The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sasa hizo ni maneno za woga na kutapatapa kwa hao jamaa wa Russia,mtu anapoenda mstari wa mbele kupigana anakuwa ana mangapi? Si ni fainali lazima mtu afungwe?UK veteran, mmoja amewaasa waingereza wenzake, wafikrie mara elfu na hawashauri kabisa kwenda Ukraine. Mkuu msaidizi wa majeshi ya Urusi amesema, kuna mercenaries wanaenda Ukraine, wamepata taarifa hiyo, wafikirie mara saba saba kabla ya kuingia Ukraine. π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯ watabakia mavumbi ha haaa
Hakuna tumbili wa Russia ataachwa aingie mjini kizembe,Kazi iendelee π