Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumbe ndio maana wakaamua kuzuia chakula kisiuzwe ,vikwazo vimeanza kuutafuna uchumi , yan mpaka mwakani mtaimba kila mashairi.

Russia is reportedly asking Western countries to ease sanctions amid talks to extend the Black Sea grain export deal​

Jennifer Sor
Fri, November 4, 2022, 9:35 PM·2 min read
Putin

REUTERS/Maxim Shemetov
  • Russia is reportedly asking the West to exempt a key lender from sanctions, sources told Reuters.
  • But a spokesperson from the European Commission told Reuters that sanctions already allow for the exemptions.
  • The request came during talks to extend a deal that allows exports of Ukrainian gain from the Black Sea.
Russia is reportedly asking Western nations to provide sanctions exemptions for a key lender that can facilitate exports of Russian grain, sources told Reuters.
 

Ukraine to get ‘most advanced tanks on the battlefield’ for counter-offensive against Russia​

Jamie Johnson
Fri, November 4, 2022, 10:55 PM·2 min read
Ukraine is to benefit from some of the best tanks on the battlefield as it embarks on counter-attacks against Kremlin forces - AP Photo/Aleksandr Shulman

Ukraine is to benefit from some of the best tanks on the battlefield as it embarks on counter-attacks against Kremlin forces - AP Photo/Aleksandr Shulman
Ukraine will receive 90 refurbished and upgraded Czech T-72 tanks - labelled by the Pentagon as “the most advanced on the battlefield” - as part of $400 million (£348.15 million) in military aid.
The tanks - half of which are being paid for by the US and half by the Netherlands - will have better engines, thermal sights, improved fire control systems and explosive armour.
The new main battle tanks are expected to be ready for combat within the coming weeks and months.
 
Karata aliyobaki nayo Puttin ni (winter) na uchguzi wa marekani(midtem election).

Kuhusu winter
Hapa kwa upande wa Russia anachotegemea ni kupanda kwagharama za maisha barani ulaya ,hali hii itachangiwa sana na kupanda kwa nishati.Anachotegemea Russia ni kwamba bara la ulaya litaacha au kupunguza kabisa misaada ya kijeshi nchini Ukraine,hali hii itampa nguvu puttin kwa point kubwa.

Kuhusu uchaguzi Marekani
Kwa sasa hivi democratic ina wakati mgumu sana wa kukabiliana na republic ,hali hii inaweza kupelekea republc kuchukua viti ving vya uwakilish, jambo ambalo litaleta ugumu kwenye kupitisha misaada kwenda ukraine ,republic wameweka waz kabisa hawatakua tayar kupitisha military fund kuisaidia Ukraine.hii nayo ni advantage kubwa anayoisubir puttin

Lakini yote hayo tayari Bara la ulaya na Marekani wameshaliona ,kwa upande wao wanafanya kila jitihada ,kuhakikisha wanafungamana na Ukraine kwa hali yoyote ile.G7 na EU tayari wamekwisha pitisha maazimio ya kuisaidia ukraine kwa kipindi cha mwakani ambapo EU imepitisha msaada wa dola bilion 19 za kimarekani kwa ajili ya ukraine 2023.G7 nao wamejikomiti kutoa misaada zaid na kuongeza vikwazo kwa urusi.Marekani ilishaidhinisha zaidi ya dola bilion 40 .
Kwa inavyoonekana karata ya Putini bado ngumu sana ndio maana wachambuzi wa kivita toka Yale University wanadai huwenda Puttin akageukia nyuklia kama mambo yatambana na hayataenda kama alivyotarajia.Maana ni wazi hatokubali kuachia maeneo yote aliyoyateka.
 
Ufichuzi huo umekuja baada ya Urusi kuionya London kuhusu kiwango chake cha kuhusika nchini humo

Wanajeshi wa kijasusi wa Uingereza wanaripotiwa kufanya kazi kuunda na kutoa mafunzo kwa kikosi cha siri cha kigaidi nchini Ukraine kilichopewa jukumu la kushambulia maeneo ya Urusi huko Crimea kwa niaba ya serikali ya Kyiv.

