NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Footage of the extinguishing of an oil depot in Luhansk appeared. It caught fire this morning after shelling by Ukrainian troops. Information about the victims is being specified.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajeshi wa Ukraine Wanajifichaje kwa Raia? Kwani wao sio Raia wa Ukraine? Wao ni Raia usisahau wako huru kuwa popote kwenye nchi yao iwe kwenye nyumba za wa Ukraine wa kawaida au porini ni wako kwao.Huwezi kuwapangia kuwa wawe wapi.Ni nchi yaoKanuni ya vita ni Man 2 Man!
Wanachokifanya Ukraine baada ya kukimbia kambi wameamua kujimix na raia so wanapiga kwa kuvizia. Ni sawa na ulingo wa boxing unapigana na mpinzani wako kwa kujificha mgongoni kwa refa. Unashambulia akirudisha unajificha nyuma ya refa.
Wa Ukraine wanatumia raia kama Kinga kujificha kwenye mgongo wa raia. Putin kashawaambia waache utoto huo wa kujificha kwenye migongo ya raia waone show.
Duuh😌.Watanzania wengi hatuna akili za kujifanyia maendeeleo, tunapoteza muda mwingi kubishana Yanga na Simba.
Vita tushaigeuza Yanga na Simba, tubishane tu, hatuna akili za kijifanyia ya maana.
Digital world imetutoa kwenye kubishana vijiweni imetuingiza kwenye kubishana viganjani. Kazi Iendelee.
WataWaponxa wenxao sasaWanajeshi wa Ukraine Wanajifichaje kwa Raia? Kwani wao sio Raia wa Ukraine? Wao ni Raia usisahau wako huru kuwa popote kwenye nchi yao iwe kwenye nyumba za wa Ukraine wa kawaida au porini ni wako kwao.Huwezi kuwapangia kuwa wawe wapi.Ni nchi yao
Wawaponze nini wao wako kwao huwezi vamia nyumbani kwangu halafu unipangie kuwa nikae wapi .WataWaponxa wenxao sasa
tushavamia tunatembeza kipigo hadi kwa mifugo maana nayo inatuzuia sometime kutuzuruWawaponze n.ini wao wako kwao huwezi vamia nyumbani kwangu halafu unipangie kuwa nikae wapi .
Mimi mwenyewe ndie nitajiamulia nikae wapi
Hamkawii kusema haki za binadamu zimevunjeaWako hapo jirani tu,mda si mwingi mziki utaanza.
Mrusi anajua ndo mana kaanza kuomba poo.
Ukraine hana ubavu kupambana na Mrusi,ye ni chambo tu.
Mda si mwingi NATO wakiongozwa na US watamvaa Putin na kumsindikiza mpaka kijijini kwao.
Kalibia vyote hapo anavyo vya kwake labda kama unataka kutumia tv ya samsung hapo ndo mtihani, ila ukitaka tu tv kwa putin zipo kampuni kibao tu