Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Wewe hizo habari za mapinduzi ya "kimyakimya" ulizipata chanzo kipi cha taarifa? Leta hapa tuzione!
Inaonekana najadili na mtu ambaye hata hana taarifa sahihi kuhusu hiyo Ukraine anayoisema. Unafahamu urais wa Zelenskyy ulianza lini au mwaka gani?
Yaani, hujui hata aliyemtangulia Zelenskyy kwenye urais wa Ukraine alikuwa nani!
Unaniambia mimi nifuatilie taarifa wakati wewe mwenyewe umemkariri Yanukovych huku hujui kwamba kuna mtu anaitwa Petro Poroshenko ambaye alikuwa rais wa Ukraine kuanzia 2014 hadi 2019?
Narudia:
Sisi wengine tulioko nje ya vita ukiwemo wewe, unaweza kuwa na uchungu na Ukraine kuliko wananchi wenyewe wa Ukraine waliomchagua huyo Zelenskyy kuwa rais wao?
Yeah.Mrussi anaonesha wazi kwamba anaogopa kuwa karibu na NATO/USA. Cjui ana shida gani. Sasa akafikia extent ya kuawalazimisha wenzake majirani kwa nguvu (watake-wasitake)wawe kama yeye. Hapo ndio watu wamesema ni Ubeberu. Yan Mrussi angelikaa kwake ila kwa hofu zake angehakikisha anajilinda kwa hali na mali kama Nungunungu na sio kuwalazimisha wenzake eti ni lipi la kufanya. Kam wana-opt kujiunga NATO yeye awaache ila aimarishe ulinzi wake kama anadhani NATO/USA wanamtaka au anawasiwasi na Usalama wake. Lakini hili la kuvamia ndilo limewahalalishia NATO/USA kujisogeza waziwazi kwake na kweli watamnyamazisha sio muda mrefu. Hiyo nguvu waliyokuja nayo hawatampa nafasi atumie nuklia zake hata kama anazo. Ni kama una gobore halafu adui amekufikia na amekusonga shingo/amekutia kabali. Unadhani utalitumiaje hilo gobore lako ukizingatia urefu/saizi yake? Hapo ndipo Mrussi alipofikia na nuklia zake.
Narudia tena kwafaida ile sio habari mdahalo hauhaririwi wala hawaaambiwi kipi chakutangaza kasikilize ukipata mudaKama ni Propaganda kuna haja gani kusikiliza sasa?!
Russia alishindwa kuilinda Soviet isianguke,Leo hii ayaweze ya mbali huko uingereza?
Masihara haya![]()
![]()
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile ap
akil zako matope , toa mifano relevant , urusi anaiforce Ukraine kwa mtutu ila spain au Uk hawaziforce Catalunya na Scotland kwa mtutu bali diplomacy tu , najiuliza kama Urusi angetawala mpk sasa angekuwa anatawala bado maana wao bila kudundwa kisawasawa hawakubalian na mamb nje ya tamaa zao
Vichaa ni weng sn , Urusi haez jipenyeza kwenda west bila mtutu ila NATO wanaeza jipenyeza kweny east bila mtu , na mtu anasema Urusi anaonewa , Majibu mengine ni mepesi Urusi aache kuwaona majiran zake km makolon yake mbali na hapo hatutaki kelele awaache wajiunge NATO kutafuta ulinz wao , Huez mpora mtu jimbo hlf abakie neutral kisa anapenda kuendelea kuvamiwa ? Mwenzie China kajifunza tyr
Yeah.Mrussi anaonesha wazi kwamba anaogopa kuwa karibu na NATO/USA. Cjui ana shida gani. Sasa akafikia extent ya kuawalazimisha wenzake majirani kwa nguvu (watake-wasitake)wawe kama yeye. Hapo ndio watu wamesema ni Ubeberu. Yan Mrussi angelikaa kwake ila kwa hofu zake angehakikisha anajilinda kwa hali na mali kama Nungunungu na sio kuwalazimisha wenzake eti ni lipi la kufanya. Kam wana-opt kujiunga NATO yeye awaache ila aimarishe ulinzi wake kama anadhani NATO/USA wanamtaka au anawasiwasi na Usalama wake. Lakini hili la kuvamia ndilo limewahalalishia NATO/USA kujisogeza waziwazi kwake na kweli watamnyamazisha sio muda mrefu. Hiyo nguvu waliyokuja nayo hawatampa nafasi atumie nuklia zake hata kama anazo. Ni kama una gobore halafu adui amekufikia na amekusonga shingo/amekutia kabali. Unadhani utalitumiaje hilo gobore lako ukizingatia urefu/saizi yake? Hapo ndipo Mrussi alipofikia na nuklia zake.
