Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky kaleta tabu wa raia wake.

Yote hio eti kisa kujiunga NATO [emoji1]

Sababu ya kijinga sana imetumbikiza nchi kwenye matatizo makubwa sana.

Kwani wangebaki kama walivyo kungetokea Nini!

Haya wananchi yukreni wanaishi kama panya.
 
6 Nov, 2022 07:24

US ‘privately’ urging Ukraine to negotiate – WaPo

Pressure is intended to alleviate foreign backers’ concerns about a long conflict, sources say

Head of Ukrainain President Vladimir Zelensky’s office Andrey Yermak holding talks with US national security advisor Jake Sullivan in Kiev. [emoji2398] Office of the President of Ukraine

The White House is privately asking top Ukrainian officials to show openness to peace talks with Russia, the Washington Post reported on Saturday.

Kiev’s public refusal to negotiate with Moscow unless President Vladimir Putin is removed from power in Russia must be abandoned, people familiar with the discussions told the paper.

However, the encouragement isn’t aimed at pushing Ukraine to engage in actual peace talks with Moscow to put an end to the fighting, which has been underway since late February, the sources pointed out.

The move is more of a “calculated attempt” to make sure Vladimir Zelensky’s government retains the support of foreign nations in which the public have become increasingly concerned about the prospect of the conflict continuing for years, they explained.

“Ukraine fatigue is a real thing for some of our partners,” an unnamed US official told the WaPo.

Last month, Zelensky signed a decree, which officially made it “impossible” for him to hold talks with his Russian counterpart Vladimir Putin.

The move followed the incorporation of the People’s Republics of Donetsk and Lugansk, as well as Kherson and Zaporozhye Regions, into the Russian state as a result of referendums held in those territories.

Russia, which has repeatedly invited Ukrainian authorities to come to the negotiating table in recent months, has blamed Kiev for undermining any potential for a peaceful settlement of the crisis.

“How can we discuss any possible agreements when there’s no willingness to even talk to us from the other side?” Putin said on Monday. “So, we’ll wait. Maybe the necessary conditions will come about.”

READ MORE: African leader delivers 'message' from Putin to Zelensky

Kremlin Press Secretary Dmitry Peskov suggested last week that the negotiations should also include the US. Any peace deal with Kiev would have little credibility because it could be instantly rescinded by Ukraine’s backers in the West, he said. “The deciding vote rests with Washington,” Peskov insisted.
Jamani bhas msomage vizuri hizi taarifa mnazoleta

The White House is privately asking top Ukrainian officials to show openness to peace talks with Russia, the Washington Post reported on Saturday.

Kiev’s public refusal to negotiate with Moscow unless President Vladimir Putin is removed from power in Russia must be abandoned, people familiar with the discussions told the paper.

However, the encouragement isn’t aimed at pushing Ukraine to engage in actual peace talks with Moscow to put an end to the fighting, which has been underway since late February, the sources pointed out.

The move is more of a “calculated attempt” to make sure Vladimir Zelensky’s government retains the support of foreign nations in which the public have become increasingly concerned about the prospect of the conflict continuing for years, they explained.
 
Frontline ipi?

Maana tangu inaongelewa hiyo frontie wangekuwa washafika Moscow.

Kremlin wamemuhold Bwa Mdogo Kherson wakimpa matumaini ya kushinda offensive miez 2 sasa. Halafu yeye anaididimiza Kiev katika shimo la matatizo na taabu.
Leo wamelambishwa mchanga vijana wa mobilization zaidi ya 500 kwa mpigo..,wewe endelea kujiliwaza [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zelensky kaleta tabu wa raia wake.

Yote hio eti kisa kujiunga NATO [emoji1]

Sababu ya kijinga sana imetumbikiza nchi kwenye matatizo makubwa sana.

Kwani wangebaki kama walivyo kungetokea Nini!

Haya wananchi yukreni wanaishi kama panya.
Wanaishi kama panya na wamelidhika na rais wao..,kulinda uhuru Kuna ghalama yake..,hata wakirudi zama za mawe, lakini Cha msingi ni kumfurusha fashisti,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uwanja wa vita ndo wapi kwani?…

Siku hizi ni Machine wars, siyo kama kule vita vya Kagera mzee..
Wenzio wanauwawa kama kumbikumbi wewe umeklalia propaganda mfu huku..,shauri yako.., nadhani urusi atakuja kushtukia idadi ya wanawake wajane watakapokuwa wengi..,pengine hapo atachukua hatua na kukimbia huko Ukraine mithiri ya mbwa mwizi [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mpango wa dharura wa jiji unatarajia kuhamishwa kwa karibu wakaazi milioni tatu waliosalia, kulingana na gazeti hilo.

