Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa ivi mmetoka kwenye umeme na maji mnaenda kwenye kusonga mbele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].sasa sijui utaendelea kuamini tena maneno ya viongozi wenu.
Ushindi wa Ukraine ni kuendelea kuwepo madarakani kwa serikali ya rais zelensiky. ,Huo ndio ushindi haswa, mengine ni chai tu..,maana urusi alidhamilia kuifuta serikali ya mjini Kyiv kwa muda usiozid saa 72,kama mlivyoamini wengi wenu
JamiiForums1978367702.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]BREAKING NEWS[emoji298]

US is not looking for a conflict with Russia, REALLY wants a negotiated solution to conflict in Ukraine - White House.

[emoji95][emoji3512] Who listens to these idiots, asubuhi wanazungumza hiki mchana kile. Look like all of them wana suffer from dementia... Wanasahau kabisa wanayo zungumza!
If you can't beat them,join them this is what US is going to do,[emoji3][emoji3]
 
Joto la November 8th election bro!
Democratic wakipigwa chini wa kupitisha hizo Money laundering activities kisingizio ikiwa Ukraine wataondoka, so mfadhili mkubwa akipwaya hakuta kua na la maana lililo baki Ukraine.

The early, the negotiations naona ndio itakuwa better kwa Ukraine kuendelea ku'exist as a state. Ila kinyume cha hapo watazidi kupoteza maeneo kila uchao.

Em fikiria lau wangekubaliana na yale makubaliano waliyofikia kule Minsk leo Kherson, Zaporozhye, DPR na LPR zingekua Russia?

There's no way to defeat Russia in battlefield hapo Ukraine no matter how hard they try ku'flood Ukraine with weapons kibaya zaidi ikitegemea foreign Mercenaries na PM Contractors ili kuweza kuendelea kupigana.

Today tunajionea hata ile budget tu ya kuendesha serikali yao wanategemea msaada kutoka nje. In the long run walipa kodi wa wapi watakua radhi kwa hilo ilihali inflation inazidi kutoboa mifuko yao na kuongeza ugumu wa maisha.

Show ngumu ha ha ha labda wadundane Nukes tu wakose wote [emoji23]. Lakini na penyewe baaado hawana umoja kwenye hicho kikundi chao cha umoja wa akina Upinde... Angalia Turkey, angalia France. Aliyebaki ni US na UK tu.


Saaana bro!

Ila I wish angekua in Control tungeheshimiana sana hasa sie wapenda mbwai na iwe mbwai. Diplomasia kwa wazee tu [emoji23][emoji23][emoji23]
That is how alpha males look like sio kama hao wanaume wa upinde ambao wanadai there is no straight males among them
 
Najiulizaga siku naye ukraine akapewa makombora mazito kama wanayotumia Russia hii vita ingekuwaje maana ukraine zana anazotumia ni kwa ajili ya diffensive tuu .Hana makombora ya kushambulia kama Russia
Hivi ndugu unajuilizaga au umepata majibu sometimes huwa napata kazi kucoment hivi silaha anazopewa Ukraine ninmagobole au
 
Ushindi wa Ukraine ni kuendelea kuwepo madarakani kwa serikali ya rais zelensiky. ,Huo ndio ushindi haswa, mengine ni chai tu..,maana urusi alidhamilia kuifuta serikali ya mjini Kyiv kwa muda usiozid saa 72,kama mlivyoamini wengi wenuView attachment 2404398

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unakuwa Rais wa maghofu, unaishi gizani, hauna uhuru wa kwenda kutembea(muda wote unajifungia ndani kama mwizi.sasa hapo kuna raha gani ya kuwa kiongozi.

Kwa unavyofikiri Zelensk anapata kweli usingizi usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Russia anaituhumu Ukraine kushambulia black sea fleet wewe unatuambia NATO ndo wameshambulia,kwahiyo wewe unajua kushinda wenyewe warusi?!
Mtuhumumiwa namba 1 ni uingereza na wamejibu kwa kukanusha

Na russia wamesema wanazo nyaraka za siri zikiwemo emails za kupanga hayo yaliyofanyika na ushahidi ndo wanataka kuwasilisha un
 
Ushindi wa Ukraine ni kuendelea kuwepo madarakani kwa serikali ya rais zelensiky. ,Huo ndio ushindi haswa, mengine ni chai tu..,maana urusi alidhamilia kuifuta serikali ya mjini Kyiv kwa muda usiozid saa 72,kama mlivyoamini wengi wenuView attachment 2404398

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo huyo ndio Putin aliandika Kwa kiswahili?😆😆Nyie watu mnachekesha!
 
