Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Breaking News [emoji95]

China remains an important economic partner of the EU and plays a key role in supply chains, EU depends on Beijing for energy EVEN MORE than on Russia - EU Foreign Policy Chief Borrell.

[emoji2772]Huh kama tunakutaka hiviii... Kama hatukutaki hiviii...

Yes we call it Geopolitics!
 
Breaking News [emoji95]

IMG_20221107_175557_124.jpg

Russian Defense Ministry says new nuclear submarine Generalissimus Suvorov has successfully completed ALL stages of testing.
 
Lockheed Martin received $581.2 million to produce Trident II D5 ballistic missiles for nuclear warheads

The Trident II D5 is a fourth-generation three-stage missile developed at the end of the 20th century. It is considered one of the best nuclear missiles in the world, designed to be launched from nuclear-powered submarines like the USS Rhode Island, which recently arrived in the Mediterranean Sea.

As of 2018, more than half of the United States' nuclear arsenal and all of Britain's nuclear warheads were deployed on the Trident II D5. The ballistic missile carriers are Ohio-class submarines in the United States and Vanguard in Great Britain.
 
Huyo poroshenko aliingiaje madarakani ndo ujiulize.

Anyway wewe unataka tu ubishi na unakataa facts.

Tukubali kutokukubaliana
nlipoona unasema Urusi nzima itakuwa imezungukwa na NATO nkasema humu hamna akili baba , yaan.hujui hata mipaka ya Urusi na Wap NATO inaishia , halaf upo hum kukaza fuvu kuongea ujinga eti Ukraine yalifanyika mapinduz , hata kama yalifanyika mapinduza yanamuhusu nn Urusi , mbona Ukraine hajajihusisha na mauaji ya wapinzan huko Urusi ? Nenda ka update akil yako bdo ndog sana , unacholishwa unakuja nacho bila kupembua kwa akili yako
 
Shida ya mrusi kuwa karibu na NATO ni ya mda mrefu sana

Ukumbuke Urusi wana mlengo wa ujamaa na huku NATO ni ubepari.

Hii milengo haiwezi kupatana hata siku moja.

Ndo maana baada ya vita ya pili ya dunia kulikua na COLD WAR.

Ndo maana NATO wanamkaribia Urusi na Urusi hataki kuwa karibu nao.

Ukifatilia historia utajua zaidi

Mfano miaka ya 1960's Urusi alitaka kuungana na Cuba aliye karibu na USA. Na kama wangeungana basi angeweka mitambo yake ya mabomu Cuba kama vile ambavyo NATO hufanya baada ya kuwa nchi ni mshirika.


Marekani waliwehuka na kuwa vichaa. Ilikua ni mgogoro mkubwa sana


Jiulize kwa nini Marekani hakutaka Cuba ajiunge na Urusi ndipo utakapojua kwa nini Urusi kafanya aliyofanya iwe sawa au isiwe sawa hizo ndo facts ukizikataa ni kwa hasara yako mwenyewe
baba Huna akili , Swala la Urusi kutotaka kuwa krb na NATO inabid awe anaishi na majiran vzr sio kulia kulia hlf anawavamia majiran na kupora ardhi zao wkt anajua mlango wa pili yupo adui yake , unaponivamia na sina uwezo wa kukukabili unategemea nn , acheni uchizy tumieni akili zenu vzr sio kushabikia bila reasoning
 
Washajua kushindana na urusi hawawezi, mwanzo walisema hakuna mazungumzo mpaka urusi itoke kwenye maeneo aliyoyachuchukua Kwa nguvu lakini Leo wanasema wanamuachia Ukraine achague mwenyewe, hii kauli ingesemwa toka mwanzo Ukraine asingepigana Vita,

Ila urusi ina matakwa yake kwamba maongezi yote yasihusishe maeneo mapya yaliyojiunga na Russia
Mkuu unaishi dunia gani??? "Ukraine asingepigana Vita" ????? Urusi ilianza kushambulia mji mkuu, walishindwa wakapaswa kurudi (baada ya kuacha milima ya maiti za watu raia) - kwa nini Ukraine isingejitetea???
 
Kuna msemo unasema "The more monstrously you lie, the sooner you will be believed"

Hapa kuna interesting case is being played out hivi sasa right with Twitter na kile they so called freedom of speech.