Mamlaka katika mji mkuu wa Ukraine, kyiv, inaripotiwa kufanya kazi katika mpango wa dharura ambao unatarajia kuhamishwa kwa takriban milioni tatu ya wakaazi wake waliosalia, ikiwa usambazaji wa umeme utakatika kabisa, gazeti la New York Times limedai.

Makala iliyochapishwa Jumamosi ilimnukuu Roman Tkachuk, mkurugenzi wa usalama wa serikali ya manispaa ya Kyiv, akionya kwamba jiji "linaweza kupoteza mfumo wetu wote wa umeme," ikiwa Urusi itaendelea kugonga miundombinu ya nishati ya Ukraine.

Kulingana na ripoti hiyo, mamlaka ya Kyiv inatarajia kwamba, hali ikiwa mbaya zaidi itafika, watakuwa na taarifa ya angalau saa 12 kabla ya gridi ya taifa kuporomoka kabisa. Tkachuk alieleza kwamba ikiwa kuna dalili za kutofaulu , "tutaanza kuwajulisha watu na kuwaomba waondoke."

Iwapo mji mkuu wa Ukraine utakabiliwa na kukatika kwa umeme, pia hakutakuwa na usambazaji wa maji, na mifumo ya maji taka itasimama pia ,afisa huyo alionya. Hata hivyo, hali kwa sasa imedhibitiwa, na hakuna msafara wa wakaazi wa jiji hilo kuhama.

Wakati majira ya baridi kali yanapokaribia, mamlaka ya Kyiv inatayarisha baadhi ya makazi 1,000 ya kupasha joto ambayo yanaweza kuwa maradufu kama mashambulizi ya Urusi yakiongezeka.

Katika jitihada za kukabiliana na upungufu wa umeme, shirika la nishati la kitaifa la Ukraine limekuwa likiweka mgao wa umeme katika mikoa kadhaa, ikiwa ni pamoja na mji mkuu, katika wiki kadhaa zilizopita.

Katika taarifa yake Jumamosi, Ukrenergo alieleza kuwa hatua hizo zilihitajika ili "kuhakikisha uwiano endelevu wa mfumo wa umeme na kuepuka ajali zinazorudiwa" zinazoathiri gridi ya taifa ya umeme.

Mapema Oktoba, Moscow ilirusha makombora makubwa ya masafa marefu na mashambulio ya 'kamikaze drone' dhidi ya jeshi la Ukraine, nishati na vifaa vya mawasiliano. Hilo lilifuatia kile Rais wa Urusi Vladimir Putin alichokiita mfululizo wa "mashambulizi ya kigaidi" yaliyopangwa na Kyiv katika ardhi ya Urusi, ikiwa ni pamoja na mlipuko wa lori ambalo liliharibu Daraja la Crimea, kiungo cha kimkakati cha kuunganisha peninsula na bara. Mbinu hizo, Putin alisema, zilileta tishio kwa Urusi na haziwezi kuachwa bila majibu.

Kulingana na mamlaka ya Kiukreni, kiasi cha 40% ya miundombinu ya nishati ya nchi imeharibiwa au kuharibiwa kama matokeo.

NB:
Tuwe waKweli Hali huko Ukraine Si nzuri!
Huyo rais wao mchekeshaji na mjinga atafanya nchi hiyo kurejea enzi ya ujima. Hajui kama anatumika tu na nchi za magharibi eti kuidhoofisha urusi na wala nchi hizo hasa marekani na uingereza hawajali mstakabali wa ukraine. Mwisho wake ukraine watashindwa vita na nchi yao kiuchumi kushuka kabisa na urusi ikibakia imara kabisa kiuchumi.
 
We nawe ujaribu kujiongeza basi yan wewe unafikir vifaru vyote mnapeleka front line ,lazima vibak vya akiba kulinda miji mingine ,kwa hiyo russia aliposafirisha vifaru toka belaruz ni kuwa kaishiwa vifaru?au russia kapeleka vifaru vyote 13000 front line ?utumie maarifa saa nyingine
Jibu hoja, unafikiri vifaru 90 vitabadilisha upepo wa vita?
 
Huyo rais wao mchekeshaji na mjinga atafanya nchi hiyo kurejea enzi ya ujima. Hajui kama anatumika tu na nchi za magharibi eti kuidhoofisha urusi na wala nchi hizo hasa marekani na uingereza hawajali mstakabali wa ukraine. Mwisho wake ukraine watashindwa vita na nchi yao kiuchumi kushuka kabisa na urusi ikibakia imara kabisa kiuchumi.
Hata wakirejea zama za mawe ni maamuzi Yao,hawako tayari kumkaribisha dikiteta katika mipaka ya nchi Yao,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, unataka kunambia maduro ni mjinga kwa kile alichokiongea cndio ety propaganda, bado inaonekana jinsi gany ulivyomweupe. Usichokijua nikwamba hugo chaves alijua kabisa lazma atakuja kuawa, na mauaji yake hayakuwa kwa bahati mbaya hata kidogo, kwasababu ulikua ni mpango wa marekani kupitia (CIA) kuwaua wanamapinduzi na wapigania uhuru duniani.

