Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unajifanya hujui nini Russia alichotaka kufanya huko ukraine.., uzuri ni kwamba sitachoka kuwakumbusha haya maneno yenu wenyewe..,kila mara nitakuwa nawaumbua.., Putin mwenyewe anaujua huu ukweli vizuri tu.., tatizo Putin ni mpenzi mkubwa sana wa kuangalia muvi,Sasa hizo muvi zilimdanganya na akaamini anaweza kuiteka Kiev ndani ya siku 3 [emoji16]View attachment 2404643

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa mchangiaji wa JF ndio imekuwa serikali ya Russia😆😆😆😆🤔🤔!
Kweli mmepata Chaka la kujificha mambo yanapokuwa magumu!😃
 
Urusi anachofanya sio kupigana vita ya ushindi ila anachofanya ni
Ukatiri. hata kuku nae kuna timing ya kumchinja akikushinda hata kidogo tu sio lazima uanze kumvunja miguu mara umtoboe macho nk.
 
Urusi anachofanya sio kupigana vita ya ushindi ila anachofanya ni
Ukatiri. hata kuku nae kuna timing ya kumchinja akikushinda hata kidogo tu sio lazima uanze kumvunja miguu mara umtoboe macho nk.
Kwani kuku keshawahi kushinda na binaadamu?
 
Inashangaza sana kwa hiyo anamaanisha ni kwamba UKRAINE ni kuku aliyeshindikana na binadamu wa warusi au nimeelewa tofauti?
Hata mimi nimeshindwa kumuelewa vizuri sijui kamaanisha nini.
 
Sasa mchangiaji wa JF ndio imekuwa serikali ya Russia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji848][emoji848]!
Kweli mmepata Chaka la kujificha mambo yanapokuwa magumu![emoji2]
Sawa.., ngoja tuseme operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo Inakwenda kama ilivyopangwa.., furahini sasa [emoji3059][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kichapo wanachopewa hapo kherson kinatisha
Mi huwa sielewi warusi wanapozingirwa 2000 kisha tunaletewa mateka wanne na gari MOJA saloon imechomwa tunaambiwa superpower wa mchongo anapata kipigo cha mbwa koko na break ya KWANZA Cremia ya pili Moscow.


Kama Ukraine kashindwa kuliwahi zoezi la mobilization mpaka Putin ka mobilise hàdi katoaheka mwenyewe vita itakuwa ngumu sana .Na BADO Putin ana uwezo wa ku mobilise wengine 700000 . Kama ni full mobilization. Kumbuka hii ilikua partial tu.


Ni ramli za kuisha kwa silaha ndio ndoto itakayomponya Ukraine .Kwamba Russia ataishiwa silaha.

Labda wataalam watusaidie ikiwa Russia anapata muda wa kuzalusha silaha hasa makombora atakuja ishiwa silaha hizo? Atashindwa kuvitengeneza vidrone vya IRAN ndani ya Russia.?

Je kuna dalili ya uchumi wa Russia kushindwa kuhimili gharama za vita ?

Je kuna msaada wowote Russia anaupata wa kifedha ama silaha ukiacha hizo shaheed tunazoambiwa

Je yale mazoezi ya pamoja Kati ya Russia na washirika zake Je silaha zilizotumika kama KILA mashirika alichangia kwa maana ya kusafirisha hàdi urusi Je hizo silaha walirudi nazo makwao baada ya mazoezi ama waliziacha kimtindo. Haiwezekani ilikua namna ya kumuongezea Russia silaha kimtindo?
 
Unakuwa Rais wa maghofu, unaishi gizani, hauna uhuru wa kwenda kutembea(muda wote unajifungia ndani kama mwizi.sasa hapo kuna raha gani ya kuwa kiongozi.

Kwa unavyofikiri Zelensk anapata kweli usingizi usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawezi pata usingizi sababu nchi ipo vitani na nchi yenye nguvu kubwa kijeshi na pia hakuna usiku usiopambazuka hivyo kama hatakufa, kuna siku kutapambazuka.
 
