Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NARUDIA TENA BABA ZIFUATE AKILI ULIPOACHA , niambie Mwaka 2014 baada ya Urusi Kupora Crimea taifa gan lilikuwa limepanga kupeleka nyuklia Ukraine na taifa lipi lilikuwa kwenye misuguano na Urusi , au mwaka 2008 Urusi alipoivamia Georgia na kupora jimbo moja , je ni taifa gan la magharibi lilikuwa lina mgogoro na Urusi ? Tuliupinga ukaburu wa SA leo hii waafrika mnautetea ukaburu wa Urusi dhidi ya majirani zake , Urusi ndo taifa pekee lenye makoloni ndan ya Ulaya mpk sasa hv hlf nyiny wahanga wa ukolon leo hii mnashabikia taifa la hv , TUKIWAITA MAZOMBIE MNATUKANA WKT NDO AKILI ZENU ZIPO IVO , MAKOSA YA MAGHARIBI SIO KIPIMO CHA KUSEMA LIPI TUFANYE NA LIPI TUSIFANYE , NI UKICHAA KUUA SABABU MAGHARIBI WALIUA PIA

Hakuna mahali kumeonyesha ushabiki.

Nilichotaka kuonyesha ni kuwa Urusi ana sababu thabiti za kufanya aliyofanya inaweza kuwa sawa au sio sawa.


Ni kama mtu mwenye hasira kama wewe unavopaniki . Unaeza kuwa sawa au sio sawa.

Muungwana huangalia pande zote na huacha hisia zitulie kabla ya kufanya maamuzi.


Kwa majibu yako inaonyesha wewe ndo ungekua mrusi ungeshalipua mabomu yote ya nyuklia.

Mambo ya wazungu waachie wazungu mkuu wewe unavomtetea Ukraine mbona hakuna aliyemtetea Mrwanda alivokua akichinjana...nani alimtetea Patrice Lumumba alivouwawa Congo...nani alimtetea Libya alivoharibiwa na hao Nato na USA..nani alimtetea Kosovo alipolipuliwa na Nato na USA


The world is full of hypocrisy

When you are given two evils to choose one. I advice you to choose none.

Ndo maana Mwalimu Nyerere hakufungamana na yoyote.


Migogoro ya Africa hakuna anayoisemea...


Hao wamarekani wanaprint hela kama karatasi na kupeleka huko ukraine soon the bubble will burst na hapo ndo utajua hao jamaa wote hawana nia nzuri na dunia.


Mimi sipo upande wowote...ila kwenye ugomvi wowote kila mtu ana sababu zake za kugombana...inakupasa uangalie pande zote kabla ya kunyoosha kidole


CONCLUSION: hao ukraine na washirika wake pamoja na Urusi wote wangeeza kuepuka huo mgogoro kama wangekaa mezani ila kwa sababu wote wanataka kuonyeshana ubabe basi wanamalizana huko kama kumbikumbi.


Pia nakupa homework ufatilie hao jamaa ambao ndo polisi wa dunia tabia na mienendo yao

The United States has been involved in numerous foreign interventions throughout its history. By the broadest definition of military intervention, the US has engaged in nearly 400 military interventions between 1776 and 2019, with half of these operations occurring since 1950 and over 25% occurring in the post-Cold War period.[1] The objectives for these interventions have revolved around economy, territory, social protection, regime change, protection of US citizens and diplomats, policy change, empire, and regime building.[1]
 
RAIS wa Urusi Vladimir Putin
RAIS wa Urusi Vladimir Putin anataka kufanya “mapatano mapya na makubwa” na nchi za Magharibi ili kufuta fedheha ya kipindi cha baada ya Vita Baridi, mshauri wa rais wa Uturuki Ibrahim Kalin aliiambia CNN.

Katika mahojiano na shirika la utangazaji la Marekani, Kalin alisema kwamba mzozo wa Ukraine bila shaka utaisha kwa makubaliano, huku swali pekee likiwa ni lini, “na ni uharibifu kiasi gani utakuwa umefanywa kufikia hatua hiyo?”

Suluhu kama hiyo itakuwa zaidi ya mipaka ya Urusi na Ukraine, aliendelea, akisema kwamba kile Putin anakusudia kufanya ni kujadili tena usawa wa nguvu kati ya Moscow na Magharibi, baada ya Urusi kukubali duru kadhaa za upanuzi wa NATO kufuatia Vita Baridi.

