Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Moto aliopelekewa Mandonga kuanzia jana

Ukrainian Armed Forces kill over 800 Russian soldiers in 24 hours General Staff​

Ukrainska Pravda
Fri, November 4, 2022, 10:18 AM·1 min read
Russia has lost more than 840 military personnel in Ukraine in the course of the past 24 hours; most of these were killed on the Lyman and Avdiivka fronts.
Source: General Staff of the Armed Forces of Ukraine on Facebook
Quote from the General Staff: "840 occupiers and 28 armoured vehicles in 24 hours; though it’s not a record, these numbers are significant."
Details: Total combat losses of the Russian forces between 24 February and 4 November 2022 are estimated to be as follows [figures in parentheses represent the latest losses – ed.]
 
Unaikumbuka hii???[emoji16][emoji1787][emoji28][emoji2957][emoji2957][emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji2957]View attachment 2406716

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Odessa is next.ngoja nikumbie kitu Ukraine ilipojiunga USSR haikuwa na Odessa,kakkiv,Donesky na luhask na Crimea.hizi sehemu zilikuwa ni za urusi.lakini wakapewa na Lenin ili wajenge nchi Yao lakini kwakuwa Ukraine wamezingua hayo maeneo yatarudi nyumbani.soon Odessa itarudi nyumbani.
 
Moto aliopelekewa Mandonga kuanzia jana

Ukrainian Armed Forces kill over 800 Russian soldiers in 24 hours General Staff​

Ukrainska Pravda
Fri, November 4, 2022, 10:18 AM·1 min read
Russia has lost more than 840 military personnel in Ukraine in the course of the past 24 hours; most of these were killed on the Lyman and Avdiivka fronts.
Source: General Staff of the Armed Forces of Ukraine on Facebook
Quote from the General Staff: "840 occupiers and 28 armoured vehicles in 24 hours; though it’s not a record, these numbers are significant."
Details: Total combat losses of the Russian forces between 24 February and 4 November 2022 are estimated to be as follows [figures in parentheses represent the latest losses – ed.]
Ujue waukraine wamekufa idadi Mara 2 ya hiyo
 
The Armed Forces of Ukraine stated that the removal of the Russian flag in Kherson is a "Russian provocation" in order to lure the Armed Forces of Ukraine to Kherson.
"These are certain provocations in order to create the impression that the settlements have been abandoned, that they are safe. But given that they were preparing for street battles, we are aware of the planned tactics of action. We should not rush to rejoice, we must understand that a hybrid war also implies such information stuffing, attacks. (c) Press Center of Operational Command "South" of Ukraine
 
1667569982541.png

Ukraine requested 60,000 liters of blood from NATO for the Armed Forces of Ukraine. The Alliance responded and delivered blood, BUT! the blood turned out to be infected with HIV, as well as hepatitis B and C.
Kiev sent a letter to NATO asking for an independent assessment of the condition of the blood and a demand not to purchase it "on the African continent." And at the same time he asked to allocate 680 million hryvnia for "prevention of viral diseases."
Did they infuse blood immediately without testing?
 
Wanasubiri nini kuingia hao nato. Maana tunasikia ooh nato wakiingia nato wakiingia ila mpka leo wanaogopa kuingia live wanatumia tu mamluki
Russia sio libya mkuu

NATO ipo sababu ya Urusi na nchi zenye mwelekeo wa kuisapoti au kusapoti mfumo wake, na Urusi huwa haigusi nchi mwanachama wa NATO na inatamani nchi jirani zisiwe wanachama.

Kama unataka kuwa na fikra huru vua hisia binafsi, kaa nje ya upro NATO, kaa nje ya upro URUSI kisha jaribu kuwachambua kwa akili ya kawaida.

Ukifanya hivi hutakuwa sehemu ya mabishano ya kimihemko kama ya watoto wanaobishana baba yupi kati ya baba zao ana nguvu kuliko mwingine. Hutaona sababu ya kufanya hivyo.
 