Hii vita siyo ya kuisha leo au kesho itachukua mda kwa mtazamo wangu lakini

Drone-killing Vampires due in Ukraine next year, Pentagon says​

Joe Gould
Tue, November 1, 2022, 11:40 PM·3 min read
80d85d45f0868b36dddd9f4e17b30b46

Colin Demarest
WASHINGTON ― The U.S. is aiming to send Ukraine the “Vampire” counter-drone system by mid-2023, with a contract award expected within months, a Pentagon spokesman said Tuesday.
The Pentagon on Aug. 24 announced it would send the system, a laser-guided-missile launcher that can quickly be installed in a civilian truck bed, as part of a larger arms package. But despite Russia’s expanded use of Iranian-made kamikaze drones to target Ukraine’s power stations and other key infrastructure, the Pentagon hasn’t yet approved a contract to deliver the system.
“Air defense continues to be a priority, it’s something we’re going to continue to stay focused on and work as quickly as we can,” Pentagon Press Secretary Air Force Brig. Gen. Pat Ryder said. “In reference to the Vampires, we do expect a contract award within the next few months, and right now we’re anticipating delivery to be in mid 2023.”
 
Hii vita siyo ya kuisha leo au kesho itachukua mda kwa mtazamo wangu lakini

Drone-killing Vampires due in Ukraine next year, Pentagon says​

Joe Gould
Tue, November 1, 2022, 11:40 PM·3 min read
80d85d45f0868b36dddd9f4e17b30b46

Colin Demarest
WASHINGTON ― The U.S. is aiming to send Ukraine the “Vampire” counter-drone system by mid-2023, with a contract award expected within months, a Pentagon spokesman said Tuesday.
The Pentagon on Aug. 24 announced it would send the system, a laser-guided-missile launcher that can quickly be installed in a civilian truck bed, as part of a larger arms package. But despite Russia’s expanded use of Iranian-made kamikaze drones to target Ukraine’s power stations and other key infrastructure, the Pentagon hasn’t yet approved a contract to deliver the system.
“Air defense continues to be a priority, it’s something we’re going to continue to stay focused on and work as quickly as we can,” Pentagon Press Secretary Air Force Brig. Gen. Pat Ryder said. “In reference to the Vampires, we do expect a contract award within the next few months, and right now we’re anticipating delivery to be in mid 2023.”
kaka hii vita si ya kuisha leo wala kesho - Putin ajiandae kisaikologia kama hataki kurudi mezani bila masharti yoyote yale.

Sasa Kamikaze si zina sifa ya kujificha, haya zikajifishe sasa tuone.

1667376479133.png
 
The Institute for the Study of War has developed an interactive map and accompanying timeline tracking verified Ukrainian partisan attacks. ISW will update this map as additional attacks are confirmed.

Key Takeaway:

Effective Ukrainian partisan attacks are forcing the Kremlin to divert resources away from frontline operations to help secure rear areas, degrading Russia’s ability to defend against ongoing Ukrainian counteroffensives, let alone conduct their own offensive operations.

Poor Russian operational security has enabled Ukrainian partisan attacks. Russia’s increasing manpower shortages are likely degrading Russian forces’ ability to effectively secure Russian rear areas against partisan attacks and simultaneously defend against Ukrainian counteroffensives.

The Kremlin still has not effectively countered Ukraine’s organized partisan movement and is unlikely to have the capabilities to do so.

Read the full report and check out the map: Institute for the Study of War
 
aya mbili za mwisho, si tunaambiwa russia ni nchi ya kidikteta, formality za nini kwenye udikteta aiseee?

pro nato wanijibu tafadhali
Ujue nini ndugu yangu dong yi

Russia ya kwenye midomo ya west sio Russia ile halisi. Na tunapata taabu sana kuelewa utamaduni wa East kwa ujumla kutokana na barriers tofauti moja wapo kubwa ni lugha!

Nchi nyingi maeneo mengi duniani ambayo yapo under influence ya West pia katika lugha hutumia lugha zao katika mawasiliano kiasi kwamba hata katika vyanzo vya habari vipo shaped kwa muktadha wanao utaka wao.

To them kila nchi ambayo iko obedient kwao ni democratic haijalishi ni nani au wana mfumo gani.

Nobody is talking about Paul Biya wa Cameroon alie madarakani toka November 1982 hadi leo hii... Nobody is talking about Theodore Obiyang wa Equatorial Guinea alie madarakani toka August 1979 hadi leo hii. Tena kinachochekesha hapa huyu wa mwisho kumtaja ndio anaongoza chama cha demokrasia nchini hapo... Wenyewe wanakiita "Democratic party".