“Uelewa wetu ni kwamba Rais Putin anataka kuwa na mapatano mapya makubwa, mkataba mpya, na nchi za Magharibi,” Kalin alisema. Afisa huyo wa Uturuki alirejelea mikataba iliyotiwa saini na Moscow na NATO mwanzoni mwa miaka ya 1990 – ambayo ni pamoja na Sheria ya Kuanzisha NATO-Russia ya 1997, ambayo ilisema kwamba muungano huo utaendelea kupanuka, na Mkataba wa Budapest wa 1994, ambapo Urusi ilikubali kutotumia nguvu dhidi ya majirani zake – kama maamuzi ambayo Putin angependa kuyafanya tena.

“Mtazamo wa Warusi ni kwamba Urusi ya siku hiyo, iliyotia saini makubaliano hayo – yaani, Urusi ya Gorbachevs na Yeltins – imekwisha,” Kalin alidai. “Kuna Urusi mpya, kuna ulimwengu mpya, kuna ukweli mpya, na wanataka kuwa na biashara mpya.”

Putin alitangaza wiki iliyopita kwamba “kuporomoka kwa utawala wa Magharibi hakuwezi kutenduliwa,” na kwamba “mambo hayatawahi kuwa sawa.” Dunia yenye pande nyingi, alisema, itayapa mataifa yasiyo ya Magharibi “fursa ya kuimarisha enzi kuu yao.”

Kulingana na Kalin, “Hii bila shaka inaweka utaratibu mzima wa kimataifa, utaratibu wa huria.” Aliongeza: “Hadi sasa mwitikio umekuwa vita kutoka pande zote mbili.”

Viongozi wa nchi za Magharibi hawajaeleza kuwa wananuia kufanya mazungumzo ya kumaliza mzozo wa Ukraine katika siku za usoni. Mstari rasmi wa Washington ni kwamba itaendelea kusambaza silaha za thamani ya makumi ya mabilioni ya dola kwa Kiev “kwa muda mrefu iwezekanavyo,” na itaruhusu Ukraine kuamuru masharti yake ya kumaliza mzozo.
 
Mobilizee wa Supapawa wamedakwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️ 92 OMBR captured a group of those mobilized in the Swativ direction in the Luhansk region.

The Ukrainian military reported that they captured 21 servicemen from Moscow and the Moscow region, they surrendered themselves.

 
[emoji298]️ The Embassy of Great Britain does not plan to evacuate from Kyiv - Mrs. Ambassador of Great Britain to Ukraine Melinda Simmons.
"We are with the security that allows us to be here. I have been here for several months, I am living in this war just as you are living in this war
 
[emoji298]️Ukraine has started to build a new "Mriia" plane. The new aircraft "An-225" is ready for 30 per cent, says Yevhen Havrylov, the general director of the enterprise "Antonov".

The work to restore the world’s largest cargo plane destroyed during the attack on Hostomel is being carried out in a secret place.

[emoji117] Follow @Flash_news_ua
 
The world we live in imejaa illusion nyingi sana!

Wall Street Journal maarufu kama WSJ wadai kua "Ukraine Conflict" ni just warm up, the "Big" one is yet to come!
View attachment 2409407
[emoji298] Katika "Opinion" iliyotolewa ni kuongezwa kwa military spending up to (4-5% of GDP). Kwa estimate za haraka haraka hizi ni kama 1.2 trillion dollars [emoji1787].

[emoji298] Current military spending ni 3% ya GDP ambayo iko around 800+ billion dollars! In comparison hii ni 3 times of China na almost 10 to 11 times of what Russia is spending annually in military!

[emoji1] What's funny ni kwamba despite those huge number of printed "dolali" ambazo ni kubwa mara dufu kwa "rivalries" wake China na Russia yet anaonekana hawezi kuwa "contain" so "She need" more and more!

[emoji95] "Nature" au tuseme over view ya jeshi la "wapinzani" wake Russia na China ni "Defensive". Only yeye tu ndio amekaa ki-offensive na aggressive towards others! So how can "they", Russia and China be "threats" kwake. Au China na Russia wamepanga kuivamia US [emoji23].