Nisiende mbali sana mfano ni kupitia lijasusi la marekani bill oxley aliyekiri kuhusika moja kwa moja na kifo cha marehemu Bob Marley, ambapo alimpa Bob Marley viatu aina ya raba kama zawadi, ambapo ndani yake kulikuwa na sindano ndogo sana yenye ncha kali ikiwa na vimelea vya ugonjwa wa kansa ambao ulipelekea kifo cha Bob Marley.

Usichokijua nikwamba CIA wanamiliki maabara nyingi sana za siri duniani ambazo wanatengeneza dangerous microbes kwa mashambulizi ya kijasusi ikiwemo assasination kwa watu na viongozi mbali mbali duniani wanaoweka obstacles kwenye interests za USA, wew hujiulizi ile maabara ya siri ya marekani iliyokua Ukraine, unadhani ilikua kwa bahati mbaya.

Au unadhani raisi wa urusi (Putin) na majasusi wake wa FSB walikua wajinga kupambana haraka na kitisho hicho kilichokua mbele yao tena cha hatari kwa raia wake na taifa kiujumla.

Kama unasubiria evidence yakuwa cia ndio waliomua basi hunatofauti na ambaye anakataa wanasayansi wa nuclear wa irani kuawa na mossad lengo akidhani kwamba ushahidi mpaka wakili hadharani kuwa wanahusika na mauaji hayo. Hivyo jitahidi sana mkuu kukonect doti nasio kusubiria kuletewa ushahidi, sababu siku zote penye ukweli uongo hujitenga.
Mkuu hapo juu hujaleta chochote kuhusu CIA kumwua Chavez. Unituambia kuhusu CIA kuwa na "microbes" ilhali hujui virusi ni kitu kingine? Basi naona tumalize topic hii, tutapoteza wakati tu. Asante.
 
Jamani bhas msomage vizuri hizi taarifa mnazoleta

The White House is privately asking top Ukrainian officials to show openness to peace talks with Russia, the Washington Post reported on Saturday.

Kiev’s public refusal to negotiate with Moscow unless President Vladimir Putin is removed from power in Russia must be abandoned, people familiar with the discussions told the paper.

However, the encouragement isn’t aimed at pushing Ukraine to engage in actual peace talks with Moscow to put an end to the fighting, which has been underway since late February, the sources pointed out.

The move is more of a “calculated attempt” to make sure Vladimir Zelensky’s government retains the support of foreign nations in which the public have become increasingly concerned about the prospect of the conflict continuing for years, they explained.
Tusome vizuri ili iweje???!!!
 
Silaha zinaishaga mkuu haiitaji kwenda shule kuhusu hili ,ukwel ni kuwa Russia kaishiwa silaha.
Weng tukisema kaishiwa huwa mnafikir labda hana kabisa .
Wenzetu stock zao za silaha wameweka vipimo ambavyo kama silaha flan zikitumika had kufikia levo flan basi inahitajika ziagizwe nyingine maana zilizobak hazitokag hizo ni kwa ajili ya ulinzi wa ndani.
Hivyo Kitendo cha Russia kuagiza silaha nje wajuz wa vita tumeshajua kaishiwa silaha .
Wewe mtarimbo jaribu kutumia akili kidogo tu ndugu yangu. Kwamba russia kwa sasa silaha zimeisha sababu zimetumika kwenye hii SMO? Huwa mnafikiri kwa akili za aina gani?

Yaani nchi yenye wanajeshi zaidi ya milioni mbili iishiwe silaha. Wakati idadi kamili ya jeshi lililotumwa kwenda kwenye hii SMO ilikuwa ni 150k tu.

Russia kupokea silaha kutoka Iran na Korea hakumaanishi kwamba wameishiwa silaha. Ni sehemu tu ya makubaliano kati ya hizo nchi. Makubaliano ambayo mimi na wewe hatuyajui.
Kingine, nina uhakika wa % nyingi kwamba uwezo wa kutengeneza silaha wa Iran na korea unachangiwa kwa kiasi kikubwa na wataalamu toka Russia. Wengi wa wataalaam wa silaha wa korea na Iran wamepata elimu na utaalam toka russia. Hilo halihitaji kuwa na PhD kulitambua.

Russia ana silaha na jeshi lakutosha kupambana kivita na nchi yoyote ile ya magharibi pamoja na muungano wao wa NATO.
 
Sijamaanisha kaishiwa kabisa soma vizur utanielewa kiongoz
 
Back
Top Bottom