Wakifanya kazi kupitia kampuni ya kibinafsi ya huduma za kijasusi ya Uingereza iitwayo Prevail Partners, wahudumu hao walitia saini makubaliano na tawi la Odessa la Idara ya Usalama ya Ukraine (SSU) kujenga kile kinachojulikana kama jeshi la kigaidi la "Partisan", The Grayzone iliripoti Alhamisi, ikinukuu uvujaji. nyaraka zinazoelezea mipango hiyo. Kazi hiyo inafanywa kwa uratibu wa karibu na SSU na ikiwezekana inafadhiliwa angalau kwa kiasi na oligarch wa Kiukreni Andrey Sadovoy, ambaye ni meya wa Lviv na anaongoza kampuni ya vyombo vya habari ya TRK Lux nchini humo.

"Mipango yao ililitaka jeshi la siri kufanya hujuma na operesheni za upelelezi zinazolenga Crimea ... hasa aina ya mashambulizi yaliyoshuhudiwa katika wiki zilizopita," The Grayzone iliandika.

Moscow imeishutumu London kwa kuhusika katika "[mafunzo], maandalizi na [] utekelezaji wa mipango dhidi ya miundombinu ya Urusi na meli za Urusi katika [Bahari] Nyeusi [karibu na Crimea]."

Uingereza pia ilidaiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi la Oktoba 8 ambalo lililenga daraja muhimu kimkakati la Crimea. Maafisa wa ujasusi wa Uingereza waliagiza utafiti mwezi Aprili kuchunguza njia za kulipua daraja hilo, gazeti la The Grayzone liliripoti mwezi uliopita.

Mwezi uliopita pia, Kremlin ilishutumu London kwa kupanga shambulio la kigaidi ambalo liliharibu bomba la Nord Stream 2. Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilijibu kwamba Moscow ilikuwa "ikizusha madai ya uwongo kwa kiwango kikubwa."

Prevail, kampuni ya kijasusi ya kibinafsi, ilianzishwa na maveterani wa vikosi maalum, akiwemo Brigedia Justin Hedges, Chris Donnelly (afisa huyo huyo wa kijasusi wa Jeshi la Uingereza ambaye aliomba uchunguzi wa Daraja la Crimea) alikuwa miongoni mwa watu muhimu ambao walishawishi kwa siri mpango wa kampuni ya Prevail kuanzisha kitengo cha ‘Partisan’ nchini Ukraine, The Grayzone ilisema.

Vikwazo vya awali vilijumuisha vyanzo vya ufadhili wa mpango huo na kusita kwa serikali ya Uingereza kuwaruhusu wakandarasi binafsi kutoa huduma za mafunzo, "labda kwa kuhofia wangekamatwa katika kitendo hicho au hata kufunguliwa mashtaka kwa kujihusisha na shughuli hiyo ya uchochezi," chombo hicho kiliripoti. Baadhi ya watendaji waliibua wasiwasi kwamba Prevail iliweka gharama ya kila mwaka kwa $600,000 kwa kila mpiganaji wa ‘Partisan’ .

Maeneo ya mafunzo yalipangwa nchini Poland na Ugiriki. Hedges alisema kuwa kama ufadhili unahitajika kuwekwa mbali kutoka kwa vyanzo vya serikali, "michango" inaweza kukusanywa kupitia Rhizome Insights Ltd, NGO iliyo mbele kwa ajili ya Prevail. Aliongeza kuwa kampuni hiyo pia ilikuwa katika mazungumzo na ofisi ya Sadovoy kuhusu msaada wa ufadhili.



Yeye apambane na Ukraine tu hayo mengine Ni visingizio na Kama Vita imemshinda basi atimue mbio. Kila siku anazusha tuhuma mpya zisizo na msingi. Walianza ngojera za DIRTY BOMBS za zimebuma na Leo wanakuja na ngonjera nyingine.
 
Karata aliyobaki nayo Puttin ni (winter) na uchguzi wa marekani(midtem election).

Kuhusu winter
Hapa kwa upande wa Russia anachotegemea ni kupanda kwagharama za maisha barani ulaya ,hali hii itachangiwa sana na kupanda kwa nishati.Anachotegemea Russia ni kwamba bara la ulaya litaacha au kupunguza kabisa misaada ya kijeshi nchini Ukraine,hali hii itampa nguvu puttin kwa point kubwa.