Mbona Amerika iliogopa wakati Cuba ilipokuwa karibu na Russia na Russia kuweka makombora yake ya nuclear?Yeah.Mrussi anaonesha wazi kwamba anaogopa kuwa karibu na NATO/USA. Cjui ana shida gani. Sasa akafikia extent ya kuawalazimisha wenzake majirani kwa nguvu (watake-wasitake)wawe kama yeye. Hapo ndio watu wamesema ni Ubeberu. Yan Mrussi angelikaa kwake ila kwa hofu zake angehakikisha anajilinda kwa hali na mali kama Nungunungu na sio kuwalazimisha wenzake eti ni lipi la kufanya. Kam wana-opt kujiunga NATO yeye awaache ila aimarishe ulinzi wake kama anadhani NATO/USA wanamtaka au anawasiwasi na Usalama wake. Lakini hili la kuvamia ndilo limewahalalishia NATO/USA kujisogeza waziwazi kwake na kweli watamnyamazisha sio muda mrefu. Hiyo nguvu waliyokuja nayo hawatampa nafasi atumie nuklia zake hata kama anazo. Ni kama una gobore halafu adui amekufikia na amekusonga shingo/amekutia kabali. Unadhani utalitumiaje hilo gobore lako ukizingatia urefu/saizi yake? Hapo ndipo Mrussi alipofikia na nuklia zake.
Wanajizima data vijana wa Hollywood. Kila Superpower anaogopa Preemptive strike inayotokea jirani Kwani Response time inakuwa ndogo sana.Mfano miaka ya 1960's Urusi alitaka kuungana na Cuba aliye karibu na USA. Na kama wangeungana basi angeweka mitambo yake ya mabomu Cuba kama vile ambavyo NATO hufanya baada ya kuwa nchi ni mshirika.
Vichaa ni weng sn , Urusi haez jipenyeza kwenda west bila mtutu ila NATO wanaeza jipenyeza kweny east bila mtu , na mtu anasema Urusi anaonewa , Majibu mengine ni mepesi Urusi aache kuwaona majiran zake km makolon yake mbali na hapo hatutaki kelele awaache wajiunge NATO kutafuta ulinz wao , Huez mpora mtu jimbo hlf abakie neutral kisa anapenda kuendelea kuvamiwa ? Mwenzie China kajifunza tyr
Yah watu wanakataa facts lakini facts hazidanganyiWanajizima data vijana wa Hollywood. Kila Superpower anaogopa Preemptive strike inayotokea jirani Kwani Response time inakuwa ndogo sana.
Imagine Russia akaweke Nukes zake Mexico zielekee USA.
Hawatalala waaHollywood yaan
Yah watu wanakataa facts lakini facts hazidanganyiWanajizima data vijana wa Hollywood. Kila Superpower anaogopa Preemptive strike inayotokea jirani Kwani Response time inakuwa ndogo sana.
Imagine Russia akaweke Nukes zake Mexico zielekee USA.
Hawatalala waaHollywood yaan
Urusi alilenga ku annex Ukraine moja kwa moja lakini Moto aliokutana nao Kyiv tu iilimlazimisha.atoroke mbio sasa hivi anajihami hateki tena miji mingineUrusi
Binafsi,kwa maoni yangu naona Urusi ikitaka kumaliza tatizo hili la Wamerikani na Waingereza kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi, mchezo huu utaendelezwa indefinitly hivyo ili kumaliza tatizo hilo Warusi wafanye mpangowa kui-annex Ukraine kiujumla, hata kama itawalazimu kupigana na NATO/US moja kwa moja -hawana jinsi.
Kama Urusi angekaa kwake haya yasingetokea.
Wewe utakuwa bado ndotoni na makala uchwara zako ndefu.Niliwahi kusema kwamba Uingereza inajihusisha sana na suala hili la Ukraine, nikaongezea kwa kusema kwamba niwajuavyo Waingereza wataleta maafisa wao wa kikosi chao cha makomandoo wa SAS kufundisha kikosi maalumu cha Ukraine katika masuala ya kufanya hujuma behind enemy lines ie partsians - Waingereza ni mabingwa sana kwenye nyanja hizo, lakini wakumbuke kwamba na Warusi si mchezo watawafatilia nyenendo zao na kuwashugulikia ipasavyo, juzi hapa makao makuu yao nchini Ukraine ilitiwa kiberiti na high precision missile ya Urusi sijui kama kuna mtu aliye nusurika.
Kama vipi na Warusi nao wafanye mpango wa kuwapatia silaha na mafunzo kwa mara nyingine tena wapigania uhuru wa I.R.A ili wafufue harakati zao za miaka ya 1970/80s, na ikiwezekana wawa instigate raia wa Scotland nao wajitenge na England kwa nguvu i.e kwa mtutu wa bunduki, tuonena hilo Serikali ya White Hall watalichukulia vipi?
