D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Mashoga na wanaume munasalimiwa
Kaka watakwambia habari hizi ni za media za magharibiAir Force: Ukraine downs 12 kamikaze drones overnight.
The Ukrainian military downed 12 out of 13 Iranian-made Shahed-136 drones that Russia launched overnight on Nov. 2, according to Ukraine's Air Force. On Nov. 1, Ukraine's Air Force said it had already downed over 300 kamikaze drones fired at Ukraine by Russian forces.
7:56 am
Mashoga na wanaume munasalimiwa
najua mkuu, najua kwamba western democracy is a myth.......Ujue nini ndugu yangu dong yi
Russia ya kwenye midomo ya west sio Russia ile halisi. Na tunapata taabu sana kuelewa utamaduni wa East kwa ujumla kutokana na barriers tofauti moja wapo kubwa ni lugha!
Nchi nyingi maeneo mengi duniani ambayo yapo under influence ya West pia katika lugha hutumia lugha zao katika mawasiliano kiasi kwamba hata katika vyanzo vya habari vipo shaped kwa muktadha wanao utaka wao.
To them kila nchi ambayo iko obedient kwao ni democratic haijalishi ni nani au wana mfumo gani.
Nobody is talking about Paul Biya wa Cameroon alie madarakani toka November 1982 hadi leo hii... Nobody is talking about Theodore Obiyang wa Equatorial Guinea alie madarakani toka August 1979 hadi leo hii. Tena kinachochekesha hapa huyu wa mwisho kumtaja ndio anaongoza chama cha demokrasia nchini hapo... Wenyewe wanakiita "Democratic party".
Sasa to all of them, unajiuliza why always Russia... Why always China... Why always Iran... Why always North Korea... Kuna nini kwenye nchi hizi?
Tujikite kwa Russia, tuchukue tu mfano huo wa juzi kwenye annexation ya hizo territory kuingia Russia.
Tumeona mchakato ulivyokua... Referendum, then President akapokea maombi official, maombi akayaridhia kwasababu sio nchi ya One Man decision maombi yale yakapelekwa State Duma, baada ya State Duma yakapelekwa Federal Council, haikuishia hapo yakapelekwa federal court kuidhinishwa ndipo kurejeshwa kwa Raisi kupitishwa Rasmi ndani ya Katiba yao.
Israel ndio inasifiwa kua more democratic state, hayo maeneo wanayoiba kutoka kwa Palestinian kila siku huwa yanafata mchakato gani?
Au yeye mwenyewe anayejiita baba wa Liberal democracy!
Alipo izoa Texas kutoka Mexico alifata taratibu kama hizo? Jibu ni hapana.
Hapo UK tumejionea kwa macho... Ndani ya siku 60 tukishuhudia viongozi wawili wakuu wa serikali ambao hawajachaguliwa na wananchi wakiapishwa na kiongozi mkuu wa nchi ambae hajachaguliwa pia na wananchi.... Riz Truss, Rish Sunaki na Emperor wao! Je is that democracy ambayo wanadai serikali ya watu inayowekwa na watu kwa ajili ya watu?
Hapo hapo Europe, viongozi wakuu wa nchi kutoka Belgium, Norway, Denmark, Luxembourg, Sweden, Netherlands, Spain, UK, Andorra, Liechtenstein na Monaco ni Familia moja za kifalme. Je hiyo nayo ni democracy wanayodai nchi ni ya watu wote na yoyote ana haki ya kua kiongozi katika ngazi yoyote ya taifa lake?
Sifa kubwa ya Dictator ni ukatili, tukiwaangalia hawa viongozi kutoka kwenye hizo nchi zinazo tuhumiwa kwa ubabe wapi kati yao na wao ambao hawana huruma kwa wananchi wao?
Mifano tusitoe mbali tuangalie kilichotokea ndani ya hii miezi mi8. Nani mwenye huruma kwa maisha ya Raia wa kawaida kati yao? Putin au Collective west? Hivi vipi kama West ndio wangekua na resources alizo nazo Russia wangemfanya nini? Suffocating Russians to death... Je Russians (yani raia wa kawaida) wanakosa gani kuadhibiwa kisa chuki zao kwa Mzee Putin? What if Putin nae aamue kufanya the same kwao?
No any citizen of Europe voted for Ursula, yule ameteuliwa then how na why ajitwishe mamlaka juu ya kila Raia kwenye nchi hizo tena kwa vitisho? Hiyo ndio democracy? While they suffer maisha magum kule top wapo like "More weapons amd Euros to Ukraine".
Mfano wa mwisho tuziangazie hizi kampeni zao za kisheeenzi! LGBTQ movement!
Now upande wa Russia bills ishakuwa passed ku'ban everything related na hayo mambo. But tujiulize how did they reach that decision, simple kama hivi... State duma walipitisha Polls kwa federal subjects zote kukusanya maoni. Na over 95% ya walio shiriki walipendelea total ban ya LGBTQ propaganda... Baada ya maoni hayo yakapelekwa bungeni (State duma) na kupitishwa kua mswada then kuidhinishwa na mamlaka husika kua sheria.
How about upande ule? Did they do the same? Huu upuuzi wanao tumia nguvu kuueneza ni mawazo ya raia wao? Jibu ni big NO... Ni ajenda za wale walio waweka wao madarakani so they act accordingly. Jeee? Is that what they call democracy?
So who is more democratic then?
Sasa tukiamua kuutizama uhalisia kiundani mbele ya BOTs walio pikwa waka pikika kwa "Sauti ya Amerika VOA"... Amka na "BBC"... Dw n.k utaishia kupewa majina mazuri sana kwani unakemea misaada pendwa ya ndom na Vyoo!
Mashoga na wanaume munasalimiwa
Na hii ni ndoto hambayo Putin anatamani itimie..,ni mwendo wa danadana tu Wala hakuna Cha mazungumzo..,ni lazima dikiteta Putin ajifunze kwamba uvamizi wa nchi nyingine ni kosa kubwa hambalo hapaswi kurudia kamwe,
Zikiwa opposite wanadai propaganda za magharibi,ila zikiwa possitive kwao wanauchubua na kujaza jukwaaKaka watakwambia habari hizi ni za media za magharibi
She is stupidView attachment 2404520
President of Moldova Maja Sandu warned that there is a possibility that Moldova will be without electricity and heating this year