Kuzuia athari za vita? Embu nikuulize ni wapi NATO wamezuia athari za vita? Kule israel na Palestine wamezuia nn? Kule iran, libya, afghanistan, saud arabia, syria, cuba walizuia sindo walioanzisha vita?
Hao NATO ndo chanzo au kiini cha upotevu wa amani duniani, dunia kwa sasa inataka kuona taifa litakalozuia huu uonevu unaofanywa na NATO wakiwa na US. Kwa hili la ukraine tushukuru Russia ameonesha dunia kuwa NATO ni watu gani hii itasaidia sana hata mataifa mengine kiufupi tumeona unafiki wa NATO mataifa mengi yamejifunza. Tunataka dunia yenye equal balance of power kwa sasa, so mtu anajiamulia anachotaka