mzigo.Achana na mzigo ulikuwepo.
Na Mwingereza na nchi zote za NATO...
Acha upumbavu, lini alipigwa na alipigwa na nani?Mrusi aliwai pigwa miaka ya 90 mpk ikasambaratika na kupoteza uchumi wote.
Wanapigwa tena mpk kwao,tungoje tu.
We jamaa tunaanza kupeana matusi tena? Huwezi kujadili mada bila kuweka mafi yako hapa? Nyie watu sijui hata nani aliwaonyesha computer.Hakuna nchi ya Ulaya inataka kuwa shamba la kupigania vita wewe KILAZA.
Hahahahahah utani huu
We are already there, Putin has said what the U.S. is doing through Nato is tantamount to the declaration of war!!Yess...
We are heading there.
It will be WW3 if Russia invades any NATO member. Kwa sasa wanamsaidia tu Ukraine. Lakini ikitokea Russia akarusha mabomu France, USA, UK etc.. Then yeah.. it will be on!View attachment 2141694
Au Biden ana Altzeimer .
Not really! Russia needs to invade USA first. For now ni vita ya maneno tu kati ya USA na Russia.. vita halisi ni kati ya Russia na Ukraine.. hata Biden hajaruhusu ground forces za US military zipigane vs Russia.We are already there, Putin has said what the U.S. is doing through Nato is tantamount to the declaration of war!!
Not really! Russia needs to invade USA first. For now ni vita ya maneno tu kati ya USA na Russia.. vita halisi ni kati ya Russia na Ukraine.. hata Biden hajaruhusu ground forces za US military zipigane vs Russia.
Kwa hio ili muone jazba ya Mmarekani... ni pale Russia atakapovamia USA territory.. kama ambavyo Japan alivamia Pearl Harbor ya Hawaii USA in WW2
Askari wa Nato ni wengi na Russians wanajuaHivi wewe kweli unaamini hakuna askari wa kimarekani ndani ya UKRAINE? Wamerekani hawawezi kusema openly kuwa askari wao wako ndani huko! UKRAINE wasingeweza kumdindia Putin namna hiyo peke yao mpaka sasa
Hakuna taifa duniani linaloweza kufanya hicho unachokiwaza kwa Marekani labda kupigana nayo tu not invading wataua kila aitwaye raia wa nchi hiyoNot really! Russia needs to invade USA first. For now ni vita ya maneno tu kati ya USA na Russia.. vita halisi ni kati ya Russia na Ukraine.. hata Biden hajaruhusu ground forces za US military zipigane vs Russia.
Kwa hio ili muone jazba ya Mmarekani... ni pale Russia atakapovamia USA territory.. kama ambavyo Japan alivamia Pearl Harbor ya Hawaii USA in WW2
Umeelewa kweli kilichoandikwa?Kama haya yameshaanza kufanyika basi mdogomdogo tayari intelijensia ya USA/NATO imeshafahamu Strength and Weakness ya Russia Kijeshi na huenda wameshajua mbona anapigika tu.
Hili linaelekea kuwa lina ukweli kabisa, Putin anapigana na NATO bila kujijua kupitia wale waliojifanya ni Volunteers ama veterans sema tu hawajajitangaza rasmi!Hivi wewe kweli unaamini hakuna askari wa kimarekani ndani ya UKRAINE? Wamerekani hawawezi kusema openly kuwa askari wao wako ndani huko! UKRAINE wasingeweza kumdindia Putin namna hiyo peke yao mpaka sasa
Kuna ndege, us tech, na meli na askari wa kisiri siri wachache ndio.. ila sio wanaofanya mashambulizi ardhini.. ground combatHivi wewe kweli unaamini hakuna askari wa kimarekani ndani ya UKRAINE? Wamerekani hawawezi kusema openly kuwa askari wao wako ndani huko! UKRAINE wasingeweza kumdindia Putin namna hiyo peke yao mpaka sasa
Hakuna taifa duniani linaloweza kufanya hicho unachokiwaza kwa Marekani labda kupigana nayo tu not invading wataua kila aitwaye raia wa nchi hiyo