Binafsi,kwa maoni yangu naona Urusi ikitaka kumaliza tatizo hili la Wamerikani na Waingereza kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi, mchezo huu utaendelezwa indefinitly hivyo ili kumaliza tatizo hilo Warusi wafanye mpangowa kui-annex Ukraine kiujumla, hata kama itawalazimu kupigana na NATO/US moja kwa moja -hawana jinsi.
Ufichuzi huo umekuja baada ya Urusi kuionya London kuhusu kiwango chake cha kuhusika nchini humo
Wanajeshi wa kijasusi wa Uingereza wanaripotiwa kufanya kazi kuunda na kutoa mafunzo kwa kikosi cha siri cha kigaidi nchini Ukraine kilichopewa jukumu la kushambulia maeneo ya Urusi huko Crimea kwa niaba ya serikali ya Kyiv.
Wakifanya kazi kupitia kampuni ya kibinafsi ya huduma za kijasusi ya Uingereza iitwayo Prevail Partners, wahudumu hao walitia saini makubaliano na tawi la Odessa la Idara ya Usalama ya Ukraine (SSU) kujenga kile kinachojulikana kama jeshi la kigaidi la "Partisan", The Grayzone iliripoti Alhamisi, ikinukuu uvujaji. nyaraka zinazoelezea mipango hiyo. Kazi hiyo inafanywa kwa uratibu wa karibu na SSU na ikiwezekana inafadhiliwa angalau kwa kiasi na oligarch wa Kiukreni Andrey Sadovoy, ambaye ni meya wa Lviv na anaongoza kampuni ya vyombo vya habari ya TRK Lux nchini humo.
"Mipango yao ililitaka jeshi la siri kufanya hujuma na operesheni za upelelezi zinazolenga Crimea ... hasa aina ya mashambulizi yaliyoshuhudiwa katika wiki zilizopita," The Grayzone iliandika.
Moscow imeishutumu London kwa kuhusika katika "[mafunzo], maandalizi na [] utekelezaji wa mipango dhidi ya miundombinu ya Urusi na meli za Urusi katika [Bahari] Nyeusi [karibu na Crimea]."
Uingereza pia ilidaiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi la Oktoba 8 ambalo lililenga daraja muhimu kimkakati la Crimea. Maafisa wa ujasusi wa Uingereza waliagiza utafiti mwezi Aprili kuchunguza njia za kulipua daraja hilo, gazeti la The Grayzone liliripoti mwezi uliopita.
Mwezi uliopita pia, Kremlin ilishutumu London kwa kupanga shambulio la kigaidi ambalo liliharibu bomba la Nord Stream 2. Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilijibu kwamba Moscow ilikuwa "ikizusha madai ya uwongo kwa kiwango kikubwa."
Prevail, kampuni ya kijasusi ya kibinafsi, ilianzishwa na maveterani wa vikosi maalum, akiwemo Brigedia Justin Hedges, Chris Donnelly (afisa huyo huyo wa kijasusi wa Jeshi la Uingereza ambaye aliomba uchunguzi wa Daraja la Crimea) alikuwa miongoni mwa watu muhimu ambao walishawishi kwa siri mpango wa kampuni ya Prevail kuanzisha kitengo cha ‘Partisan’ nchini Ukraine, The Grayzone ilisema.
Vikwazo vya awali vilijumuisha vyanzo vya ufadhili wa mpango huo na kusita kwa serikali ya Uingereza kuwaruhusu wakandarasi binafsi kutoa huduma za mafunzo, "labda kwa kuhofia wangekamatwa katika kitendo hicho au hata kufunguliwa mashtaka kwa kujihusisha na shughuli hiyo ya uchochezi," chombo hicho kiliripoti. Baadhi ya watendaji waliibua wasiwasi kwamba Prevail iliweka gharama ya kila mwaka kwa $600,000 kwa kila mpiganaji wa ‘Partisan’ .
Maeneo ya mafunzo yalipangwa nchini Poland na Ugiriki. Hedges alisema kuwa kama ufadhili unahitajika kuwekwa mbali kutoka kwa vyanzo vya serikali, "michango" inaweza kukusanywa kupitia Rhizome Insights Ltd, NGO iliyo mbele kwa ajili ya Prevail. Aliongeza kuwa kampuni hiyo pia ilikuwa katika mazungumzo na ofisi ya Sadovoy kuhusu msaada wa ufadhili.