[emoji188] "She" gotta allies all over the world, tena kama haitoshi ana base za kijeshi kuzunguka "Wapinzani" wake. How comes "tajiri" mpunga una pwaya kupambana na "maskini" [emoji1787]

The world we live in is full if illusions nyie acheni tu [emoji2772].
Lakini kumbuka kuwa asilimia kubwa ya silaha za marekani ni overpriced
 
Mkuu hapo juu hujaleta chochote kuhusu CIA kumwua Chavez. Unituambia kuhusu CIA kuwa na "microbes" ilhali hujui virusi ni kitu kingine? Basi naona tumalize topic hii, tutapoteza wakati tu. Asante.
Wew ni mpuuzi hujui kuwa microbes also reffered as a virus. Wew ndie unamatatizo kichwani mwako endelea kusubiria huo ushahidi wa chaves kuuawa na CIA. Sababu sikulaumu ndio uwezo wako wa kufikilia ulipoishia.
 
Super power mandonga bure kwelikweli

November 7, 2022 Russia-Ukraine news​

By Kathleen Magramo and Joshua Berlinger, CNN
Updated 8:58 p.m. ET, November 7, 2022



3 hr 17 min ago

Russian soldiers in Donetsk complain about being sent into an "incomprehensible battle"​

From CNN's Josh Pennington and Tim Lister
In a letter purportedly sent from the front lines to a regional governor in Russia, the men of the 155th Brigade of the Russian Pacific Fleet Marines say they were thrown into an "incomprehensible battle" in the Donetsk region of eastern Ukraine.
The letter, published by a prominent Russian military blog on Monday, was sent to the Governor of Primorsky Krai.
"Once again we were thrown into an incomprehensible battle by General Muradov and his brother-in-law, his countryman Akhmedov, so that Muradov could earn bonuses to make him look good in the eyes of Gerasimov [Russia's Chief of the General Staff]," it said.
"As a result of the "carefully" planned offensive by the "great commanders" we lost about 300 men, dead and wounded, with some MIA over the past 4 days," the letter said. "We lost 50 percent of our equipment. That's our brigade alone. The district command together with Akhmedov are hiding these facts and skewing the official casualty statistics for fear of being held accountable."
In the letter, they asked the governor, Oleg Kozhemyako, "For how long will such mediocrities as Muradov and Akhmedov be allowed to continue to plan the military actions just to keep up appearances and gain awards at the cost of so many people's lives?"
CNN cannot verify how many soldiers signed the letter nor their ranks, but Kozhemyako confirmed he had received a letter from the soldiers of the unit.
 
Hawaachi tu kulia lia 🤣, kila lawama anatupiwa Russia dadeki!
IMG_20221108_065027_331.jpg


Meme time 🖐️
IMG_20221108_065032_083.jpg
 
Wew ni mpuuzi hujui kuwa microbes also reffered as a virus. Wew ndie unamatatizo kichwani mwako endelea kusubiria huo ushahidi wa chaves kuuawa na CIA. Sababu sikulaumu ndio uwezo wako wa kufikilia ulipoishia.
Mkuu una elimu nzuri jinsi ya kutumia matusi, kwa bahati mbaya elimu yako ya biolojia hailingani. Ona ufafanuzi:

Microorganisms or microbes can be found almost anywhere on Earth. Bacteria and archaea are almost always microscopic, while a number of eukaryotes are also microscopic, including most protists, some fungi, as well as some micro-animals and plants.
Viruses
are generally regarded as not living and therefore not considered as microorganisms.
 
Hii itakuwa mara ya nne, habari Ile Ile inaletwa na members tofauti ndani ya saa 12..., pro Russia naona mna uhaba wa habari baada ya kipondo kuwa kikali huko battle field [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa vile ni ukweli sote tuliouona na Marekani naye akauona.
 
Wew ni mpuuzi hujui kuwa microbes also reffered as a virus. Wew ndie unamatatizo kichwani mwako endelea kusubiria huo ushahidi wa chaves kuuawa na CIA. Sababu sikulaumu ndio uwezo wako wa kufikilia ulipoishia.
Mbona makasiriko,au kipigo anachopokea super pawer wa mchongo kimekuchanganya[emoji2957][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom