LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
UK veteran, mmoja amewaasa waingereza wenzake, wafikrie mara elfu na hawashauri kabisa kwenda Ukraine. Mkuu msaidizi wa majeshi ya Urusi amesema, kuna mercenaries wanaenda Ukraine, wamepata taarifa hiyo, wafikirie mara saba saba kabla ya kuingia Ukraine. πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ watabakia mavumbi ha haaa
Sasa hizo ni maneno za woga na kutapatapa kwa hao jamaa wa Russia,mtu anapoenda mstari wa mbele kupigana anakuwa ana mangapi? Si ni fainali lazima mtu afungwe?

Hakuna tumbili wa Russia ataachwa aingie mjini kizembe,Kazi iendelee πŸ‘‡

Screenshot_20220306-155715.png
 
Zelensky fala sana, comedian, kauzwa na NATO, kaingia mkenge kadanganywa, kaachwa kwenye mataa, sasa anapigika, ndio ajifunze, Rais akiwa comedian akili hakuna kabisa, anajua maisha ni kama comedy tu. Acha ashughulikiwe.
Huna akili pathetic
 
A powerful explosion thundered in Lugansk a few minutes ago. The footage shows the aftermath.

Eyewitnesses suggest that the oil depot could have exploded, Luganskinformtsentr reports.

 
Mkuu,Marekani ana Military base Rwanda.Hapo Chagos jirani yetu ipo kubwa sana.
Mauritania ipo.na Kigamboni.
Ya Djibout ni kwaajili ya Waarabu huko Iraq.
Kwahiyo wanachagua tu kikosi kikapige wapi kutokana na umbali.
Huko saa hii vyombo ndio vinapelekwa.
Mrusi anaona kama amemaliza vita.
Jamaa NATO ndio kwanza wanajiandaa.
Wako hapo Poland wanafunga mitambo.

Baada ya hapo utaskia mziki wake huyo Putin aandae makao mapya.
Acha kututisha basi! Eti USA ina hadi Military Base KIGAMBONI. Acha uwongo ako basi.
 
Top news for the day:

- The Russian Ministry of Defense warned that the SBU and the militants of the Azov battalion were preparing a provocation with possible radioactive contamination of the area in the Kharkov region;

- The German Minister of Economics admitted possible problems with the country's energy supply in the coming winter;

- the head of the French Foreign Ministry announced the need to maintain channels of communication with the President of Russia;

β€” South Korea will stop transactions with the Bank of Russia.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Luganskinformtsentr publishes a video from the territory of the burning tank farm. This morning it was fired upon by the forces of the Armed Forces of Ukraine.

Information about the victims is being specified.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Based on the catastrophic humanitarian situation, as well as in response to Macron's request to Putin, the Russian Armed Forces announce a ceasefire regime from 10:00 and open humanitarian corridors from Kyiv, Mariupol, Kharkov and Sumy, the humanitarian headquarters reported.

Information about the creation of humanitarian corridors has been brought to the attention of the specialized structures of the UN, the OSCE, the ICRC and other international organizations.
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom