kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
Vunjo umekuja na id yako nyingineHali ni tete kwa Ukrusi
Wakati vikosi vya Urusi vinakimbia ,Majeshi ya Ukraine yanalipuwa msafara wa magari yao ya kivita[emoji848]
....
Vunjo umekuja na id yako nyingineHali ni tete kwa Ukrusi
Wakati vikosi vya Urusi vinakimbia ,Majeshi ya Ukraine yanalipuwa msafara wa magari yao ya kivita[emoji848]
....
Ukraine aliwakaribisha waharibifu wa uhai nchini mwake. Waharibifu hao wakawa wanafanya majaribio ya kuua raia wa Ukraine wenye asili ya Russia katika maabara za kibaiolojia karibu kumi na moja zilikuwa kuwa zimejengwa kwenye maeneo yenye raia wengi wa asili ya Russia.Teh teh teh 😂😂 propaganda tu hizi, angekua analinda huo ubinadamu asingeivamia Ukraine.
Mbolea ya kutoshaaaaWanajeshi wa supapawa wanazikwa kiholela pembezoni mwa barabara
Huu uongo hata Warusi wenyewe hawauamini.Ukraine aliwakaribisha waharibifu wa uhai nchini mwake. Waharibifu hao wakawa wanafanya majaribio ya kuua raia wa Ukraine wenye asili ya Russia katika maabara za kibaiolojia karibu kumi na moja zilikuwa kuwa zimejengwa kwenye maeneo yenye raia wengi wa asili ya Russia.
Waharibifu hawa wa uhai(US, German na wenzao) hawakuwa na simile. Kwa taarifa zilizopo ni kuwa walifanya majaribio Hata kwa askari wa Ukraine. Hawakuishia hapo, inasemwa pia walipandikiza vimelea vya magonjwa likiwemo gojwa la korona kwenye mijusi, ndege ambao uhama kutoka Ukraine kwenda Russia kutokana na mabadiliko ya Hali ya hewa na msimu. Lengo la waharibifu ni kuua Kizazi cha Russia.
Kwa sababu hizi, Russia angejizuia vipi kutekeleza agizo takatifu la kulinda uhai kwa kwenda kufanya operation ya demilitarization and denazification ndani ya Ukraine??
Hayo ndo mafanikio pekee waliyobaki nayo mkuu, usishangae sana[emoji16]Yaani hii vita imewashinda mpaka kmumehamia kwenye kujadili maji, supapawa alitaka kuparamia Kyev kwa siku tano.
Kama nawaona mumekaa misikitini mkishabikia jinsi supapawa wenu anatesa wananchi kwa kupiga maji mabomu.
ProRussia wana akili za kiduanzi sana🤔Huu uongo hata Warusi wenyewe hawauamini.
Duh! Wanafukiwa kama nzige [emoji848]Wanajeshi wa Putin wazikwa kwenye makaburi ya halaika huko Luhansk[emoji848]
.........
Wanajeshi wa supapawa wanazikwa kiholela pembezoni mwa barabara
Wanajeshi wenyewe wameanza kuwakataaIla Wacommunisti na wajamaa hawathani kabisa uhai wa askari wao......wapo tayari kuwatoa kafara kutimiza azma ya kiongozi mmoja tu.
Niliwahi kusema humu kwamba Ukraine itakua ni Russia's Vietnam.Ila Wacommunisti na wajamaa hawathani kabisa uhai wa askari wao......wapo tayari kuwatoa kafara kutimiza azma ya kiongozi mmoja tu.
Ukitaka kuruka agana na nyonga....ukitaka kumpinga Putin jiandae la sivyo......Nchi za magharibi kuna raia hawaitaki hii vita. Hawataki hata misaada ya silaha ipelekwe Ukraine na wanatoka barabarani kupinga.
Kwann hatusikii sana raia wa Urusi wakimpinga putin kwa maandamano? Raia wote wameelewa maamuzi ya serikali ya Putin?
Okey, Kwa kawaida katika nchi yenye uhuru wa mawazo haiwezekani raia wote wakaafikiana na maamuzi ya jambo kubwa kama hili. Lazima kuna ambao wangesema hapana sababu wanaopigana huko field ni watoto, kaka, ndugu na rafiki zao.Ukitaka kuruka agana na nyonga....ukitaka kumpinga Putin jiandae la sivyo......
Wapo waliojaribu kumpinga Putin mwanzoni mwa Vita Ila kwa Sasa wamenyamazishwa.
Warusi wanaamini kwa sababu ni facts....na ndiyo maana wamechukua silahaHuu uongo hata Warusi wenyewe hawauamini.
Hoja hafifuRussia kununua silaha nje haionyeshi kwamba kuna tatizo, nikukumbushe US alienda kununua air defense system NASAMS kutoka Norway na kuzipeleka Ukraine. Kwa nini US anatengeneza PATRIOT na THAAD air defense system alafu hazipeleki Ukraine ila anaenda Norway kununua NASAMS ndio azipeleke Ukraine??
US kwenda kununua silaha nchi nyingine za kupeleka Ukraine wakati ana viwanda vyake vinatengeneza haimaamishi kwamba kwenye viwanda vyake vya kutengeneza air defense system kama MIM Patriot au THAAD kuna tatizo, wenye kujua mambo yao ya kivita watakua wanajua kwa nini anafanya hivyo.
Russia anatengeneza drones zake ila alienda Iran kuchukua shahed 136 drones, ulijiuliza pia ni kwa nini?
Na ni uongo kusema silaha zote za North Korea zinakua na hitilafu, ukifuatilia majaribio ya silaha ya North Korea mengi yanafanikiwa, zilizotesiwa juzi zote hakuna ripoti inayoonyesha zimefeli.
Hitilafu kwenye majaribio ya silaha ni kawaida sana hata US kafeli mara nyingi kwenye hypersonic missiles.View attachment 2408824View attachment 2408825View attachment 2408828