One of Musk's first decisions baada ya kununua the social network (Twitter) ilikuwa ni kufukuza wengi katika wafanyakazi ambao wako responsible for censorship. Obviously hii ni positive direction for establishing true freedom of speech, even if it does not suit someone.

Lakini hali ilivyo [emoji1787]
[emoji95] Dementia Biden personally declares Twitter "a tool that spews lies"... Duh!

[emoji736]UN High Commissioner for Human Rights nao pia hawapo nyuma Urges Musk to Ensure Human Rights Are Central to Twitter... (Hapa ukipanua jicho zaidi unaona how UN inavyotumika na United Shit State kutimiza agenda zake).

Propaganda mouthpieces like Liberation nao wakaandika ati Musk is ruining the democratic forum of opinion.

Having no real reasons for criticism, Musk is accused of attacking freedom of speech!

Sasa hapa ni freedom of speech au speech that suit their agenda [emoji3525]!

Hii inatukumbusha situation with the ZNPP - Zaporozhye Nuclear Power Plant: everyone knows who controls it ambae ni Russian Federation, but they demand that the Russian Federation stop shelling it.

A world where "common sense" is termed kama "threats to freedom of speech" na fact checking is solely under politicians... Everything is being f**ed up!
 
Weka Iraq,Libya,Vietnam na Afgahanistan bhana.

Usiweke vilainishi
ndo ujiulize kwann Urusi haez pata ushawish bila mtutu ila wenzake hawatumii mtuu , swala la LIBYA ni vichaa tu ndo mtawalaumu wazungu wkt nyiny waafrika wenzake mlikuwa kimya na kibaya mlifurahia anguko tena hasa hao majiran zake , pia Iraq waasia walikwua kimya wote ina maana hayo mataifa yote yameangushwa na dunia nzima maana mliwaacha pekee na mnataka na Ukraine pia tuwaache pekee yao nyiny ni viumbe gan hamuwez ku evolve , hata zinjanthropus ali evolve , kila siku mnataka tubakie na kasoro zile zile tukiwaita MASOKWEHH tutakuwa tumekosea ?
 
Unajua Vizuri kuhusu Minsk agreement??
Sasa nan aliivunja kama sio Urusi mwaka 2014 baada ya kuivamia na kupora Crimea , nyiny watu kichwan ni sifur hamna tofaut na mazombie mkilishwa matango hamumeng'enyi na akili zenu kubeba tu kama ilivyo
 
baba Huna akili , Swala la Urusi kutotaka kuwa krb na NATO inabid awe anaishi na majiran vzr sio kulia kulia hlf anawavamia majiran na kupora ardhi zao wkt anajua mlango wa pili yupo adui yake , unaponivamia na sina uwezo wa kukukabili unategemea nn , acheni uchizy tumieni akili zenu vzr sio kushabikia bila reasoning

And those who were seen dancing were thought to be insane by those who could not hear the music.

Friedrich Nietzsche
 
Ukitaka kujua kwa nini anaogopa, Kasome “Cuban missile crisis” .. ambapo Cuba ilimualika Russia na Silaha zake. USA hakukubali na Ali kosa Amani kabisa. Mpaka wakaingia kwenye mgogoro
Je USA aliivamia Cuba ? kama anavyofanya URUSI pili hiyo haimpi Urusi kuvamia Ukraine , maana Urusi kaanza kuwaonea majirani zake tangu zaman sana hata kabla ya uwepo wa NATO , mwaka 1940 Stalin anafanya mauaj ya kimbari huko Ukraine , tuambie na hii pia ilikuwa kujibu alichofanya USA huko CUBA au libya au Iraq , Somalia ? tunakemea sio kwavile tunaunga mkono uchafu ww west bali tunakemea sabab hii tabia inazid kukuaa kesho China nae atafanya hv hv atadai mbona Urusi mliwaacha wavamie Ukraine
 
Mbona Amerika iliogopa wakati Cuba ilipokuwa karibu na Russia na Russia kuweka makombora yake ya nuclear?
Unadhani ni kwa nini?

Vipi kama Russia akiweka makombora yake ya nuclear Mexico unadhani Amerika itakuwa tayari kuvumilia hilo?
hii inampaj Urusi uhalali wa kuvamia Ukraine ? mnakosea kisa USA ilikosea ,USA ndo kipimo cha makosa , taifa lisilojitambua kama hili lisilotambua mazur na mabaya mpk USA wafanye , taifa la hv linaeza kuwa SUPERPOWER ? au ndo kutaka kuvaaa boxa ya Big Ross kwny mwil wa Dr Shika
 
Wanajizima data vijana wa Hollywood. Kila Superpower anaogopa Preemptive strike inayotokea jirani Kwani Response time inakuwa ndogo sana.