Ujue nini ndugu yangu dong yi

Russia ya kwenye midomo ya west sio Russia ile halisi. Na tunapata taabu sana kuelewa utamaduni wa East kwa ujumla kutokana na barriers tofauti moja wapo kubwa ni lugha!

Nchi nyingi maeneo mengi duniani ambayo yapo under influence ya West pia katika lugha hutumia lugha zao katika mawasiliano kiasi kwamba hata katika vyanzo vya habari vipo shaped kwa muktadha wanao utaka wao.

To them kila nchi ambayo iko obedient kwao ni democratic haijalishi ni nani au wana mfumo gani.

Nobody is talking about Paul Biya wa Cameroon alie madarakani toka November 1982 hadi leo hii... Nobody is talking about Theodore Obiyang wa Equatorial Guinea alie madarakani toka August 1979 hadi leo hii. Tena kinachochekesha hapa huyu wa mwisho kumtaja ndio anaongoza chama cha demokrasia nchini hapo... Wenyewe wanakiita "Democratic party".

Sasa to all of them, unajiuliza why always Russia... Why always China... Why always Iran... Why always North Korea... Kuna nini kwenye nchi hizi?

Tujikite kwa Russia, tuchukue tu mfano huo wa juzi kwenye annexation ya hizo territory kuingia Russia.

Tumeona mchakato ulivyokua... Referendum, then President akapokea maombi official, maombi akayaridhia kwasababu sio nchi ya One Man decision maombi yale yakapelekwa State Duma, baada ya State Duma yakapelekwa Federal Council, haikuishia hapo yakapelekwa federal court kuidhinishwa ndipo kurejeshwa kwa Raisi kupitishwa Rasmi ndani ya Katiba yao.

Israel ndio inasifiwa kua more democratic state, hayo maeneo wanayoiba kutoka kwa Palestinian kila siku huwa yanafata mchakato gani?

Au yeye mwenyewe anayejiita baba wa Liberal democracy!
Alipo izoa Texas kutoka Mexico alifata taratibu kama hizo? Jibu ni hapana.

Hapo UK tumejionea kwa macho... Ndani ya siku 60 tukishuhudia viongozi wawili wakuu wa serikali ambao hawajachaguliwa na wananchi wakiapishwa na kiongozi mkuu wa nchi ambae hajachaguliwa pia na wananchi.... Riz Truss, Rish Sunaki na Emperor wao! Je is that democracy ambayo wanadai serikali ya watu inayowekwa na watu kwa ajili ya watu?

Hapo hapo Europe, viongozi wakuu wa nchi kutoka Belgium, Norway, Denmark, Luxembourg, Sweden, Netherlands, Spain, UK, Andorra, Liechtenstein na Monaco ni Familia moja za kifalme. Je hiyo nayo ni democracy wanayodai nchi ni ya watu wote na yoyote ana haki ya kua kiongozi katika ngazi yoyote ya taifa lake?

Sifa kubwa ya Dictator ni ukatili, tukiwaangalia hawa viongozi kutoka kwenye hizo nchi zinazo tuhumiwa kwa ubabe wapi kati yao na wao ambao hawana huruma kwa wananchi wao?

Mifano tusitoe mbali tuangalie kilichotokea ndani ya hii miezi mi8. Nani mwenye huruma kwa maisha ya Raia wa kawaida kati yao? Putin au Collective west? Hivi vipi kama West ndio wangekua na resources alizo nazo Russia wangemfanya nini? Suffocating Russians to death... Je Russians (yani raia wa kawaida) wanakosa gani kuadhibiwa kisa chuki zao kwa Mzee Putin? What if Putin nae aamue kufanya the same kwao?

No any citizen of Europe voted for Ursula, yule ameteuliwa then how na why ajitwishe mamlaka juu ya kila Raia kwenye nchi hizo tena kwa vitisho? Hiyo ndio democracy? While they suffer maisha magum kule top wapo like "More weapons amd Euros to Ukraine".