Sasa to all of them, unajiuliza why always Russia... Why always China... Why always Iran... Why always North Korea... Kuna nini kwenye nchi hizi?

Tujikite kwa Russia, tuchukue tu mfano huo wa juzi kwenye annexation ya hizo territory kuingia Russia.

Tumeona mchakato ulivyokua... Referendum, then President akapokea maombi official, maombi akayaridhia kwasababu sio nchi ya One Man decision maombi yale yakapelekwa State Duma, baada ya State Duma yakapelekwa Federal Council, haikuishia hapo yakapelekwa federal court kuidhinishwa ndipo kurejeshwa kwa Raisi kupitishwa Rasmi ndani ya Katiba yao.

Israel ndio inasifiwa kua more democratic state, hayo maeneo wanayoiba kutoka kwa Palestinian kila siku huwa yanafata mchakato gani?

Au yeye mwenyewe anayejiita baba wa Liberal democracy!
Alipo izoa Texas kutoka Mexico alifata taratibu kama hizo? Jibu ni hapana.

Hapo UK tumejionea kwa macho... Ndani ya siku 60 tukishuhudia viongozi wawili wakuu wa serikali ambao hawajachaguliwa na wananchi wakiapishwa na kiongozi mkuu wa nchi ambae hajachaguliwa pia na wananchi.... Riz Truss, Rish Sunaki na Emperor wao! Je is that democracy ambayo wanadai serikali ya watu inayowekwa na watu kwa ajili ya watu?

Hapo hapo Europe, viongozi wakuu wa nchi kutoka Belgium, Norway, Denmark, Luxembourg, Sweden, Netherlands, Spain, UK, Andorra, Liechtenstein na Monaco ni Familia moja za kifalme. Je hiyo nayo ni democracy wanayodai nchi ni ya watu wote na yoyote ana haki ya kua kiongozi katika ngazi yoyote ya taifa lake?

Sifa kubwa ya Dictator ni ukatili, tukiwaangalia hawa viongozi kutoka kwenye hizo nchi zinazo tuhumiwa kwa ubabe wapi kati yao na wao ambao hawana huruma kwa wananchi wao?

Mifano tusitoe mbali tuangalie kilichotokea ndani ya hii miezi mi8. Nani mwenye huruma kwa maisha ya Raia wa kawaida kati yao? Putin au Collective west? Hivi vipi kama West ndio wangekua na resources alizo nazo Russia wangemfanya nini? Suffocating Russians to death... Je Russians (yani raia wa kawaida) wanakosa gani kuadhibiwa kisa chuki zao kwa Mzee Putin? What if Putin nae aamue kufanya the same kwao?

No any citizen of Europe voted for Ursula, yule ameteuliwa then how na why ajitwishe mamlaka juu ya kila Raia kwenye nchi hizo tena kwa vitisho? Hiyo ndio democracy? While they suffer maisha magum kule top wapo like "More weapons amd Euros to Ukraine".

Mfano wa mwisho tuziangazie hizi kampeni zao za kisheeenzi! LGBTQ movement!

Now upande wa Russia bills ishakuwa passed ku'ban everything related na hayo mambo. But tujiulize how did they reach that decision, simple kama hivi... State duma walipitisha Polls kwa federal subjects zote kukusanya maoni. Na over 95% ya walio shiriki walipendelea total ban ya LGBTQ propaganda... Baada ya maoni hayo yakapelekwa bungeni (State duma) na kupitishwa kua mswada then kuidhinishwa na mamlaka husika kua sheria.

How about upande ule? Did they do the same? Huu upuuzi wanao tumia nguvu kuueneza ni mawazo ya raia wao? Jibu ni big NO... Ni ajenda za wale walio waweka wao madarakani so they act accordingly. Jeee? Is that what they call democracy?

So who is more democratic then?

Sasa tukiamua kuutizama uhalisia kiundani mbele ya BOTs walio pikwa waka pikika kwa "Sauti ya Amerika VOA"... Amka na "BBC"... Dw n.k utaishia kupewa majina mazuri sana kama "Dictator", "Racist", Fascist n.k kwani unakemea misaada pendwa ya ndom na Vyoo!
 
Back
Top Bottom