Imagine Russia akaweke Nukes zake Mexico zielekee USA.

Hawatalala waaHollywood yaan
Anashindwa nn kupeleka kama aneza wavamia majiran bila sabab na anategema majiran wabakie Neutral , uzombie wenu huu upo muda mtakuja jicheka wenyew
 
Mtu yoyote anayekejeli wengine ana asili ya dharau na hasira zisizo za msingi.

Ndugu embu toa maoni yako kuhusu mgogoro wa makombora wa Cuba miaka ya 1960's ambayo USA hakutaka Mrusi awe karibu yake

Kama Cuba alitaka kujilinda na kuamua kushirikiana na Urusi kwa nini hakuachwa afanye anavitaka na Marekani walipinga vikali.


Hawa Capitalists na Communist ni maadui wa milele hawawezi kuwa majirani

Ndo maana urusi haez kukubali nato wawe mlangoni mwake maana wale ni wazee wakuchukua nchi za watu

Ndo maana unaona hao West Europe walizunguka dunia nzima kunyanganya ardhi...Africa ikigawanywa kwa hao NATO huku USA wakija kuchukua watumwa kwenda kutumika huko America

Hawa wa ulaya wametawala kwa mabavu dunia nzima na Urusi hataki hayo yamfikie


Vita zote za dunia zimeanzishwa na NATO na Marekani huwa anakuja kumalizia kazi.


Hawa NATO asili yao ni uhaini na ufisadi huwa ni kweli wanatumia uongo na hadaa kutawala wengine

Ndo maana waliwapa waafrika pombe na nguo ili wasaini mikataba kuwa makoloni yao

Na ndo wanatumia hio mikataba kuungana na hizo nchi ndogo za ulaya huku wakimfata mrusi.


MRUSI anaeza kuwa kakosea

Ila unapodili na watu wa aina hio sidhani kama alikua na option ingine

Watapigana ila mwishoni wote watapata hasara.

THERE IS NO ONE WHO IS RIGHT IN A WAR ONLY WHO IS LEFT!!!
NARUDIA TENA BABA ZIFUATE AKILI ULIPOACHA , niambie Mwaka 2014 baada ya Urusi Kupora Crimea taifa gan lilikuwa limepanga kupeleka nyuklia Ukraine na taifa lipi lilikuwa kwenye misuguano na Urusi , au mwaka 2008 Urusi alipoivamia Georgia na kupora jimbo moja , je ni taifa gan la magharibi lilikuwa lina mgogoro na Urusi ? Tuliupinga ukaburu wa SA leo hii waafrika mnautetea ukaburu wa Urusi dhidi ya majirani zake , Urusi ndo taifa pekee lenye makoloni ndan ya Ulaya mpk sasa hv hlf nyiny wahanga wa ukolon leo hii mnashabikia taifa la hv , TUKIWAITA MAZOMBIE MNATUKANA WKT NDO AKILI ZENU ZIPO IVO , MAKOSA YA MAGHARIBI SIO KIPIMO CHA KUSEMA LIPI TUFANYE NA LIPI TUSIFANYE , NI UKICHAA KUUA SABABU MAGHARIBI WALIUA PIA
 
Developing [emoji95]

[emoji630] Now BRICS unites Brazil, Russia, India, China and South Africa. A number of other countries want to join the economic bloc, including Argentina and Iran.

The Chinese Foreign Ministry said that several more countries are "knocking on the door" of the BRICS - these are Indonesia, Turkey, Saudi Arabia and Egypt.

The bloc of leading developing countries continues to expand its economic and political influence.
 
Wenye kibaraka wao wameanza kumchoka...

View attachment 2409515
Wananchi wameshachoshwa wameona vikwazo vimesababisha maisha magumu, wamekua wanashinikiza serikali zao kuachana na ufadhili wa vita Ukraine.

Ndio maana recently US walianza kushauri Ukraine kuangalia mazungumzo na Putin.
20221107_171636.jpg
20221107_171654.jpg
20221107_195726.jpg
 
Back
Top Bottom