Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Timothy Griffin aliripotiwa kuuawa katika hatua wakati akipigania Kyiv

Raia wa Marekani ameripotiwa kuuawa katika harakati za kupigania serikali ya Ukraine. Ametambuliwa na vyombo vya habari vya Marekani kama Timothy Griffin, kutoka Jimbo la New York.

Kifo cha Griffin kiliripotiwa Jumatatu na NBC News, ambayo ilinukuu taarifa ya Jeshi la Kimataifa la Ukraine, kikosi cha wapiganaji wa kigeni kilichoundwa na Kyiv kusaidia jeshi lake dhidi ya Urusi.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani iliithibitishia CNN kifo cha raia wa Marekani, lakini ikakataa kumtambua marehemu

Kulingana na NBC News, Griffin aliuawa wakati akipigana katika Mkoa wa Kharkov kaskazini-mashariki mwa Ukraine. Alikuwa Mmarekani wa sita kuripotiwa na vyombo vya habari vya Marekani kuuawa katika mzozo wa Ukraine.

Kikosi hicho kiliundwa na Rais Vladimir Zelensky, na inadaiwa ni pamoja na watu wa kujitolea pekee ambao wanataka kusaidia kuilinda Ukraine dhidi ya Urusi. Moscow inaiona kama chombo cha kuajiri na kupeleka mamluki, na inasema wanachama wa NATO wanasaidia kyiv katika kuleta “bunduki za kimataifa za kukodi.”

Nguvu halisi ya kitengo hicho, ambacho kimejumuishwa katika jeshi la Ukrain, bado haijulikani wazi. Kyiv imedai kuwa zaidi ya watu 20,000 kutoka mataifa kadhaa waliitikia wito wake mwezi Machi. Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilitathmini mwezi Agosti kwamba Ukraine ilikuwa na wapiganaji wa kigeni wasiozidi 2,200 na kwamba idadi hiyo ilikuwa ikipungua kutokana na majeruhi na kutoroka.

Sasa US wanashindwa kusema ni US marine, wanazuga raia tu

soma:


 
Siku zote tunasema urusi kaolewa huko Ukraine,ni lazima akubali staili zote atakazohamuliwa na mme wake Ukraine..,mwanamwali hawezi kuwa na kauli juu ya mumewe!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi vidrone itakua Ukraine wamevijam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#Ukraine: Another Russian Orlan-10 UAV fell to the ground and was captured by the Ukrainian 28th Mechanized Brigade.

Aisee!...nimeangalia hiyo taarifa yako nimekucheka sana nikasema nitarudi kucomment, Sasa huoni iyo ni photoshop kabisa ndugu hao pichani apo ni sura ya msanii mkubwa anaitwa Chuck norris akiwa na jamaa yake umeshindwa kugundua ata uyo mtu wa kwanza pichani SURA NA RANGI YAKE MWILINI HAVIENDANI...hao ni maarufu sana kwa muvi walizocheza miaka ya 80s hadi 90s.

Duh!...taarifa nyingine za kulazimisha hizi ni SUMU NA MASIKITIKO...alafu kuna wenzio wamekupa Like uchwara kwa post Uchwara ya photoshop...aisee!

WEWE NI WA KUPUUZWA TAARIFA ZAKO...HADI APO UNATUAMINISHA VIPI NYIE MNAYOLETA HAPA KWENYE MADA SIO PROPAGANDA NA UONGO WA MITANDAONI???...



 
Kumbe chuck norris(kulia) yupo ukraine basi russia wamekwisha mpaka hapo. That man can dive on land
Yani ata mie nilikuwa nasoma tu post humu ila uyo jamaa amenishangaza lakini huenda ni mdogo kiumri...nawasiwasi usikute ni hawa wa 2000s, Hawawezi mjua Chuck Norris hawajawahi kuangalia movies zake...maana angelifahamu hilo asingepost iyo taarifa uchwara.
 
Kumbe chuck norris(kulia) yupo ukraine basi russia wamekwisha mpaka hapo. That man can dive on land
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wameziba Sura Kwa emoji we unatuambia Ukraine kuna Chuck Norris. Kweli kazi ipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enyi ProRussia ni kuchanganyikiwa ama nini?! Hivi hamuoni kama hao watu wameziba Sura Kwa kutumia emoji ya Chuck Norris?! Na hiyo siyo picha ya Kwanza kuziba zipo nyingi, hata ukiangalia CNN wanajeshi wengi wa Ukraine wakihojiwa hua wanavaa mask ili wasijulikane?!

Au drone nayo wameiphoto shop[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

proRussia Sura ya 1:500-780
 
Hii chai yako watu wameigundua mzee [emoji23][emoji16][emoji23]
Nishawajibu wenzako huko #83513

Yani sio chai tuu kuna uji huu hapa[emoji116]

#Ukraine: A rarely seen Russian Granat-4 reconnaissance UAV fell out of the sky recently and was recovered by Ukrainian forces. This appears to be the first loss of this type so far in Ukraine.


#Ukraine: The destruction of an apparent T-80BV tank of the Russian Army filmed by a drone operated by the 22nd Separate Motorized Infantry Battalion, presumably in the East. It is claimed that a TM-62M AT mine was used.


#Ukraine: A Russian BMP-2 IFV was destroyed in the East by Ukrainian forces. The crew were killed.



Yule alikua Chuck Norris,now nawatafutia Anord Schwarzenegger [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anord Schwarzenegger [emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]

#Ukraine: A Russian 5P85SM TEL of the S-300PM1/PM2 long-range AD system was destroyed on the move, reportedly in the vicinity of Iline, #Zaporizhzhia Oblast, ~60km from the frontline.

Would be very interesting to know how that target so far behind the lines was destroyed.

 
Kwa Hilo pigo sidhani kama Crue walipona,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kazi ipo
 
Wamarekani sio wabongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…