Kuhusu uchaguzi Marekani
Kwa sasa hivi democratic ina wakati mgumu sana wa kukabiliana na republic ,hali hii inaweza kupelekea republc kuchukua viti ving vya uwakilish, jambo ambalo litaleta ugumu kwenye kupitisha misaada kwenda ukraine ,republic wameweka waz kabisa hawatakua tayar kupitisha military fund kuisaidia Ukraine.hii nayo ni advantage kubwa anayoisubir puttin

Lakini yote hayo tayari Bara la ulaya na Marekani wameshaliona ,kwa upande wao wanafanya kila jitihada ,kuhakikisha wanafungamana na Ukraine kwa hali yoyote ile.G7 na EU tayari wamekwisha pitisha maazimio ya kuisaidia ukraine kwa kipindi cha mwakani ambapo EU imepitisha msaada wa dola bilion 19 za kimarekani kwa ajili ya ukraine 2023.G7 nao wamejikomiti kutoa misaada zaid na kuongeza vikwazo kwa urusi.Marekani ilishaidhinisha zaidi ya dola bilion 40 .
Kwa inavyoonekana karata ya Putini bado ngumu sana ndio maana wachambuzi wa kivita toka Yale University wanadai huwenda Puttin akageukia nyuklia kama mambo yatambana na hayataenda kama alivyotarajia.Maana ni wazi hatokubali kuachia maeneo yote aliyoyateka.
Tuanbie na karata walizobaki nazo West na Ukraine yao...
 
Tuanbie na jarata walizobaki nazo West na Ukraine yao...
Vikwazo na kuishiwa silaha kwa Russia ,hiz karata zimeanza kufanya kaz sasa hivi Russia ananunua silaha Iran na North korea.
Vikwazo vimeanza kumtafuna putin hata juz ilisemekana alitaka aondolewe vikwazo ndipo aachie chakula wakamgomea,pato la nchi limepungua ,wanafidia bajet kwa azina ya kulinda uchumi.Azina hiyo ikifika redline inabid baba aombe msaada
 

Report: Armed Forces of Ukraine have killed more than 500 Russian prisoners recruited by Wagner private military contractors​

Ukrainska Pravda
Fri, November 4, 2022, 10:07 PM·3 min read
In this article:
  • Yevgeny Prigozhin
    Russian restaurateur and businessman

f102dc5e82a6a9109a6d8eff443d227e

As of early November, more than 500 Russian prisoners have died in the war in Ukraine.
Source: The Insider based on data of the Ukrainian Non-Governmental Organization Center for Analytical Studies and Countering Hybrid Threats and own calculations
Details: The publication notes that the Ukrainian Center for the Analytical Studies and Countering Hybrid Threats discovered and verified more than 200 letters signed by Andrey Troshev, one of the heads of the Wagner Group, with condolences to the families of mercenaries recruited by Wagner in Russian colonies.
 
View attachment 2407132
Confirmed irretrievable losses among the foreign mercenaries in the past week

🇵🇱 Marian Matusz (Poland)
🇹🇼 Zeng Yuhong (Taiwan)
🇺🇸 James Greggs (USA)
🇺🇸 Paul Kim (USA)
🇦🇺 Trevor Kjeldal (Australia)
🇬🇪 Gurgen Gagnidze (Georgia)
🇬🇪 Levan Sakhelashvili (Georgia)
Usisahau na upande wenu

Report: Armed Forces of Ukraine have killed more than 500 Russian prisoners recruited by Wagner private military contractors​

Ukrainska Pravda
Fri, November 4, 2022, 10:07 PM·3 min read
In this article:
  • Yevgeny Prigozhin
    Russian restaurateur and businessman

f102dc5e82a6a9109a6d8eff443d227e

As of early November, more than 500 Russian prisoners have died in the war in Ukraine.
Source: The Insider based on data of the Ukrainian Non-Governmental Organization Center for Analytical Studies and Countering Hybrid Threats and own calculations
Details: The publication notes that the Ukrainian Center for the Analytical Studies and Countering Hybrid Threats discovered and verified more than 200 letters signed by Andrey Troshev, one of the heads of the Wagner Group, with condolences to the families of mercenaries recruited by Wagner in Russian colonies.
 