Warusi wa Bunyokwa na Mselivanya, Mambo ni Bam bam mshindwe nyie tu [emoji23]

[emoji95] Putin instructed to prepare proposals to establish a visa-free regime for foreigners without the principle of reciprocity, the Kremlin said.

[emoji95] Putin instructed to think about the renewal of an electronic visa for residents of countries not included in the list of unfriendly countries for the Russian Federation, the Kremlin said.
Hii idea niliifikiria sana last week. Russia achukue majimbo mengine 3 ya Ukraine then sie warusi wa ubena zomozi turuhusiwe kwenda kuishi huko, waarabu waruhusiwe pia na marafiki wengine

Pale Ukraine pageuke kua makazi ya watu wote wa race zote, sehemu walipo waarabu na waafrica, alafu wakapewa silaha na mafunzo... nakuhakikishia west wataanyooka, watanyosha mikono wenyewe.
 

The Russians have hacked the U.S. "DELTA Command & Control System." Complete Ukraine battle plans are now exposed​

01 NOVEMBER 2022
Russians Hack U.S. DELTA Command & Control System - Complete Ukraine Battle Plans Exposed

The United States "DELTA" Command and Control System is the computer network that the US uses for battle operations. It is constantly updated by military planners and intelligence sources with troop deployment info, weapons stock info, and complete attack plans. Russia has HACKED it; Ukraine's battle plans totally compromised.
Equally important, the DELTA system is also constantly updated with information about the OPPOSING forces, in this case, Russia. This is likely to be dispositive of the entire Ukraine war, in Russia's favor.
 
🇷🇺⚡Ministry of Defense of the Russian Federation: Recruitment from the reserve as part of partial mobilization has been completed, the delivery of subpoenas is stopped

The work of military registration and enlistment offices for recruiting the Russian Armed Forces will be organized only by accepting volunteers and candidates for military service under the contract

All personnel of the military registration and enlistment offices involved in ensuring partial mobilization are ordered to return from October 31 to performing their duties in a regular mode.
 
Bila mmarekani hiyo Russia unayoisifia isingekuwepo....

Baada ya kusaidiwa leo kaota majipu kwapani...

Fuatilia hadi sababu ya huyo mrusi kumuuzia U.S.A jimbo la Alaska
Eti Russia bila USA isingekuwepo😆😆😆!Hizi akili za wapi?
 
Lula ni Pro-Liberal Mzuri mno, tena naweza sema anaongea "good" upande wa China na Russia all because of BRICS lakini uhalisia ni sampuli za akina Edorgan!

Aliyekuwa one way straight towards multipolar ni huyo aliyetoka madarakani. Ndie alikuwa na Ideology za kijamaa zilizopo East, that's why kushindwa kwake kumekua faraja kubwa kwa West tena wamefurahi hatare!

Anyway sio mahala pake kuingiza story zingine "in deep"... Ila don't count on 'Lula'. He's just a western clown [emoji1782] aliyerudishwa madarakani na wenye "Michongo yao" baada ya aliyekuepo kuonekana mwiba na kikwazo kwao.

Take it from me, [emoji95]

Ukisikia ama ukiona uchaguzi unasifiwa ama ukisifiwa na Western block utizame mara mbili mbili sana!
Take it from me, [emoji95]

Ukisikia ama ukiona uchaguzi unasifiwa ama ukisifiwa na Western block utizame mara mbili mbili sana!


NAKAZIA
 
Naona Iran kaamua kuingia vitani mazima

[emoji298]️
CNN: Iran to send 1,000 additional weapons to Russia for its war in Ukraine.

Iran is preparing to send around 1,000 additional weapons to Russia, including ballistic missiles and about 400 kamikaze drones, CNN reported, citing unnamed Western officials.
Habari hizi zakupuuzwa

Kwani NATO wameingia vitani mazima !!!??
 
Back
Top Bottom