LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mzee Marine ziko hapo zinashusha mzigo.Achana na mzigo ulikuwepo.
Na Mwingereza na nchi zote za NATO.
Hivi mrusi kashachakaza hapo Ukraine ila kaona watu wanakuja ndo anaanza kuomba makubaliano.
Na hamna kinachorudi zaidi ya kichapo.
Wakimaliza kufunga mambo yao sasa ni vita kamili.
Kilichotokea ilikua propaganda tu.
Wenye nguvu wanaenda kufukia kila kitu.
Subiri 1 week
Yaani wewe ufahamu yote hayo Urusi isifahamu mkuu hahahahahahaha kifupi unaota
 
Ukrainian defence officials claim that their forces have re-taken the eastern city of Chuhuiv.

In an operational update posted to Facebook on Sunday night, Ukraine's General Staff said that Kyiv's forces had seized the city from Russian troops and had inflicted heavy losses on Moscow's forces during the battle.
 
Nimejaribu kumgoogle kama siku zote ila majibu ni

Oops! We ran into some problems.
This this one limits who may view their full profile and his stories .
Kwa majibu haya nadhani tayari amekufa na ndio maana sisi tunadai yuko wapi rais wetu Zelenskyy? Hatumwoni akijirekodi wala akiwasema NATO au akiomba kuongea na Putin.
Sio kila fala anaweza ku access social account za Rais wa watu,man of the people Zelezinky👇

Screenshot_20220306-155640.png


Screenshot_20220306-155355.png
 
Ukrainian defence officials claim that their forces have re-taken the eastern city of Chuhuiv.

In an operational update posted to Facebook on Sunday night, Ukraine's General Staff said that Kyiv's forces had seized the city from Russian troops and had inflicted heavy losses on Moscow's forces during the battle.
Russia hajawahi chukua huo mji.....
Hawa waUkraine sijui kirene wanashida ya Uongo.
 
UK veteran, mmoja amewaasa waingereza wenzake, wafikrie mara elfu na hawashauri kabisa kwenda Ukraine. Mkuu msaidizi wa majeshi ya Urusi amesema, kuna mercenaries wanaenda Ukraine, wamepata taarifa hiyo, wafikirie mara saba saba kabla ya kuingia Ukraine. 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥 watabakia mavumbi ha haaa
 
Kuzuia athari za vita? Embu nikuulize ni wapi NATO wamezuia athari za vita? Kule israel na Palestine wamezuia nn? Kule iran, libya, afghanistan, saud arabia, syria, cuba walizuia sindo walioanzisha vita?

Hao NATO ndo chanzo au kiini cha upotevu wa amani duniani, dunia kwa sasa inataka kuona taifa litakalozuia huu uonevu unaofanywa na NATO wakiwa na US. Kwa hili la ukraine tushukuru Russia ameonesha dunia kuwa NATO ni watu gani hii itasaidia sana hata mataifa mengine kiufupi tumeona unafiki wa NATO mataifa mengi yamejifunza. Tunataka dunia yenye equal balance of power kwa sasa, so mtu anajiamulia anachotaka

They don’t care about Us-Michael Jackson
 
Mkuu acha kuyadharau maana Wachina, Wahindi na Waturuki waliyanunua pamoja na hatari ya vikwazo na kununa kwa Marekani, kabla ya kununua walifanya testing. Iran alitaka kuuziwa ila Urusi hakukubali, ukiona silaha ikitaka kuuzwa Marekani anatishia kuweka vikwazo na ananuna usidhani anapoteza muda, ndege latest za Urusi mbona hata Algeria na Egypt wananunua bila shida.

S-400 inaizidi mbali MIM Patriot ya Mmarekani. Marekani iligoma kuiuzia Uturuki F-35 ili S-400 za Uturuki zisisome characristics na kwa kuwa Russian maintenance engineers wanakuwepo wasije jua siri. Nakumbusha mwaka jana UK ilipodondosha F-35 bahari ya Mediterranean walileta submarines na robots kuitoa kilomita kadhaa baharini chini ili Urusi au China zisiibe. S-400 sio ya kuipeleka Ukraine ambako kuna Su-25 na Mig-29
Hayo ni sawa na vyuma chakavu
 
Zelensky fala sana, comedian, kauzwa na NATO, kaingia mkenge kadanganywa, kaachwa kwenye mataa, sasa anapigika, ndio ajifunze, Rais akiwa comedian akili hakuna kabisa, anajua maisha ni kama comedy tu. Acha ashughulikiwe.
 
Pro NATO wanajenga hoja dhaifu sana mpaka nawasikitia uwezo wao ulivyo dhaifu. Yaani ni kufanya attack huku wakienda kujiliwaza CNN na BBC juu ya kichapo wanachopewa wanazi wa Ukraine huko wanafarijiana kila kitu kipo sawa lakini ukweli wanaujua.

Kuna document zinakamatwa na Urusi kwenye hiyo operation kwamba mmarekani alipanga kuwaangamiza warusi kwa kemikali za sumu na silaha za kibailojia. Hapo nachelea kusema ngoma inogile hiko kizazi za wanazi wa Ukraine watasulubiwa
Hoja dhaifu ipi?
 
UK veteran, mmoja amewaasa waingereza wenzake, wafikrie mara elfu na hawashauri kabisa kwenda Ukraine. Mkuu msaidizi wa majeshi ya Urusi amesema, kuna mercenaries wanaenda Ukraine, wamepata taarifa hiyo, wafikirie mara saba saba kabla ya kuingia Ukraine. 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥 watabakia mavumbi ha haaa
Wamegeuza bogi lao na saizi wanatafuta njia nyingine ya kuingia Ukraine ila tutawateketeza mapema sana
 
Mtoa post unaonaje huu muda ULIOTUMIA kupost huu ujinga wako ungekuwa unasoma namna ya kutafuta pesa kwa kutumia fursa zilizopo mtaani kwako badilika acha ujinga soma usiwe mtu wa akili za 0.0 yaani zero brain
Umepoteza Tsh ngapi kutumia muda wako kutoa haya maoni?
 
Jacob Zuma kaiasa Ukraine iache kujipendekeza kwa NATO, badala yake iweke maslahi ya raia wake mbele zaidi

=====

“”We call on President Zelensky to put the interests of the Ukrainians first, instead of pandering to his western allies at the expense of innocent lives.”

View attachment 2141588
Huyo mfungwa.si yuko jela kwa wizi,akamueleze mke wake huo utopolo
 
Back
Top Bottom