Mfano wa mwisho tuziangazie hizi kampeni zao za kisheeenzi! LGBTQ movement!

Now upande wa Russia bills ishakuwa passed ku'ban everything related na hayo mambo. But tujiulize how did they reach that decision, simple kama hivi... State duma walipitisha Polls kwa federal subjects zote kukusanya maoni. Na over 95% ya walio shiriki walipendelea total ban ya LGBTQ propaganda... Baada ya maoni hayo yakapelekwa bungeni (State duma) na kupitishwa kua mswada then kuidhinishwa na mamlaka husika kua sheria.

How about upande ule? Did they do the same? Huu upuuzi wanao tumia nguvu kuueneza ni mawazo ya raia wao? Jibu ni big NO... Ni ajenda za wale walio waweka wao madarakani so they act accordingly. Jeee? Is that what they call democracy?

So who is more democratic then?

Sasa tukiamua kuutizama uhalisia kiundani mbele ya BOTs walio pikwa waka pikika kwa "Sauti ya Amerika VOA"... Amka na "BBC"... Dw n.k utaishia kupewa majina mazuri sana kama "Dictator", "Racist", Fascist n.k kwani unakemea misaada pendwa ya ndom na Vyoo!
Ahsante kwaufafanuzi MKUU

Ila jana cjui juzi miongo mwa ajenda ambazo nilisikia wanaojiita G7 wanaenda kuzijadili ilikuemo hii wanayosema eti kukabiliana na RUSSIA juu ya kueneza propaganda

Yaani moja ya mafanikio makubwa kabisa ya hii SMO ambayo PUT IN kafanikiwa ingawa sio kwa asilimia zote ila nyingi

Kuwafanya watu wengi wavipe mgongo vyombo vya west jamaa kafanikiwa kwakiasi kikubwa sana ukipita kwenye mitandao karibu yote watu wengi wapo na PUT IN

Jamaa wameona anawaover take wakaamua kumjadili ila sijui watafikia wapi acha tuone

Ila ngoja nimtag mwana demoghasia aje kupitia hapo Yoda
 
Updates!!

[emoji91][emoji91][emoji91] Kyiv is ready to consider the possibility of closing the skies of Moldova with its air defense system, if such an appeal comes from Chisinau.

This was announced by adviser to the head of the office of the President of Ukraine Mikhail Podolyak.

[emoji2772] Hii way of thinking ya Kiev regime ni ya kipekee duniani... You can not understand this passage, thinking that Kyiv cannot close its airspace from daily missile and drone attacks, but offers assistance to Moldova.
 
Unaripot ukiwa wap kamanda maana NATO ingeingia direct mandonga asingekuwepo leo
Hao NATO hawawezi kuingia direct si leo wala si kesho wataishia kujadili vikao na kutuma silaha na silaha zenyewe wanazotuma wanatoa na masharti kwamba "Tunakupa silaha lakini usishambulie territory yoyote ya Russia, wewe jilinde tu"

Hamna nchi mwanachama wa NATO iko tayari kuharibiwa kisa kujiingiza direct kwenye mgogoro wa Ukraine. Hapo tutashuhudia Ukraine ikiendelea kuharibiwa tu na NATO hamna kitu watafanya. NATO wanamjua Russia halisi ambaye mimi na wewe hatumjui.

Anyways nchi za NATO unaowasemea walikua wanafanya estimation ya madhara kiasi gani yatatokea endapo kitu cha 500 kiloton nuclear bomb kitatua kwenye miji yao.