![]()
Video: Majasusi wa Urusi (FSB) wazuia shambulio la kigaidi la Ukraine nchini Urusi, wamtia nguvuni gaidi na vilipuzi vyake
Majasusi hatari ya kirusi (FSB) yamemnasa gaidi wa Ukraine aliyekuwa akijiandaa kuweka vilipuzi hatari kwenye warehouse ya kampuni ya usafirishaji kwenye jiji la Bryansk, Urusi. Gaidi huyo wa kiume mwenye miaka 50+ aliiingia Urusi akitokea Ukraine kupitia Estonia. Baada ya kuingia Urusi...www.jamiiforums.com
![]()
Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine
Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine Oct 11, 2022 02:27 UTC [https://media] Iwapo Ukraine itapanga mashambulizi zaidi ya kigaidi dhidi ya Russia, kutakuwa na jibu kubwa la kijeshi sawa na lile lililotekelezwa Jumatatu. Onyo hilo limetolewa na Rais wa Vladimir Putin wa Russia ambaye...www.jamiiforums.com
![]()
Majasusi wa Urusi (KGB) wamtambua gaidi No. 2 wa ki-Ukraine aliyehusika kumuua Darya Dugina huko Urusi
Marekani yasema kuwa majasusi wa Urusi (FSB) wamemtambua gaidi No. 2 aliyekuwa kwenye team ya mauaji ya binti mwandishi wa habari wa Urusi Darya Dugina huko Urusi. Gaidi huyo ametajwa kuwa ni Bogdan Tsyganenko, m-Ukraine wa kiume mwenye umri wa miaka 42 ambaye aliingia Urusi kupitia Estonia...www.jamiiforums.com
Kuna mtu anashangaa askari wa urusi kufa mia 2 kila siku. Kwa mtindo huu wataacha kufa kwa idadi hiyo kweli?Mandonga anajitutumua lakini wap
12:03 am
Military: Russian troops tried to break Ukraine’s defense in 4 regions on Nov. 5.
Over 120 Russian troops were killed during the hostilities on this day.
Kwa nini hamtaki kufatilia mambo kwa karibu - hasa hasa maoni ya watu weledi kwenye masuala ya teknolojia ya termonuclear na lightening fast delivery system zake-juzi juzi hapa mwana sayansi mahili na industialist Mr.Elon Musk kawaonya Wamerika wenzake (Rais Biden na jeshi la Merikani) pamoja na watawala wa bara la Ulaya kwamba: Linapo kuja suala la silaha za thermonuclear Urusi ina uwezo mkubwa wa kuichaza Amerika yenyewe pamoja mataifa yote ya Ulaya kwa mpigo - hayo si maneno yangu bali ya mwana sayansi mbobezi na mwelewa mambo kwa kina, si mnafiki, haogopi kulahumiwa na Taifa lake kwamba ni msaliti kwa kusema ukweli, hajipendekezi kwa watawala au majenerali wa jeshi kwa kuwa ana uwezo mkubwa kifedha ndiye anaye ongoza kwa utajiri Duniani - mtu kama huyo anapo ionya Dunia kwamba Merikani na wenzake wasiichezee Urusi, maoni/onyo la Elon Musk linapaswa kuchukuliwa seriously ie anajua sana alisemalo si mtu mbumbumbu kivile.
Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watanzania wenzangu niliwahi kuona wanakuja na hoja za ajabu eti: kwani Elon Musk ana nini cha maana na uelewa gani kumzidi waziri wa ulinzi wa Merikani au Rais Biden kitu wanacho sahau ni kwamba Biden na waziri wa ulizi ni wana siasa tu hawana akili na busara za kumfikia au zidi za Rais Kennedy, na hatujawahi kusikia serikali ya Merikani wala Biden hata Eamerikani wenye akili timamu wakipinga maoni/ushauri ulio tolewa na Elon Musk.
Tunayo yasikia sisi ni waswahili wanao mpuuzia Elon Musk wanasema mtu wa maana ni Rais Biden ambaye anatembea na brief case yenye key code za kufyatua Trident na Minuteman nuclear ICBM kwenda kuifuta kabisa Urusi kutoka kwenye uso wa Dunia,wanayasema hayo as if Elon Musk does not know about capabilities of those very very old ICBMs (1960/70s) - wanajisemea tu, hawana hata habari kwamba Russia ina uwezo wa ku-intercept na ku-destroy completely ICBMs zote ambazo RCS signiture zake ni rahisi kutambuliwa na Russian integrated air defense systems S-550, si ICBMs tu hata hypersonic missiles nazo zinakuwa intercepted - kitu ambacho hata jeshi la Merikani wamekiri kwamba uwezo wa kujikinga dhidi ya hypersonic missiles za Urusi uwezo huo hawana kabisa - sasa sisi watu baki kwa nini hatutaki kukubali ukweli huo -masaa yote ni ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Uncle SAM wakati hata siku moja US uhawajawahi kupigana vita na taifa ambalo lina uwezo mkubwa kijeshi na wakawashinda, tunacho kijua sisi ni wao kuvamia vamia na kupiga mabom military weak nations ie Banana Republics and not a real McCOY!!