Ukitaka kupata vichekesho kama hivi Tuma meseji "VICHEKESHO" kwenda namba 15334.
Mkuu, jinsi ulivyomjibu yule aliyesema Uingereza peke yake ina uwezo kuangamiza Urusi - kweli hujui kwamba ni kweli? Kweli hujui uwezo wa silaha hizo za Kinyuklia? Na hata Ufaransa ina uwezo kuangamiza Urusi ??
Sawa, nchi hizo mbili haziweza kufuta Urusi kabisa jinsi ilivyo uwezo wa MArekani - lakini uwezo wao unatosha kufuta miji mikubwa na hivyo kumaliza utamaduni na nguvu ya Urusi kwa miaka mingi.
Tunajua ni kweli pia kwamba Urusi ina uwezo kijibu kwa namna ili wala ingereza wala Ufaransa itabaki...
Lakini hayo yote hayabadilishi ukweli halisi....
 
Huu mkeka wa hawa Majasusi Upo Mezani. Ndo maana jana Kremlin walisema wana ushahidi kuwa UK wapo deep in Ukraine.

Hii imevujishwa makusudi kuwapa alert MI5 wachange plan au kuwithdraw au litawakuta zito kupitia Air Strikes mahali walipo wakiamini pameshajulikana.

Wamechanganishwa hapo!
Hakuna raise ana kichwa kopo Kama huyo zelewisky ,kwani wenzake wanazidi kumuingiza Chaka nalo linakubali tu, huyu ndiye aliyetuvumbua waafrica kuwa Kuna wazungu wajinga kuliko wanavyotuaminisha
 
Usisahau na upande wenu

Report: Armed Forces of Ukraine have killed more than 500 Russian prisoners recruited by Wagner private military contractors​

Ukrainska Pravda
Fri, November 4, 2022, 10:07 PM·3 min read
In this article:
  • Yevgeny Prigozhin
    Russian restaurateur and businessman

f102dc5e82a6a9109a6d8eff443d227e

As of early November, more than 500 Russian prisoners have died in the war in Ukraine.
Source: The Insider based on data of the Ukrainian Non-Governmental Organization Center for Analytical Studies and Countering Hybrid Threats and own calculations
Details: The publication notes that the Ukrainian Center for the Analytical Studies and Countering Hybrid Threats discovered and verified more than 200 letters signed by Andrey Troshev, one of the heads of the Wagner Group, with condolences to the families of mercenaries recruited by Wagner in Russian colonies.
Kusema ukweli warusi wanauwawa kama nzi sijui Wana tatizo gani kila siku Hawajifunzi..,ni ajabu sana [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kusema kwamba Uingereza inajihusisha sana na suala hili la Ukraine, nikaongezea kwa kusema kwamba niwajuavyo Waingereza wataleta maafisa wao wa kikosi chao cha makomandoo wa SAS kufundisha kikosi maalumu cha Ukraine katika masuala ya kufanya hujuma behind enemy lines ie partsians - Waingereza ni mabingwa sana kwenye nyanja hizo, lakini wakumbuke kwamba na Warusi si mchezo watawafatilia nyenendo zao na kuwashugulikia ipasavyo, juzi hapa makao makuu yao nchini Ukraine ilitiwa kiberiti na high precision missile ya Urusi sijui kama kuna mtu aliye nusurika.

Kama vipi na Warusi nao wafanye mpango wa kuwapatia silaha na mafunzo kwa mara nyingine tena wapigania uhuru wa I.R.A ili wafufue harakati zao za miaka ya 1970/80s, na ikiwezekana wawa instigate raia wa Scotland nao wajitenge na England kwa nguvu i.e kwa mtutu wa bunduki, tuonena hilo Serikali ya White Hall watalichukulia vipi?

Binafsi,kwa maoni yangu naona Urusi ikitaka kumaliza tatizo hili la Wamerikani na Waingereza kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi, mchezo huu utaendelezwa indefinitly hivyo ili kumaliza tatizo hilo Warusi wafanye mpangowa kui-annex Ukraine kiujumla, hata kama itawalazimu kupigana na NATO/US moja kwa moja -hawana jinsi.
 
Back
Top Bottom