NB: 500 kiloton nuclear bomb is not largest nuclear bomb in Russia's nuclear arsenal, kuna wakubwa zake.
IMG_20221104_175344_899.jpg
IMG_20221104_175351_045.jpg
20221104_175537.jpg
 
Hao NATO hawawezi kuingia direct si leo wala si kesho wataishia kujadili vikao na kutuma silaha na silaha zenyewe wanazotuma wanatoa na masharti kwamba "Tunakupa silaha lakini usishambulie territory yoyote ya Russia, wewe jilinde tu"

Hamna nchi mwanachama wa NATO iko tayari kuharibiwa kisa kujiingiza direct kwenye mgogoro wa Ukraine. Hapo tutashuhudia Ukraine ikiendelea kuharibiwa tu na NATO hamna kitu watafanya. NATO wanamjua Russia halisi ambaye mimi na wewe hatumjui.

Anyways nchi za NATO unaowasemea walikua wanafanya estimation ya madhara kiasi gani yatatokea endapo kitu cha 500 kiloton nuclear bomb kitatua kwenye miji yao.

NB: 500 kiloton nuclear bomb is not largest nuclear bomb in Russia's nuclear arsenal, kuna wakubwa zake.View attachment 2406783View attachment 2406784View attachment 2406785
Wakati huo Uingereza itakua imelala tu?! Uingereza tu peke yake ina uwezo wa kuiangamiza Urusi kama ikithubutu kuipiga kwa nyuklia. Wana Submarines zao za Vanguard zikiwa na Makombora ya Trident II ICBM kombora moja Linabeba mpaka vichwa nane vya nyuklia. Hua nawashangaa Sana mnaodhani ni Urusi tu mwenye Makombora hatari ya nyuklia.

Kama huyo Putin kidume mwambie ajaribu,si juzi hapa kasema Uingereza imelipua bomba zake za Nord stream!? Kuna lolote alilowafanya?!
 
Huwa nafurahi sana HAWa vijana wetu waliozaliwa mwaka 2003 wanaposema superpower wa mchongo. RUssia sio wa kujilinganisha nae . Mpaka hapa tulipofika amethibitisha yeye ni super superpower. Hakuna nchi angaliweza kuhimili washirika wa nato na vyombo vyao vyote vya Ulinzi na propaganda . Russia ameweza na mpaka SASA vita inapiganwa Ukraine sio Russia na itaisha hukohuko Ukraine .
Russia kafanya makubwa sana angalia misaada yote ya kijeshi iliyotumwa kwenda Ukraine in billion US dollars alafu matokeo yake mikoa 4 inaondoka kwenda Russia.

Tukumbuke mfululizo wa sunctions ambapo nchi za ulaya zilikimbilia kuweka ikiwemo kususia gas ya urusi alafu leo sunctions zimebackfire, wanalialia na wananchi wanaandamana gharama za maisha zimewanyoosha.

Baadhi wameanza kulegeza wenyewe baada ya kuona wanaumia

images.jpg
20221104_181809.jpg
20221104_181958.jpg
 
Hao NATO hawawezi kuingia direct si leo wala si kesho wataishia kujadili vikao na kutuma silaha na silaha zenyewe wanazotuma wanatoa na masharti kwamba "Tunakupa silaha lakini usishambulie territory yoyote ya Russia, wewe jilinde tu"

Hamna nchi mwanachama wa NATO iko tayari kuharibiwa kisa kujiingiza direct kwenye mgogoro wa Ukraine. Hapo tutashuhudia Ukraine ikiendelea kuharibiwa tu na NATO hamna kitu watafanya. NATO wanamjua Russia halisi ambaye mimi na wewe hatumjui.

Anyways nchi za NATO unaowasemea walikua wanafanya estimation ya madhara kiasi gani yatatokea endapo kitu cha 500 kiloton nuclear bomb kitatua kwenye miji yao.

NB: 500 kiloton nuclear bomb is not largest nuclear bomb in Russia's nuclear arsenal, kuna wakubwa zake.View attachment 2406783View attachment 2406784View attachment 2406785
Hivi mkuu niulize tu! NATO ni Umoja wa kujilinda au Kuvamia?
 
Back
Top Bottom