Supa pawa wa mchongo anayeomba msaada wa drone toka iran na siraha korea kaskazini ili apigane na kanchi kadogo saizi ya mkoa mmojawapo wa nchi yake na tena kanchi kapo uani kwake tu hata kwa miguu unafika.Unaposema kazidia....kazidiwa na nani hasa Chief?!
Hilo suala la kutulia kwake ungeanza kumwambia kwanza USA na NATOKama Urusi angekaa kwake haya yasingetokea.
Yaani kuna paragraph umeongea Pumba eti Scotland ijitenge na Uingereza kwa mtutu wa Bunduki..Niliwahi kusema kwamba Uingereza inajihusisha sana na suala hili la Ukraine, nikaongezea kwa kusema kwamba niwajuavyo Waingereza wataleta maafisa wao wa kikosi chao cha makomandoo wa SAS kufundisha kikosi maalumu cha Ukraine katika masuala ya kufanya hujuma behind enemy lines ie partsians - Waingereza ni mabingwa sana kwenye nyanja hizo, lakini wakumbuke kwamba na Warusi si mchezo watawafatilia nyenendo zao na kuwashugulikia ipasavyo, juzi hapa makao makuu yao nchini Ukraine ilitiwa kiberiti na high precision missile ya Urusi sijui kama kuna mtu aliye nusurika.
Kama vipi na Warusi nao wafanye mpango wa kuwapatia silaha na mafunzo kwa mara nyingine tena wapigania uhuru wa I.R.A ili wafufue harakati zao za miaka ya 1970/80s, na ikiwezekana wawa instigate raia wa Scotland nao wajitenge na England kwa nguvu i.e kwa mtutu wa bunduki, tuonena hilo Serikali ya White Hall watalichukulia vipi?
Binafsi,kwa maoni yangu naona Urusi ikitaka kumaliza tatizo hili la Wamerikani na Waingereza kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi, mchezo huu utaendelezwa indefinitly hivyo ili kumaliza tatizo hilo Warusi wafanye mpangowa kui-annex Ukraine kiujumla, hata kama itawalazimu kupigana na NATO/US moja kwa moja -hawana jinsi.
Kwakuwa ni mawazo yako tena umeyatoa tu hapa Jamvini acha tuyaheshimu lakini hata ungekuwa na access ya kutoa ushauri kwa Putin angekushangaa sana maana kichwani kwake huo mpango haupo na wala haufikirii kamwe.Binafsi,kwa maoni yangu naona Urusi ikitaka kumaliza tatizo hili la Wamerikani na Waingereza kuitumia Ukraine kuihujumu Urusi, mchezo huu utaendelezwa indefinitly hivyo ili kumaliza tatizo hilo Warusi wafanye mpangowa kui-annex Ukraine kiujumla, hata kama itawalazimu kupigana na NATO/US moja kwa moja -hawana jinsi.
Anacho fikiria Vlad na Kremlin wanakijua wenyeweKwakuwa ni mawazo yako tena umeyatoa tu hapa Jamvini acha tuyaheshimu lakini hata ungekuwa na access ya kutoa ushauri kwa Putin angekushangaa sana maana kichwani kwake huo mpango haupo na wala haufikirii kamwe.
[emoji15]Kama wana uhakika na uwezo basi waishambulie UK?
Hawa wanaume ndio wanaenda Valhalla kukabithiwa bikira zako kama sitini hivi kwa kila mmoja, halafu bikira zenyewe ukitoboa leo kesho inakuwa sealead tena. Ukae ukijua hakuna Gate pass bomba ya kwenda peponi kama kufia ukipigania ukweli.View attachment 2407132
Confirmed irretrievable losses among the foreign mercenaries in the past week
🇵🇱 Marian Matusz (Poland)
🇹🇼 Zeng Yuhong (Taiwan)
🇺🇸 James Greggs (USA)
🇺🇸 Paul Kim (USA)
🇦🇺 Trevor Kjeldal (Australia)
🇬🇪 Gurgen Gagnidze (Georgia)
🇬🇪 Levan Sakhelashvili (Georgia)
Alisikika Mpuuzi mmoja AkisemaHii vita mrusi keshafinywa hawezi kutoboa
Unaripot ukiwa wap kamanda maana NATO ingeingia direct mandonga asingekuwepo leo
Wanasubiri nini kuingia hao nato. Maana tunasikia ooh nato wakiingia nato wakiingia ila mpka leo wanaogopa kuingia live wanatumia tu mamluki
Russia sio libya mkuu
Uwezo wanao sio wa kushambulia Tu Bali kuwaangamiza kabisa waingerezaKama wana uhakika na uwezo basi waishambulie UK?
Kwahiyo unadhani ikitokea Vita ya nyuklia hayo masilaha yote ya nyuklia yatatumika?! Ni silaha chache tu ambazo zitatumika na mchezo utakua umekamilika maana silaha za sasa zina nguvu mara elfu ya zile zilizotumika wakati wa World war II.Kwanza nikurekebishe, hakuna anayesema Russia tu ndio mwenye nuclear capability, hata India wako vizuri tu kwenye upande huo.
Sasa unaongelea nuclear capabilities kati ya Russia na UK?
Ukipata mda nenda kasome kuhusu Russian submarine inaenda kwa jina maarufu la Typhoon class ufanye comparison na hizo Vanguard class za UK
View attachment 2406797View attachment 2406799